zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kustaarabika maana yake nini? Si kuishi kwa mbinu za kisasa? Sasa wamasai wanaishi kisasa? Ni sawa na mtu akwambie unatabia za Kishamba!! Useme ni tusi, maana huko vijijini wanaishi kiasili sasa toka lini kiasili/kishamba ni tusi?Acha uongo primitive inamanisha watu ambao hawastarabika
Tuache inferiority complex