Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kama hujapona vidonda vya kufiwa na Magufuli nenda Chato ukachimbe kaburi tukuzike uwe karibu naye.Mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?
Tujitafakari kama taifa!
Sisi tunasherehekea uhuru wa pili kuanzia tarehe 17/ 03/ 21 pale DIKTETA alipokufa.