Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

Kama Uchaguzi ungekua huru na wa haki, Rais Samia angesha poteza points katika kampeni kwa kutokua ofisini kwa siku nane akitengeneza documentary binafsi.

Rais wetu aliruhusiwa na nani kuwa sehemu ya hiyo akiwa na ajira ya wananchi? Mbona huyu ana complicate zaidi hii kitu?
 
Tatizo unafanya personofication badala ya kuangalia mantiki ya hoja na nini implication yake kwa taifa letu.

Ukiangalia ile picha hata utamaduni wetu watanzania uliwekwa rehani. Imagine mtu baki anamshika Mama yetu pasi staha, kweli!

Yaani mimi nilijisikia vibaya sana kuona mtu kama mama yangu anashikwa na libaba nisilolifahamu...Kwakweli hili jambo limenisononesha mimi kama mtanzania moja, sijui wenzangu.

Lakini kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, dhamira ya Rais wetu pengine ilikuwa njema ila tu hakujua ita imply nini kwa raia...Na mimi nauliza kweli Rais wetu analindwa? Mpambe wake kwanini alikubali haya? Je inaruhusiwa mpambe kuondoka nyuma ya Mh. Rais iwe kwa namna yeyote ile?

Mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?

Tujitafakari kama taifa!

Kwani utamaduni wa Tanganyika ni kuuwa watu ? Mbona kuanzia 1964 mumeikalia Zanzibar kwa mabavuu Na mnaendelea kuuwa watu kila uchaguzi/ uchafuzi unapofika, mkilazimisha kuweka vibaraka wenu?
 
Ebu cheki kuna link gani ya haya niliyoyaandika na hizo assertion zako? Daah!
 
Tatizo unafanya personofication badala ya kuangalia mantiki ya hoja na nini implication yake kwa taifa letu.

Ukiangalia ile picha hata utamaduni wetu watanzania uliwekwa rehani. Imagine mtu baki anamshika Mama yetu pasi staha, kweli!

Yaani mimi nilijisikia vibaya sana kuona mtu kama mama yangu anashikwa na libaba nisilolifahamu...Kwakweli hili jambo limenisononesha mimi kama mtanzania moja, sijui wenzangu.

Lakini kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, dhamira ya Rais wetu pengine ilikuwa njema ila tu hakujua ita imply nini kwa raia...Na mimi nauliza kweli Rais wetu analindwa? Mpambe wake kwanini alikubali haya? Je inaruhusiwa mpambe kuondoka nyuma ya Mh. Rais iwe kwa namna yeyote ile?

Mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?

Tujitafakari kama taifa!
Ni uthibitisho kuwa "Royal Tour" ni mradi wa watu binafsi kwa jina la JMT na Rais wake, ambapo taasisi nzima iliwekwa pembeni kuruhusu ubakaji huu. Nadhani alitakiwa kushauriwa kwanza kama huu mradi ilikuwa ni lazima ifanywe na kiongozi wa nchi badala ya wizara husika. Dunia inapitia kipindi kigumu sana kwa wasanii kujipenyeza kwenye siasa au kinyume chake kama ilivyo kule Ukraine.
 
Wa-TZ wenzangu!

Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu; uwezo na udhaifu wao.

Ina maana Peter Greenberg alikuja akiwa director wa film lakini naaamini kupitia ubalozi wake alishafahamu tabia za rais wetu hadi mambo ya ndani, na ukiangalia film hii, rais alichotwa akili hadi akamuona ni rafiki kuliko hata sisi wa-TZ.

Ukiangalia Film ya Royal Tour kiutu uzima, (Siyo kama mtoto anayefurahia wanyama) inatia kichefu-chefu jinsi rais wa nchi alivyopunguziwa thamani hadi kufikia kuwa mcheza film akiwa ikulu. Walifikia hatua ya kuitana majina kama wana mahusiano ya ziada. Peter! Mama Samia!

Haya yangeondolewa wakati wa ku-edit! Nadhani yaliachwa makusudi na naamini kwa uhusiano huu Peter sasa atatumika kiurafiki kuwasiliana na rais moja kwa moja.

Kule twitter Maria Sarungi kaibua jingine nami nimethibitisha. Wamasai wanaitwa ni 'PRIMITIVE' na huyo director wa film na ikaachwa kama sehemu ya maelezo ya film ya Tanzania! Yaani tuna raia PRIMITIVE! Rais Samia anaambiwa Magufuli alipatwa na COVID anakubali, Yeah! wakati wa-TZ hatujawahi kuambiwa jambo kama hilo. Kwa nini haya yote yametokea?

Ikulu yetu haina usalama. Namaanisha watu wanaostahili kumulazimisha rais aendane na matakwa ya taifa na siyo uamuzi wake, hawapo na hawana nguvu hizo. Ina maana rais mzembe anaweza angamiza taifa. Tabia zake binafsi zinatambaa na anazungukwa na watu wa aina yake bila kizuizi.

Very, Very Sorry!
Sukuma gang mtapata tabu sana safari hii! Endeleeni na hekaya zenu za abunuasi
 
Wamarekani sio watu wa kuwachezea.

Umeshaona sasa wakianza kutupiga na syombion yao.

Hakuna cha bure kwa hao mabeberu.

Na watatunyoosha haswa maana hatujitambui bado.
Hahahah si mlisema wapinzani ndio wanatumika na mebeberu kupora rasilimali na kwamba tuliwachelewesha.

Mmeachiwa bunge mmeachiwa halmshauri mmeachiwa ikulu ila lawama sasa zimehamia kwa mabeberu na Mama as if sio Rais wa CCM!!

Sikujua kumbe hata CCM viongozi wanatumika na mabeberu!!
 
Wa-TZ wenzangu!

Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu; uwezo na udhaifu wao.

Ina maana Peter Greenberg alikuja akiwa director wa film lakini naaamini kupitia ubalozi wake alishafahamu tabia za rais wetu hadi mambo ya ndani, na ukiangalia film hii, rais alichotwa akili hadi akamuona ni rafiki kuliko hata sisi wa-TZ.

Ukiangalia Film ya Royal Tour kiutu uzima, (Siyo kama mtoto anayefurahia wanyama) inatia kichefu-chefu jinsi rais wa nchi alivyopunguziwa thamani hadi kufikia kuwa mcheza film akiwa ikulu. Walifikia hatua ya kuitana majina kama wana mahusiano ya ziada. Peter! Mama Samia!

Haya yangeondolewa wakati wa ku-edit! Nadhani yaliachwa makusudi na naamini kwa uhusiano huu Peter sasa atatumika kiurafiki kuwasiliana na rais moja kwa moja.

Kule twitter Maria Sarungi kaibua jingine nami nimethibitisha. Wamasai wanaitwa ni 'PRIMITIVE' na huyo director wa film na ikaachwa kama sehemu ya maelezo ya film ya Tanzania! Yaani tuna raia PRIMITIVE! Rais Samia anaambiwa Magufuli alipatwa na COVID anakubali, Yeah! wakati wa-TZ hatujawahi kuambiwa jambo kama hilo. Kwa nini haya yote yametokea?

Ikulu yetu haina usalama. Namaanisha watu wanaostahili kumulazimisha rais aendane na matakwa ya taifa na siyo uamuzi wake, hawapo na hawana nguvu hizo. Ina maana rais mzembe anaweza angamiza taifa. Tabia zake binafsi zinatambaa na anazungukwa na watu wa aina yake bila kizuizi.

Very, Very Sorry!
Aisee watu wanaoona mambo hivyo nasikitika tuko wachache. Ikulu imeingiliwa na majasusu wa maghararibi kwa akili ndogo ya mtu tuliyemkabidhi ikulu. Kama utakumbuku tony blair tayari kashapiga dili lake la mamilioni eti kuisafisha tz dhidi ya sifa mbala aliyotuletea jpm. Hili limetukera sana wazalendo tunaounga mkono mwendo wa kimagufuli.
Sasa hili la royal tour ukimsikiliza huyo greenberg utasoma ujasusi mtupu. Kuna misinformation na udhalilishaji.
 
Mapicha picha tyuu ,sorry but in my Faith and Bealive Wemen wher not ment to be Leaders sio kanisan sio msikitini Hii kitu Impact yake in futer ni kubwa sana , mungu ibariki tanzania yangu nakupenda sana my Tz....
Mmejua Leo? Mbona kipindi JPM anamteua kuwa vice president 2020 hamkusema hastahili?

Then hao wanaume wameleta faida Gani miaka 60 ya uhuru hata shule hazina madawati Wala vyoo!!!

Uongozi hauna uhusiano na Jinsia msipotoshe
 
Aisee watu wanaoona mambo hivyo nasikitika tuko wachache. Ikulu imeingiliwa na majasusu wa maghararibi kwa akili ndogo ya mtu tuliyemkabidhi ikulu. Kama utakumbuku tony blair tayari kashapiga dili lake la mamilioni eti kuisafisha tz dhidi ya sifa mbala aliyotuletea jpm. Hili limetukera sana wazalendo tunaounga mkono mwendo wa kimagufuli.
Sasa hili la royal tour ukimsikiliza huyo greenberg utasoma ujasusi mtupu. Kuna misinformation na udhalilishaji.
JPM mnayemuunga mkono si ndio alimchagua Samia mbona hamkupinga?? Acheni unafiki kama hamkusema cku anchaguliwa then msijitoe ufahamu sahivi.

By the way mlisema MaRais wanafanyiwa vetting na TISS na sijui Rais hachaguliwi ila anateuliwa.... Kelele zilikua nyingi kuonyesha CCM hamkosei kwenye teuzi. Vipi sasa mnalialia au mnakiri JPM aliwaachia bomu?? Na kama ni bomu kwanni mnapenda kumuona alikua perfect kwenye maamuzi yake??
 
Tatizo unafanya personofication badala ya kuangalia mantiki ya hoja na nini implication yake kwa taifa letu.

Ukiangalia ile picha hata utamaduni wetu watanzania uliwekwa rehani. Imagine mtu baki anamshika Mama yetu pasi staha, kweli!

Yaani mimi nilijisikia vibaya sana kuona mtu kama mama yangu anashikwa na libaba nisilolifahamu...Kwakweli hili jambo limenisononesha mimi kama mtanzania moja, sijui wenzangu.

Lakini kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, dhamira ya Rais wetu pengine ilikuwa njema ila tu hakujua ita imply nini kwa raia...Na mimi nauliza kweli Rais wetu analindwa? Mpambe wake kwanini alikubali haya? Je inaruhusiwa mpambe kuondoka nyuma ya Mh. Rais iwe kwa namna yeyote ile?

Mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?

Tujitafakari kama taifa!
WaTz mbona exposure ndogo hivi, kina Evo Morales walikua hadi wanacheza mechi za mpira viwanjani na wanapigwa tackles nzito!! Huku Africa ndio mnachukulia Urais ni big deal huko nje Rais ni mtumishi sio MFALME, ndio maana hata Obama ametumiwa sana kwenye vipindi vya comedy ingawa alikua Rais.

2. Kuhusu Movie, audience ni wazungu ambao wao kushikana mikono au viuno sio issue!! Video haikua meant kwa nyie waswahili ambao mbuga za wanyama hamkanyagi so lazma ujue nani mlengwa kabla hujatoa povu.

3. Kuhusu JPM hakukuwepo ukimya!! Sisi wapinzani tulisema JPM kazidiwa serikali ijitokeze Ili watu wajue. Nyie mlitukana sana mkatuona waongo, Leo hii ndio mnajifanya mna uchungu na kifo Cha JPM?? kama sio unafiki ni nini?

Tatizo wabongo hatuna exposure muwe mnaangalia dunia inaendaje sio mmejufungia mbagala mnadhani huko duniani Marais hawawezi igiza movie.
 
Ni uthibitisho kuwa "Royal Tour" ni mradi wa watu binafsi kwa jina la JMT na Rais wake, ambapo taasisi nzima iliwekwa pembeni kuruhusu ubakaji huu. Nadhani alitakiwa kushauriwa kwanza kama huu mradi ilikuwa ni lazima ifanywe na kiongozi wa nchi badala ya wizara huika. Dunia inapitia kipindi kigumu sana kwa wasanii kujipenyeza kwenye siasa au kinyume chake kama ilivyo kule Ukraine.
Mtu binafsi kivipi wakati Inatangaza utalii wa Tanzania? Watu mnadeal na vitu vidogo na kusahau kupitia movie hiyo ndio tutazidi kupromote utalii kimataifa.

Nakumbuka Movie ya Darfur ilifanya Mataifa yapate picha hasa ya kinachoendelea na tokea hapo ndio misaada ya kibanadamu ikaanza pelekwa!!
 
WaTz mbona exposure ndogo hivi, kina Evo Morales walikua hadi wanacheza mechi za mpira viwanjani na wanapigwa tackles nzito!! Huku Africa ndio mnachukulia Urais ni big deal huko nje Rais ni mtumishi sio MFALME, ndio maana hata Obama ametumiwa sana kwenye vipindi vya comedy ingawa alikua Rais.

2. Kuhusu Movie, audience ni wazungu ambao wao kushikana mikono au viuno sio issue!! Video haikua meant kwa nyie waswahili ambao mbuga za wanyama hamkanyagi so lazma ujue nani mlengwa kabla hujatoa povu.

3. Kuhusu JPM hakukuwepo ukimya!! Sisi wapinzani tulisema JPM kazidiwa serikali ijitokeze Ili watu wajue. Nyie mlitukana sana mkatuona waongo, Leo hii ndio mnajifanya mna uchungu na kifo Cha JPM?? kama sio unafiki ni nini?

Tatizo wabongo hatuna exposure muwe mnaangalia dunia inaendaje sio mmejufungia mbagala mnadhani huko duniani Marais hawawezi igiza movie.
Angalia mila za US na ni jinsi Obama anavyoshiriki comedy na kwa sababu gani. Kuna mila au mazoea ya marais wote wa US ambazo hufanyika. siyo Obama tu na ukaamini ndo maendeleo ya kuigwa. Usiige kwa kuwa muangaliaji ni mzugu. yaani unaiga mila ya US ili waone ni kawaida? Mbona ushoga ni kawaida na sisi haingii akilini?

Unaonaje Wamasai kuitwa watu primitive? Kama umekwenda shule utaelewa ktk dunia hii hawalitumii tena neno hilo. Nani ktk nchi hii ni primitive kiasi cha kuitangazia dunia?
Upinzani upi wa kuzomea tu wewe mwenyewe ukiwa mbu-mbu-mbu?
 
WaTz mbona exposure ndogo hivi, kina Evo Morales walikua hadi wanacheza mechi za mpira viwanjani na wanapigwa tackles nzito!! Huku Africa ndio mnachukulia Urais ni big deal huko nje Rais ni mtumishi sio MFALME, ndio maana hata Obama ametumiwa sana kwenye vipindi vya comedy ingawa alikua Rais.

2. Kuhusu Movie, audience ni wazungu ambao wao kushikana mikono au viuno sio issue!! Video haikua meant kwa nyie waswahili ambao mbuga za wanyama hamkanyagi so lazma ujue nani mlengwa kabla hujatoa povu.

3. Kuhusu JPM hakukuwepo ukimya!! Sisi wapinzani tulisema JPM kazidiwa serikali ijitokeze Ili watu wajue. Nyie mlitukana sana mkatuona waongo, Leo hii ndio mnajifanya mna uchungu na kifo Cha JPM?? kama sio unafiki ni nini?

Tatizo wabongo hatuna exposure muwe mnaangalia dunia inaendaje sio mmejufungia mbagala mnadhani huko duniani Marais hawawezi igiza movie.
Hata kama sisi siyo audience, ni haki yetu kukubali mambo yetu yakuwekwa public...Ni kujisikia you are second being kudhani kuwa wazungu yao tu ndiyo tuyaite haki na yetu ni hisani...Excuse me!

Halafu kama ni ya wazungu tu kwani watalii duniani ni wazungu tu? Mbona kuna waarabu, wachina etc...Tatizo mmetawaliwa na dunia ya wazungu ambao population yao haifiki hata robo ya dunia
 
Angalia mila za US na ni jinsi Obama anavyoshiriki comedy na kwa sababu gani. Kuna mila au mazoea ya marais wote wa US ambazo hufanyika. siyo Obama tu na ukaamini ndo maendeleo ya kuigwa. Usiige kwa kuwa muangaliaji ni mzugu. yaani unaiga mila ya US ili waone ni kawaida? Mbona wanaowana kawaida na sisi haingii akilini?

Unaonaje Wamasai kuitwa watu primitive? Kama umekwenda shule utaelewa ktk dunia hii hawalitumii tena neno hilo. Nani ktk nchi hii ni primitive kiasi cha kuitangazia dunia?
1. Kama Obama alishiriki comedy Ina maana hata wakiona Mama Samia anataniwa au kushikwa kiuno hawatoona big deal. Maadam hao ndio audience then shida Iko wapi? Au ulitaka docu iwekwe kwa audience ya waswahili??

2. Primitive maana yake unaishi kiasili kwa kutumia nyenzo za kizamani kitu ambacho ni sahihi kwa wamasai ambao wanatumia dawa zao, wanaishi porini bila umeme sasa uongo ni upi hapo? Tatizo mlitaka atumie tafsida ila huo ndio ukweli kuwa primitive ni kuishi ki-kale!
 
Mtu binafsi kivipi wakati Inatangaza utalii wa Tanzania? Watu mnadeal na vitu vidogo na kusahau kupitia movie hiyo ndio tutazidi kupromote utalii kimataifa.

Nakumbuka Movie ya Darfur ilifanya Mataifa yapate picha hasa ya kinachoendelea na tokea hapo ndio misaada ya kibanadamu ikaanza pelekwa!!
Unajipinga mwenyewe...Kama ni public basi huwezi kuiweka public interest nje kwa personal preferences zako...
 
2. Primitive maana yake unaishi kiasili kwa kutumia nyenzo za kizamani kitu ambacho ni sahihi kwa wamasai ambao wanatumia dawa zao, wanaishi porini bila umeme sasa uongo ni upi hapo? Tatizo mlitaka atumie tafsida ila huo ndio ukweli kuwa primitive ni kuishi ki-kale!
Rudi shuleni au kama una cheti then you are less intelligent. Halafu unajiita sisi wapinzani wa kitu gani? that is fallacy of highest order, yet wasting time over these educative pages!
 
Hata kama sisi siyo audience, ni haki yetu kukubali mambo yetu yakuwekwa public...Ni kujisikia you are second being kudhani kuwa wazungu yao tu ndiyo tuyaite haki na yetu ni hisani...Excuse me!

Halafu kama ni ya wazungu tu kwani watalii duniani ni wazungu tu? Mbona kuna waarabu, wachina etc...Tatizo mmetawaliwa na dunia ya wazungu ambao population yao haifiki hata robo ya dunia
1. Huelewi nachosema, kama audience ni mataifa ya kiarabu obviously ingetengenezwa kwa mahadhi ya kiarabu kama ingekua kwa ajili ya waTanzania ingetengenezwa kwa mahadhi ya kibongo sasa kama target audience ni west lazima uweke mambo yatakayo apeal western culture.

Kama wao kushikana mikono au kucheka Cheka na Rais ni kitu kidogo obvious lazima u depict kwa movie Ili kuwa attract!!

2. Target ni wazungu sababu wao ndio wanamfuatilia huyo Director.... Ukitaka Chinese version au Indian version lazima utafute credible journalist wa ukanda huo ndio utapata viewership unayokusudia. So maadam ni producer beberu kwa ajili ya mabeberu then movie ikiwa kibeberu itauza!! Simple branding formula mbona
 
Back
Top Bottom