Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

Kwa minajiri hiyo hata ishu ya bandari alisaini hivi hivi
9BE05725-AE7C-48B9-8024-939EED248791.jpeg
 
Hivi watu wazima na ndevu zao wanakubalije kazi za kuteuliwa, kutumbuliwa na kuhamishwa anytime as though hawana maisha mengine? Huwa Nashangaa zaidi Hilo kuliko hizi teua tengua.
Wenyewe wanapenda uwaambii kitu
 
Karudishwa pale pale.
Ukute DSO, RSO walodanganya
 
Hata huyu aliyekuwa DED Musoma baadae RUFIJI na sasa Dodoma Jiji ni mwizi maarufu lakini bafo yupo. Inasikitisha TISS kazi yao nini? Ndio maana tunataka Katiba mpya ili kufuta vyeo vya hisani
Lijamaa ni lijizi, limetengeneza mtandao wa Rushwa mkubwa sana Kila anapoenda.
 
Mkeka umejaa kujuana. Kwa kweli hatuna uongozi.. na wala hatuna TISS.
Hakika ,mkeka mzima umejaa Kujuana tuu ,Hivi unadhan TISS yetu inajitambua?? Wale watu kazi yao ni kudeal na mambo yasokua na faida
 
Mimi Huwa nikiwaambia, Tuna Rais Kazi yake ni KUSAINI TU muwe mnanielewa, yaan tuna Rais akiletewa makaratasi hajishughulishi kwenda Ndani zaidi ,ajiridhishe Kisha atoe ruksa !!.

Ebwana eeh Leo katika Kupitia majina ya UDED japo nione jina langu ,kijana Mzalendo kama Mimi, nikakutana na hili jina la Palela , haraka haraka nikakumbuka aliwah kutumbuliwa !!


Mwezi wa kwanza alitumbuliwa Kwa jina la Msongela Nitu Palela .
Wahuni ameona sio tabu, wakajua wakianza Kwa jina la Msongela ,watashtukiwa.


Kwenye mkeka wamemuanzia
PALELA MSONGELA NITU .
Hivi ni kwamba Hii Nchi Haina watu ?? Mpaka muwarudishe madaraka watu ambao mliwatumbua Kwa makosa yako ya kibadhirifu, wizi wa Pesa za umma, usimamizi mbovu wa miradi ???


Hivi Rais Samia yeye Huwa hajipi muda wa Kusoma na kupitia anacholetewa ??.

Unamtumbua mtu mwenyewe Kwa sababu ya Makosa makubwa aloyatenda, Ndani ya miezi minne, unamchagua upya ?? Kwamba kakuomba msahama?? Kakiri hatorudia, alisingiziwa ??.




Mama Samia jamani, mbona unatutia hasira sana sisi wananchi ??,. Kwanini watu wasiseme, Nchi inaongozwa na JK??.



Yaan DED alipata Hati Chafu, ukamtumbuaga baadae, Tena baada ya Waziri Bashungwa akiwa TAMISEMI kugundua matakataka ya DED huyu, Leo unamrudisha ??.


Sawa, ngoja waendelee kula, ngoja wananchi Tuendelee kutaabika.

2.Msongela Palela wa zamani
View attachment 2649078

80 Palela Msongela Mpya[emoji1787]
View attachment 2649079



Mambo ya Ovyo kabisa !!.
Mwezi wa kwanza alitumbuliwa Kwa jina la Msongela Nitu Palela .
Wahuni ameona sio tabu, wakajua wakianza Kwa jina la Msongela ,watashtukiwa.

Kwenye mkeka wamemuanzia
PALELA MSONGELA NITU .
Hivi ni kwamba Hii Nchi Haina watu ?? Mpaka muwarudishe madaraka watu ambao mliwatumbua Kwa makosa yako ya kibadhirifu, wizi wa Pesa za umma, usimamizi mbovu wa miradi ??? [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwezi wa kwanza alitumbuliwa Kwa jina la Msongela Nitu Palela .
Wahuni ameona sio tabu, wakajua wakianza Kwa jina la Msongela ,watashtukiwa.

Kwenye mkeka wamemuanzia
PALELA MSONGELA NITU .
Hivi ni kwamba Hii Nchi Haina watu ?? Mpaka muwarudishe madaraka watu ambao mliwatumbua Kwa makosa yako ya kibadhirifu, wizi wa Pesa za umma, usimamizi mbovu wa miradi ??? [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Noma kweli yaani !
 
Hilo ni zaidi ya kosa, uteuzi huwa inafanyika vetting. Pia list kabla haijatoka inapitiwa

Kama kosa hilo wameshindwa kuliona, vipi mengine makubwa?
Siku hizi hakuna vetting ni kutokana na nani anayekujua, kuna ma mtu malevi, majizi na mazinzi na yana tabia mbaya kwa jamii yameteuliwa kuwa DED. Yamewaacha midomo wazi watumishi.
Kuna Ded anaitwa Kagunze alishindwa kazi vibaya wilaya ya mlele mkoa wa Katavi, hata huhitaji kutumia nguvu kufanya vetting, hata ungemuuliza mtoto mdogo anakuambia. Alifukuzwa saizi kapandishwa kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya shinyanga. Aibu sana na inakatisha tamaa watumishi wenye maadili n wanaopenda kuchapa kazi. Ni udhaifu mkubwa na kwa hili katibu mkuu kiongozi hausaidii utumishi wa umma
 
Acheni wivu na husda za kike
Siyo wivu wa kike. Hivi rais anamtengua DED mwezi Januari. Leo Juni kamrudisha. Tena kituo kile kile cha kazi. Ina maana makosa yake yameisha au?

DED mteule Sunday, alikuwa DED Ludewa. Aliliwa kichwa kwa sababu za kukiuka maadili ya kiuongozi na ufisadi. Leo tena kateuliwa na kurudi palepale.

Eti mama anaupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom