Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Jina namba 80: pelela msongela nitu, au wewe hapo jina unaona ni lipi?Angalia hii mikeka ya leo linganisha na huo wa kwako uone kama iko sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina namba 80: pelela msongela nitu, au wewe hapo jina unaona ni lipi?Angalia hii mikeka ya leo linganisha na huo wa kwako uone kama iko sawa
Wenyewe wanapenda uwaambii kituHivi watu wazima na ndevu zao wanakubalije kazi za kuteuliwa, kutumbuliwa na kuhamishwa anytime as though hawana maisha mengine? Huwa Nashangaa zaidi Hilo kuliko hizi teua tengua.
Kuna Familia ya walamba Asali, wanataka aendelee tena 2025 ,Tuombe mungu amalize utithi wake kwa amani.5 Tabu wahuni wanataka auze nchi ndio atoke. Inatisha sana.
Unaishi wapi bobMuwe mnajiridhisha na taarifa zenu kabla hamjatuma humu, huo mkeka uliouweka ni wa zamani na sio wa sasa!
Kwa kumuona SSS, Hana huo muda.Ina maana Rais hakupitia hata profiles za wateule??
DuuhhhAngalia hii mikeka ya leo linganisha na huo wa kwako uone kama iko sawa
Maza Kila kitu kinamshindaAisee...kulogwa kupo..
Lijamaa ni lijizi, limetengeneza mtandao wa Rushwa mkubwa sana Kila anapoenda.Hata huyu aliyekuwa DED Musoma baadae RUFIJI na sasa Dodoma Jiji ni mwizi maarufu lakini bafo yupo. Inasikitisha TISS kazi yao nini? Ndio maana tunataka Katiba mpya ili kufuta vyeo vya hisani
Uswahili , alafu baadae mbele ya TV utasikia "PUMBAVU kabisa"Huyu kweli huwa hajisumbui kusoma, ni anasign tu kwa ile kauli yake ‘na hili mkalitazame’.
Hakika ,mkeka mzima umejaa Kujuana tuu ,Hivi unadhan TISS yetu inajitambua?? Wale watu kazi yao ni kudeal na mambo yasokua na faidaMkeka umejaa kujuana. Kwa kweli hatuna uongozi.. na wala hatuna TISS.
Na wamemuweka mtu katiMama nchi ishamshinda tuombe kudraza mola tu mafisadi yamemzidi nguvu
Hao ndo Wala Rushwa wakubwa, unakuta labda chini ya Huyu DED, na wao wananufaika sana.Karudishwa pale pale.
Ukute DSO, RSO walodanganya
Tumepigwa tumechezewaaa yaan Katibu Kiongozi katudharau sana sisi watanzania.Unataka kusema katibu kiongozi katupiga siyo?
Mwezi wa kwanza alitumbuliwa Kwa jina la Msongela Nitu Palela .Mimi Huwa nikiwaambia, Tuna Rais Kazi yake ni KUSAINI TU muwe mnanielewa, yaan tuna Rais akiletewa makaratasi hajishughulishi kwenda Ndani zaidi ,ajiridhishe Kisha atoe ruksa !!.
Ebwana eeh Leo katika Kupitia majina ya UDED japo nione jina langu ,kijana Mzalendo kama Mimi, nikakutana na hili jina la Palela , haraka haraka nikakumbuka aliwah kutumbuliwa !!
Mwezi wa kwanza alitumbuliwa Kwa jina la Msongela Nitu Palela .
Wahuni ameona sio tabu, wakajua wakianza Kwa jina la Msongela ,watashtukiwa.
Kwenye mkeka wamemuanzia
PALELA MSONGELA NITU .
Hivi ni kwamba Hii Nchi Haina watu ?? Mpaka muwarudishe madaraka watu ambao mliwatumbua Kwa makosa yako ya kibadhirifu, wizi wa Pesa za umma, usimamizi mbovu wa miradi ???
Hivi Rais Samia yeye Huwa hajipi muda wa Kusoma na kupitia anacholetewa ??.
Unamtumbua mtu mwenyewe Kwa sababu ya Makosa makubwa aloyatenda, Ndani ya miezi minne, unamchagua upya ?? Kwamba kakuomba msahama?? Kakiri hatorudia, alisingiziwa ??.
Mama Samia jamani, mbona unatutia hasira sana sisi wananchi ??,. Kwanini watu wasiseme, Nchi inaongozwa na JK??.
Yaan DED alipata Hati Chafu, ukamtumbuaga baadae, Tena baada ya Waziri Bashungwa akiwa TAMISEMI kugundua matakataka ya DED huyu, Leo unamrudisha ??.
Sawa, ngoja waendelee kula, ngoja wananchi Tuendelee kutaabika.
2.Msongela Palela wa zamani
View attachment 2649078
80 Palela Msongela Mpya[emoji1787]
View attachment 2649079
Mambo ya Ovyo kabisa !!.
Noma kweli yaani !Mwezi wa kwanza alitumbuliwa Kwa jina la Msongela Nitu Palela .
Wahuni ameona sio tabu, wakajua wakianza Kwa jina la Msongela ,watashtukiwa.
Kwenye mkeka wamemuanzia
PALELA MSONGELA NITU .
Hivi ni kwamba Hii Nchi Haina watu ?? Mpaka muwarudishe madaraka watu ambao mliwatumbua Kwa makosa yako ya kibadhirifu, wizi wa Pesa za umma, usimamizi mbovu wa miradi ??? [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hakuna vetting ni kutokana na nani anayekujua, kuna ma mtu malevi, majizi na mazinzi na yana tabia mbaya kwa jamii yameteuliwa kuwa DED. Yamewaacha midomo wazi watumishi.Hilo ni zaidi ya kosa, uteuzi huwa inafanyika vetting. Pia list kabla haijatoka inapitiwa
Kama kosa hilo wameshindwa kuliona, vipi mengine makubwa?
Siyo wivu wa kike. Hivi rais anamtengua DED mwezi Januari. Leo Juni kamrudisha. Tena kituo kile kile cha kazi. Ina maana makosa yake yameisha au?Acheni wivu na husda za kike