Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

Huwezi kumpangia cha kufanya rais wako mpaka useme eti asirudie tena, kuwa na adabu japo za kimaandishi tu za humu JF.

Yeye kushikana mikono na huyu mzee wa kizungu imekupunguzia kitu gani maishani mwako wewe?. Acheni kukuza mambo madogo sana haya.
Madogo kwako lakini wengi tunaona ni fedheha
Rais ni alama ya nchi..
Tunampangia sababu tunamlipa mshahara.
And do not try to act like you are my mother teaching me manners!
Eti kuwa na adabu!!
 
Si mlishaambiwa hiyo muvi haimilikiwi na serikali naSamia ameshiriki kama Samia sio Rais ( urais aliuvua) mbona hamuelewi ninyi
 
Huwezi kumpangia cha kufanya rais wako mpaka useme eti asirudie tena, kuwa na adabu japo za kimaandishi tu za humu JF.

Yeye kushikana mikono na huyu mzee wa kizungu imekupunguzia kitu gani maishani mwako wewe?. Acheni kukuza mambo madogo sana haya.
Wewe usipotetea ujinga na udhalili kwa nchi inakupunguzia nini?
 
Sio siri. Jpm mwenyewe alisema mtu wake kwa nafasi ya makamu alikua hussein mwinyi. Aliyetubambikia huyu pandikizi ni jk.
 
Labda unisaidie, ubaya wa SSH kushiriki ni nini? Hauoni inavutia kuliko angekuwepo Say Kigwangallah!!
Ona hii Royal tour ya Rwanda imeongozwa na Kagame

Rais SSH ni kiongozi mkuu JMT na ni CIC wa taifa hili, kwa nafasi yake hiyo aliyopewa na katiba hapaswi kujiingiza kwenye mambo ambayo hatukumtuma kufanya.
Mfano wako wa Kagame au Ivo Morares hauwezi kuhalisha ukiukwaji wa katiba na misingi ya utawala bora. Kagame anaweza kutetewa au kusutwa na wapigakura wake, lakini hatuwezi kuiga kila kinachofanyika kwingine.
 
Hapo ulipoandika
"Kumulazimisha"
Tayari Nishajua wewe ni nani
Ad Hominem ...
(Attacking the person): This fallacy occurs when, instead of addressing someone's argument or position, you irrelevantly attack the person or some aspect of the person who is making the argument. The fallacious attack can also be direct to membership in a group or institution.

Kuwa yeye alivyo hivyo unavyomjua inaondoa uhalali, nguvu au mantiki ya hoja yake?
Jadili hoja siyo mtoa hoja.
 
Kwani neno primitive ni tusi?
 
Tuseme tu Raisi ni shamba wa wazungu kama ilivyo kawaida ya wabongo wengi kuwaona wazungu kama kitu cha ajabu .
 
Lakini Rais anafuata Ilani ya chama ambayo imeweka mkazo kwenye value addition kuanzia sekta ya viwanda hadi utalii. Huoni sekta ya Utalii kufanya innovation kama hizi kuongeza thamani ya Utalii wetu sio kazi ya Rais?? Kama katiba ndio Kila kitu je Ilani kazi yake ni nini inayomuelekeza Rais Kila anachopaswa kufanya??

Kingine mbona JPM Ali involve kwenye Extra Curricular activities mfano alienda mechi za Ligi kuu, alikua anapost video akishangilia ushindi wa Taifa Stars, aliwahi kupiga simu live kipindi Cha shilawadu kusema anawafuatilia Kila ijumaa. Hizo zote ni PR tu Wala hatukuona wananchi mkilalamika ila nashangaa kwa Mama imekua nongwa.
 
Kuna wenzako pia wanawawaza wapendwa wao waliokotwa kwenye viroba,
 
Mh kiroboto tupe movies ambazo marais walishiriki wakiwa madarakani
 
Acha uongo primitive inamanisha watu ambao hawastarabika
 
Hapana kwa muktadha wa huyo unayemquote hiyo sio Ad Hominem ni Satire au Ridicule kuwa mtoa mada ni Biased sababu ana tokea kabila moja na deceased.

Ni sawa utegemee Upate positive comment kuhusu Yanga kutokea kwa shabiki wa Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…