Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Mazeri amezingua aisee! Kazi ipo kwa huyu mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati kuna Mwarabu alitaka kuwekeza eneo hilo wakati wa Awamu ya Tano lakini akanyimwa. Awamu hii amekubaliwa na anagharamia ujenzi wa makazi mapya ya hao Wamasai wanaohamishwa huko.Sasa mshachelewa...
Tulipaswa kupiga makelele mapema sana. Tulipowaambia ROYAL TOUR ni chambo mlitujibu kuwa anaupiga mwingi.
Ngojeni nchi ifunguke tujue mengi...!!
NB: Matajiri wanaitaka Ngorongoro. Ila madhara yake yatakuwa zaidi ya uwepo wa Masai.
Acha bangi, hata kama mna chuki na mama siyo kwa viwango hivi.Ati kuna Mwarabu alitaka kuwekeza eneo hilo wakati wa Awamu ya Tano lakini akanyimwa. Awamu hii amekubaliwa na anagharamia ujenzi wa makazi mapya ya hao Wamasai wanaohamishwa huko.
Kama ni kweli lengo lake ni kumilikishwa Hifadhi ya Ngorongoro. Kwa jinsi hiyo, hakuna shaka hifadhi zote zitabinafsishwa kwa waliochangia utengenezaji wa filamu ya "Royal Tour" kwa kisingizio cha kuboresha na kuimarisha Utalii
Punguza hasira.Wa-TZ wenzangu!
Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu; uwezo na udhaifu wao.
Ina maana Peter Greenberg alikuja akiwa director wa film lakini naaamini kupitia ubalozi wake alishafahamu tabia za rais wetu hadi mambo ya ndani, na ukiangalia film hii, rais alichotwa akili hadi akamuona ni rafiki kuliko hata sisi wa-TZ.
Ukiangalia Film ya Royal Tour kiutu uzima, (Siyo kama mtoto anayefurahia wanyama) inatia kichefu-chefu jinsi rais wa nchi alivyopunguziwa thamani hadi kufikia kuwa mcheza film akiwa ikulu. Walifikia hatua ya kuitana majina kama wana mahusiano ya ziada. Peter! Mama Samia!
Haya yangeondolewa wakati wa ku-edit! Nadhani yaliachwa makusudi na naamini kwa uhusiano huu Peter sasa atatumika kiurafiki kuwasiliana na rais moja kwa moja.
Kule twitter Maria Sarungi kaibua jingine nami nimethibitisha. Wamasai wanaitwa ni 'PRIMITIVE' na huyo director wa film na ikaachwa kama sehemu ya maelezo ya film ya Tanzania! Yaani tuna raia PRIMITIVE! Rais Samia anaambiwa Magufuli alipatwa na COVID anakubali, Yeah! wakati wa-TZ hatujawahi kuambiwa jambo kama hilo. Kwa nini haya yote yametokea?
Ikulu yetu haina usalama. Namaanisha watu wanaostahili kumulazimisha rais aendane na matakwa ya taifa na siyo uamuzi wake, hawapo na hawana nguvu hizo. Ina maana rais mzembe anaweza angamiza taifa. Tabia zake binafsi zinatambaa na anazungukwa na watu wa aina yake bila kizuizi.
Very, Very Sorry!
BASATA naona ipo kwa ajili ya dagaa tu wa ndani😅Baraza la sanaa halikuipitia hii movie na kumpa adhabu huyo Beberu Peter?
Huoni kuwa kutangaza utalii wa Tanzania kungeweza kufanywa na wizara husika na taasisi zenye uhusiano na utalii bila kumhusisha moja kwa moja mkuu wa nchi binafsi?Mtu binafsi kivipi wakati Inatangaza utalii wa Tanzania? Watu mnadeal na vitu vidogo na kusahau kupitia movie hiyo ndio tutazidi kupromote utalii kimataifa.
Nakumbuka Movie ya Darfur ilifanya Mataifa yapate picha hasa ya kinachoendelea na tokea hapo ndio misaada ya kibanadamu ikaanza pelekwa!!
Msukuma huyu.hawamtaki mama,alafu hawaamini kama jeypiem is goneHapo ulipoandika
"Kumulazimisha"
Tayari Nishajua wewe ni nani
Tatizo unafanya personofication badala ya kuangalia mantiki ya hoja na nini implication yake kwa taifa letu.
Ukiangalia ile picha hata utamaduni wetu watanzania uliwekwa rehani. Imagine mtu baki anamshika Mama yetu pasi staha, kweli!
Yaani mimi nilijisikia vibaya sana kuona mtu kama mama yangu anashikwa na libaba nisilolifahamu...Kwakweli hili jambo limenisononesha mimi kama mtanzania moja, sijui wenzangu.
Lakini kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, dhamira ya Rais wetu pengine ilikuwa njema ila tu hakujua ita imply nini kwa raia...Na mimi nauliza kweli Rais wetu analindwa? Mpambe wake kwanini alikubali haya? Je inaruhusiwa mpambe kuondoka nyuma ya Mh. Rais iwe kwa namna yeyote ile?
(hapa ndo umeharibu,ulianza vizuri)mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?
Tujitafakari kama taifa!
Najua Ngorongoro ni Urithi wa Dunia na ndio maana wenye uwezo kifedha wanaitaka.Acha bangi, hata kama mna chuki na mama siyo kwa viwango hivi.
Ngorongoro ni urithi wa dunia.
Huko kote mama anaupiga mwingi jiwe katuachia UPUMBAVU mwingi hata sijui utapunguajeBaraza la sanaa halikuipitia hii movie na kumpa adhabu huyo Beberu Peter?
Nadhani aliepeleka hili Wazo ndio muhusika hata wakupiga hiyo Hela manake Kampuni Haina usajiriNi uthibitisho kuwa "Royal Tour" ni mradi wa watu binafsi kwa jina la JMT na Rais wake, ambapo taasisi nzima iliwekwa pembeni kuruhusu ubakaji huu. Nadhani alitakiwa kushauriwa kwanza kama huu mradi ilikuwa ni lazima ifanywe na kiongozi wa nchi badala ya wizara husika. Dunia inapitia kipindi kigumu sana kwa wasanii kujipenyeza kwenye siasa au kinyume chake kama ilivyo kule Ukraine.
Usimsingizie Jpm, Magufuri hawezi kuchagua kilaza hawe makamu wake,huyu aliletwa na akina Kikwete, Magufuri mwenyewe anakili kuwa chaguo lake lilikuwa Hussein Mwinyi,ila alizidiwa nguvu na hakina KikweteJPM mnayemuunga mkono si ndio alimchagua Samia mbona hamkupinga?? Acheni unafiki kama hamkusema cku anchaguliwa then msijitoe ufahamu sahivi.
By the way mlisema MaRais wanafanyiwa vetting na TISS na sijui Rais hachaguliwi ila anateuliwa.... Kelele zilikua nyingi kuonyesha CCM hamkosei kwenye teuzi. Vipi sasa mnalialia au mnakiri JPM aliwaachia bomu?? Na kama ni bomu kwanni mnapenda kumuona alikua perfect kwenye maamuzi yake??
aisee punguza jazba mkuu, mama anaupiga mwingi.Wa-TZ wenzangu!
Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu; uwezo na udhaifu wao.
Ina maana Peter Greenberg alikuja akiwa director wa film lakini naaamini kupitia ubalozi wake alishafahamu tabia za rais wetu hadi mambo ya ndani, na ukiangalia film hii, rais alichotwa akili hadi akamuona ni rafiki kuliko hata sisi wa-TZ.
Ukiangalia Film ya Royal Tour kiutu uzima, (Siyo kama mtoto anayefurahia wanyama) inatia kichefu-chefu jinsi rais wa nchi alivyopunguziwa thamani hadi kufikia kuwa mcheza film akiwa ikulu. Walifikia hatua ya kuitana majina kama wana mahusiano ya ziada. Peter! Mama Samia!
Haya yangeondolewa wakati wa ku-edit! Nadhani yaliachwa makusudi na naamini kwa uhusiano huu Peter sasa atatumika kiurafiki kuwasiliana na rais moja kwa moja.
Kule twitter Maria Sarungi kaibua jingine nami nimethibitisha. Wamasai wanaitwa ni 'PRIMITIVE' na huyo director wa film na ikaachwa kama sehemu ya maelezo ya film ya Tanzania! Yaani tuna raia PRIMITIVE! Rais Samia anaambiwa Magufuli alipatwa na COVID anakubali, Yeah! wakati wa-TZ hatujawahi kuambiwa jambo kama hilo. Kwa nini haya yote yametokea?
Ikulu yetu haina usalama. Namaanisha watu wanaostahili kumulazimisha rais aendane na matakwa ya taifa na siyo uamuzi wake, hawapo na hawana nguvu hizo. Ina maana rais mzembe anaweza angamiza taifa. Tabia zake binafsi zinatambaa na anazungukwa na watu wa aina yake bila kizuizi.
Very, Very Sorry!
Mkuu, Umefanya kusudi ili tukukosoe au ndio kuandika kwako?Mapicha picha tyuu ,sorry but in my Faith and Bealive Wemen wher not ment to be Leaders sio kanisan sio msikitini Hii kitu Impact yake in futer ni kubwa sana , mungu ibariki tanzania yangu nakupenda sana my Tz....
Hivi wew kilaza lini utakuwa na akili!!???Mtu binafsi kivipi wakati Inatangaza utalii wa Tanzania? Watu mnadeal na vitu vidogo na kusahau kupitia movie hiyo ndio tutazidi kupromote utalii kimataifa.
Nakumbuka Movie ya Darfur ilifanya Mataifa yapate picha hasa ya kinachoendelea na tokea hapo ndio misaada ya kibanadamu ikaanza pelekwa!!