Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

Mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?

Tujitafakari kama taifa!
Kama hujapona vidonda vya kufiwa na Magufuli nenda Chato ukachimbe kaburi tukuzike uwe karibu naye.

Sisi tunasherehekea uhuru wa pili kuanzia tarehe 17/ 03/ 21 pale DIKTETA alipokufa.
 
Miaka 60 ya uhuru tuliyoshindwa kuleta maendeleo yanayolingana na rasilimali zetu, ndiyo yanadhalilisha nchi siyo hiyo filamu.
Unafahamu maana ya maendeleo au umeandika run kwa vile una bando ya internet?

Kama huwezi maendeleo ya Tanzania ndani ya miaka 60, basi waweza hata kuwakataa wazazi wako
 
Kwa wamasai kuitwa primitive, ni watanzania wote tumeitwa primitive. Na huo ni ukweli mtupu. Tuseme ukweli, kwa sehemu kubwa ya watanzania, uelewa wa mambo ya kawaida ni mdogo sana. Ndiyo sababu ya kuwepo kwa makazi yasiyopangwa, barabara zisizojengwa wala kukarabatiwa, huduma mbovu za afya, kukosekana kwa maji safi, njaa kuendelea kuwa tatizo licha ya kuwepo kwa ardhi nzuri, nk.

Tuipokee hiyo assessment ya Bw. Peter, tujirekebishe. Kisha tumtafute mzungu mwingine baada ya miaka mitano aje atupe makavu kwa staili nyingine.
 
Unafahamu maana ya maendeleo au umeandika run kwa vile una bando ya internet?

Kama huwezi maendeleo ya Tanzania ndani ya miaka 60, basi waweza hata kuwakataa wazazi wako
Una matatizo makubwa sana. Tanzania hii hii iliyobatizwa a primitive nation na huyo mzungu wa royal tour unaiona imeendelea?
 
#maasai are not primitive// campaign.
# respect our president and state// campaign
Royal tour was evil plans.
# respect our dignity// campaign
stop, trash royal tour
 
Wamarekani sio watu wa kuwachezea.

Umeshaona sasa wakianza kutupiga na syombion yao.

Hakuna cha bure kwa hao mabeberu.

Na watatunyoosha haswa maana hatujitambui bado.
Sisi mnaotuita eti Sukuma gang tunajitambua sana mura! Tatizo ni hii gang ya waswahili swahili wa Pwani! Kwao kwao Rais kucheza muvi na wamarekani eti ndio ujanja!
 
Kwa
Vinchi vyetu hivi vidogo vidogo vinafahamika siku zote mpaka Ikulu na mataifa yenye nguvu. Kwa hiyo hakuna cha kuficha,wakati siku zote tupo uchi. Tuendelee tu kukaa uchi tena kwa Sasa tumekaa uchi ili tuingize pesa
Kwa hiyo tuko kama Malaya atazamwaye uchi aingize hela? Jamaa yangu vipi tena?
 
America huwa inamonitor mataifa mengine.huwa inajua au mahala pengine kupanga rais ajae.2020 walipanga rais anayeshabikia ushoga aingie ikulu.Why? Sijui.lakini ukiona serikali ambayo mawaziri wake kuna mashoga jiulize.Kuna jarida nililisoma ambalo lilionyesha namna Baba wa Taifa alivyokuwa anafuatiliwa na USA na ni nani Rais angefuata baadaye .USA siyo taifa la kuchekea hovyo hovyo.
 
Kuwaita wamasai ni Primitive ni Jambo lisilofumilika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani ni uongo ?

Watu wanaishi hifadhini na wanyama mahali wasiporuhusiwa kujenga nyumba za kisasa, hata kufanya shughuli za kilimo haziruhusiwi huko, huduma muhimu za kijamii hakuna huko.

Wewe ukiitwa primitive kwa mazingira hayo ni sawa tu.
 
Hat hili litapita Happ namshauri rais asirudie Tena Mambo Kama haya manke watz hatujui tunataka nn wengi wanajifanya wajuaji huku hkn kitu upstairs
Hii ni agenda kubwa sana kwa nchi zilizo endelea na wananchi wanao jielewa
Hii ingetokea nchi za wenzetu saivi bunge lingesha achana na masuala ya bajeti linapiga kura ya kutokuwa na imani na raisi kwa kulidhalilisha taifa
 
Tatizo unafanya personofication badala ya kuangalia mantiki ya hoja na nini implication yake kwa taifa letu.

Ukiangalia ile picha hata utamaduni wetu watanzania uliwekwa rehani. Imagine mtu baki anamshika Mama yetu pasi staha, kweli!

Yaani mimi nilijisikia vibaya sana kuona mtu kama mama yangu anashikwa na libaba nisilolifahamu...Kwakweli hili jambo limenisononesha mimi kama mtanzania moja, sijui wenzangu.

Lakini kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, dhamira ya Rais wetu pengine ilikuwa njema ila tu hakujua ita imply nini kwa raia...Na mimi nauliza kweli Rais wetu analindwa? Mpambe wake kwanini alikubali haya? Je inaruhusiwa mpambe kuondoka nyuma ya Mh. Rais iwe kwa namna yeyote ile?

Mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?

Tujitafakari kama taifa!
Hivi dini ya mama nayo inasemaje katika hili
 
Huu ujinga sijui wa royal tour sijui nn hutausikia Rwanda…
Tanzania sijui tunawazaga nini
 
1. Huelewi nachosema, kama audience ni mataifa ya kiarabu obviously ingetengenezwa kwa mahadhi ya kiarabu kama ingekua kwa ajili ya waTanzania ingetengenezwa kwa mahadhi ya kibongo sasa kama target audience ni west lazima uweke mambo yatakayo apeal western culture.

Kama wao kushikana mikono au kucheka Cheka na Rais ni kitu kidogo obvious lazima u depict kwa movie Ili kuwa attract!!

2. Target ni wazungu sababu wao ndio wanamfuatilia huyo Director.... Ukitaka Chinese version au Indian version lazima utafute credible journalist wa ukanda huo ndio utapata viewership unayokusudia. So maadam ni producer beberu kwa ajili ya mabeberu then movie ikiwa kibeberu itauza!! Simple branding formula mbona
Mbona hakuvaa kichupi tuone mapaja,wazungu tumeshazoea sana kuona vichupi chupi.
 
Anyways, all in all hii flamu ilitakiwa ichezwe hapa nyumbani ifanyiwe edition ya kutosha ndo iende huko duniani.

Msione ajabu siku mkikuta mlima Kilimanjaro upo upande wa Kenya.

Hicho cha kumtaja mtu kuwa kafa na korona ni udhalilishaji, hicho kipengele hakikuwa na sababu ya kuwepo.

Najua sitapoteza muda kuiangalia.
 
Wa-TZ wenzangu!

Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu; uwezo na udhaifu wao.

Ina maana Peter Greenberg alikuja akiwa director wa film lakini naaamini kupitia ubalozi wake alishafahamu tabia za rais wetu hadi mambo ya ndani, na ukiangalia film hii, rais alichotwa akili hadi akamuona ni rafiki kuliko hata sisi wa-TZ.

Ukiangalia Film ya Royal Tour kiutu uzima, (Siyo kama mtoto anayefurahia wanyama) inatia kichefu-chefu jinsi rais wa nchi alivyopunguziwa thamani hadi kufikia kuwa mcheza film akiwa ikulu. Walifikia hatua ya kuitana majina kama wana mahusiano ya ziada. Peter! Mama Samia!


Very, Very Sorry!
Sio Peter, ni Pira 😅
 
Anyways, all in all hii flamu ilitakiwa ichezwe hapa nyumbani ifanyiwe edition ya kutosha ndo iende huko duniani.

Msione ajabu siku mkikuta mlima Kilimanjaro upo upande wa Kenya.

Hicho cha kumtaja mtu kuwa kafa na korona ni udhalilishaji, hicho kipengele hakikuwa na sababu ya kuwepo.

Najua sitapoteza muda kuiangalia.
Nia ya filamu ni kukuza utalii kutoka nje ya Tanzania, na wewe sidhani kama ni mtalii kutoka nje ya Tanzania. Usipoteze muda wako kuitazama.
 
Wewe kinakuuma nini? Au ulitaka ukaigize wewe? Nyamafu, hizi ni akiri kama za Jiwe
Mkuu hupaswi kabisa kunishukia kwa matusi na kejeli kama unavyofanya, wala nisingependa unihusishe na siasa zenu za majitaka...Elewa tu kuwa, mimi ni raia ninayejitambua na kutimiza wajibu wangu kwa taifa kwa kulipa kodi kila mwaka, hivyo ni haki yangu kuhoji ninapoona pesa ninayokusanya kupeleka TRA kila miezi mitatu inatumika vipi na hii "Royal Tour" ni moja kati ya mambo ya hovyo!.
 
Back
Top Bottom