Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

Huwezi kumpangia cha kufanya rais wako mpaka useme eti asirudie tena, kuwa na adabu japo za kimaandishi tu za humu JF.

Yeye kushikana mikono na huyu mzee wa kizungu imekupunguzia kitu gani maishani mwako wewe?. Acheni kukuza mambo madogo sana haya.
Madogo kwako lakini wengi tunaona ni fedheha
Rais ni alama ya nchi..
Tunampangia sababu tunamlipa mshahara.
And do not try to act like you are my mother teaching me manners!
Eti kuwa na adabu!!
 
Si mlishaambiwa hiyo muvi haimilikiwi na serikali naSamia ameshiriki kama Samia sio Rais ( urais aliuvua) mbona hamuelewi ninyi
 
Huwezi kumpangia cha kufanya rais wako mpaka useme eti asirudie tena, kuwa na adabu japo za kimaandishi tu za humu JF.

Yeye kushikana mikono na huyu mzee wa kizungu imekupunguzia kitu gani maishani mwako wewe?. Acheni kukuza mambo madogo sana haya.
Wewe usipotetea ujinga na udhalili kwa nchi inakupunguzia nini?
 
="zitto junior, post: 42475859, member: 176149"]
JPM mnayemuunga mkono si ndio alimchagua Samia mbona hamkupinga?? Acheni unafiki kama hamkusema cku anchaguliwa then msijitoe ufahamu sahivi.

By the way mlisema MaRais wanafanyiwa vetting na TISS na sijui Rais hachaguliwi ila anateuliwa.... Kelele zilikua nyingi kuonyesha CCM hamkosei kwenye teuzi. Vipi sasa mnalialia au mnakiri JPM aliwaachia bomu?? Na kama ni bomu kwanni mnapenda kumuona alikua perfect kwenye maamuzi yake??
Sio siri. Jpm mwenyewe alisema mtu wake kwa nafasi ya makamu alikua hussein mwinyi. Aliyetubambikia huyu pandikizi ni jk.
 
Labda unisaidie, ubaya wa SSH kushiriki ni nini? Hauoni inavutia kuliko angekuwepo Say Kigwangallah!!
Ona hii Royal tour ya Rwanda imeongozwa na Kagame


Rais SSH ni kiongozi mkuu JMT na ni CIC wa taifa hili, kwa nafasi yake hiyo aliyopewa na katiba hapaswi kujiingiza kwenye mambo ambayo hatukumtuma kufanya.
Mfano wako wa Kagame au Ivo Morares hauwezi kuhalisha ukiukwaji wa katiba na misingi ya utawala bora. Kagame anaweza kutetewa au kusutwa na wapigakura wake, lakini hatuwezi kuiga kila kinachofanyika kwingine.
 
Hapo ulipoandika
"Kumulazimisha"
Tayari Nishajua wewe ni nani
Ad Hominem ...
(Attacking the person): This fallacy occurs when, instead of addressing someone's argument or position, you irrelevantly attack the person or some aspect of the person who is making the argument. The fallacious attack can also be direct to membership in a group or institution.

Kuwa yeye alivyo hivyo unavyomjua inaondoa uhalali, nguvu au mantiki ya hoja yake?
Jadili hoja siyo mtoa hoja.
 
Angalia mila za US na ni jinsi Obama anavyoshiriki comedy na kwa sababu gani. Kuna mila au mazoea ya marais wote wa US ambazo hufanyika. siyo Obama tu na ukaamini ndo maendeleo ya kuigwa. Usiige kwa kuwa muangaliaji ni mzugu. yaani unaiga mila ya US ili waone ni kawaida? Mbona ushoga ni kawaida na sisi haingii akilini?

Unaonaje Wamasai kuitwa watu primitive? Kama umekwenda shule utaelewa ktk dunia hii hawalitumii tena neno hilo. Nani ktk nchi hii ni primitive kiasi cha kuitangazia dunia?
Upinzani upi wa kuzomea tu wewe mwenyewe ukiwa mbu-mbu-mbu?
Kwani neno primitive ni tusi?
 
Tuseme tu Raisi ni shamba wa wazungu kama ilivyo kawaida ya wabongo wengi kuwaona wazungu kama kitu cha ajabu .
 
Rais SSH ni kiongozi mkuu JMT na ni CIC wa taifa hili, kwa nafasi yake hiyo aliyopewa na katiba hapaswi kujiingiza kwenye mambo ambayo hatukumtuma kufanya.
Mfano wako wa Kagame au Ivo Morares hauwezi kuhalisha ukiukwaji wa katiba na misingi ya utawala bora. Kagame anaweza kutetewa au kusutwa na wapigakura wake, lakini hatuwezi kuiga kila kinachofanyika kwingine.
Lakini Rais anafuata Ilani ya chama ambayo imeweka mkazo kwenye value addition kuanzia sekta ya viwanda hadi utalii. Huoni sekta ya Utalii kufanya innovation kama hizi kuongeza thamani ya Utalii wetu sio kazi ya Rais?? Kama katiba ndio Kila kitu je Ilani kazi yake ni nini inayomuelekeza Rais Kila anachopaswa kufanya??

Kingine mbona JPM Ali involve kwenye Extra Curricular activities mfano alienda mechi za Ligi kuu, alikua anapost video akishangilia ushindi wa Taifa Stars, aliwahi kupiga simu live kipindi Cha shilawadu kusema anawafuatilia Kila ijumaa. Hizo zote ni PR tu Wala hatukuona wananchi mkilalamika ila nashangaa kwa Mama imekua nongwa.
 
Tatizo unafanya personofication badala ya kuangalia mantiki ya hoja na nini implication yake kwa taifa letu.

Ukiangalia ile picha hata utamaduni wetu watanzania uliwekwa rehani. Imagine mtu baki anamshika Mama yetu pasi staha, kweli!

Yaani mimi nilijisikia vibaya sana kuona mtu kama mama yangu anashikwa na libaba nisilolifahamu...Kwakweli hili jambo limenisononesha mimi kama mtanzania moja, sijui wenzangu.

Lakini kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, dhamira ya Rais wetu pengine ilikuwa njema ila tu hakujua ita imply nini kwa raia...Na mimi nauliza kweli Rais wetu analindwa? Mpambe wake kwanini alikubali haya? Je inaruhusiwa mpambe kuondoka nyuma ya Mh. Rais iwe kwa namna yeyote ile?

Mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?

Tujitafakari kama taifa!
Kuna wenzako pia wanawawaza wapendwa wao waliokotwa kwenye viroba,
 
WaTz mbona exposure ndogo hivi, kina Evo Morales walikua hadi wanacheza mechi za mpira viwanjani na wanapigwa tackles nzito!! Huku Africa ndio mnachukulia Urais ni big deal huko nje Rais ni mtumishi sio MFALME, ndio maana hata Obama ametumiwa sana kwenye vipindi vya comedy ingawa alikua Rais.

2. Kuhusu Movie, audience ni wazungu ambao wao kushikana mikono au viuno sio issue!! Video haikua meant kwa nyie waswahili ambao mbuga za wanyama hamkanyagi so lazma ujue nani mlengwa kabla hujatoa povu.

3. Kuhusu JPM hakukuwepo ukimya!! Sisi wapinzani tulisema JPM kazidiwa serikali ijitokeze Ili watu wajue. Nyie mlitukana sana mkatuona waongo, Leo hii ndio mnajifanya mna uchungu na kifo Cha JPM?? kama sio unafiki ni nini?

Tatizo wabongo hatuna exposure muwe mnaangalia dunia inaendaje sio mmejufungia mbagala mnadhani huko duniani Marais hawawezi igiza movie.
Mh kiroboto tupe movies ambazo marais walishiriki wakiwa madarakani
 
1. Kama Obama alishiriki comedy Ina maana hata wakiona Mama Samia anataniwa au kushikwa kiuno hawatoona big deal. Maadam hao ndio audience then shida Iko wapi? Au ulitaka docu iwekwe kwa audience ya waswahili??

2. Primitive maana yake unaishi kiasili kwa kutumia nyenzo za kizamani kitu ambacho ni sahihi kwa wamasai ambao wanatumia dawa zao, wanaishi porini bila umeme sasa uongo ni upi hapo? Tatizo mlitaka atumie tafsida ila huo ndio ukweli kuwa primitive ni kuishi ki-kale!
Acha uongo primitive inamanisha watu ambao hawastarabika
 
Ad Hominem ...
(Attacking the person): This fallacy occurs when, instead of addressing someone's argument or position, you irrelevantly attack the person or some aspect of the person who is making the argument. The fallacious attack can also be direct to membership in a group or institution.

Kuwa yeye alivyo hivyo unavyomjua inaondoa uhalali, nguvu au mantiki ya hoja yake?
Jadili hoja siyo mtoa hoja.
Hapana kwa muktadha wa huyo unayemquote hiyo sio Ad Hominem ni Satire au Ridicule kuwa mtoa mada ni Biased sababu ana tokea kabila moja na deceased.

Ni sawa utegemee Upate positive comment kuhusu Yanga kutokea kwa shabiki wa Simba.
 
Back
Top Bottom