Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

Hivi tuna shida gani waTanzania, whether Movie iwe ya mzungu kwani akishirikishwa Ili kuvutia watalii maana wakisikia Rais ndio kaongoza movie watafurika kuangalia then tukapata watalii kadhaa hapo kosa likwapi?

Kwanini mnaangalia hatimiliki ya movie na bajeti ya movie ila hamuangalii faida ya movie??

Faida ya movie inaweza isiwe ya malipo ya filamu but kwa multiplier effect ya watalii watakaokuja sababu ya filamu Ile!! Hilo ndio la msingi.

Shida exposure na Elimu ni ndogo mnadhani faida ya movie ni Ile pesa ya Amazon na sio lengo la kuleta watalii.
 
Usimsingizie Jpm, Magufuri hawezi kuchagua kilaza hawe makamu wake,huyu aliletwa na akina Kikwete, Magufuri mwenyewe anakili kuwa chaguo lake lilikuwa Hussein Mwinyi,ila alizidiwa nguvu na hakina Kikwete
Acheni uongo 2020 si alipewa fursa ya kuchagua wa kwake mbona alisema ataendelea naye au alizidiwa kete tena!!? Tena alisema anaendelea naye sababu ni mzuri na mweupe!! Ama 2020 naye aliforciwa na JK.

Akifanya maendeleo mnasema ni JPM pekee ila akifanya makosa mnasema ooh alishauriwa na Kikwete!! Wtf
 
Wamekosea kuweka maudhui ya kisiasa kwenye Filamu ya kutangaza utalii kwa nini?

Lengo ni lipi?
 
Asinge weza kumuacha kwasababu chaguo lake alikuwa ameisha pata urais Zanzibar,pili mlikuwa mmeisha anzisha propoganda za udini na ukanda na ukabira
 
Huoni kuwa kutangaza utalii wa Tanzania kungeweza kufanywa na wizara husika na taasisi zenye uhusiano na utalii bila kumhusisha moja kwa moja mkuu wa nchi binafsi?
Labda unisaidie, ubaya wa SSH kushiriki ni nini? Hauoni inavutia kuliko angekuwepo Say Kigwangallah!!
Ona hii Royal tour ya Rwanda imeongozwa na Kagame

 
Asinge weza kumuacha kwasababu chaguo lake alikuwa ameisha pata urais Zanzibar,pili mlikuwa mmeisha anzisha propoganda za udini na ukanda na ukabira
Kumbe CCM ilikua ni Mwinyi tu na haina hazina ya viongozi kama mnavyojinasibu?!

Tusizunguke sana maadam alimchagua mwenyewe wakati kuna Wana CCM maelfu, then tuamini kwamba JPM alijua huyu anafaa kumrithi kama angeshindwa kuendelea na Urais!!
 
Mama yenu anaona Wazungu ni Mungu.
 
Kuwa mstaarab japo kwa kujifanyisha tu. Yule ni sawa na Mama yako au shangazi yako.
Ndio maana nimekwambia wewe unataka kuona poa kile kibabu kushikana naye hand in hand.
Nimesema rais sio giggy money na wanaopanga mambo wawe makini wasirudie scenes kama hizi za kushikana mikono na waandishi wa habari kama mtu na mme wake!
I hope umenielewa nilipoandika tunamuongelea rais in a serious perspective na sio kama tunavyomjadili giggy money.
 
Sukuma gang mtapata tabu sana safari hii! Endeleeni na hekaya zenu za abunuasi
Mnajidanganya wenzenu bado wapo serikalini wanapiga dili kuliko wakati wa Magu na kwa akili za huyu maza wenu naona upepo utawarudia tena.
 
Kwahiyo tudanganye na kuvunja tamaduni zetu kufurahisha wazungu? Unajua ni binadamu kama sisi tu.
 
Una matatizo makubwa sana. Tanzania hii hii iliyobatizwa a primitive nation na huyo mzungu wa royal tour unaiona imeendelea?
Primitive siyo tusi;
(Relating to, denoting, or preserving the character of an early stage in the evolutionary or historical development of something)

Kama hujui Kiingereza sema nitaweka kwa Kiswahili
 
Huwezi kumpangia cha kufanya rais wako mpaka useme eti asirudie tena, kuwa na adabu japo za kimaandishi tu za humu JF.

Yeye kushikana mikono na huyu mzee wa kizungu imekupunguzia kitu gani maishani mwako wewe?. Acheni kukuza mambo madogo sana haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…