Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

Acha uongo primitive inamanisha watu ambao hawastarabika
Kustaarabika maana yake nini? Si kuishi kwa mbinu za kisasa? Sasa wamasai wanaishi kisasa? Ni sawa na mtu akwambie unatabia za Kishamba!! Useme ni tusi, maana huko vijijini wanaishi kiasili sasa toka lini kiasili/kishamba ni tusi?

Tuache inferiority complex
 
Sikusoma kwa HESLB nimesoma nje ya nchi tokea O level so I'm not your level when it comes to knowledge and exposure.

Kingine movie ya Darfur ni factual maana inasimuliwa na wafanyakazi wa NGO za kizungu so ni true story sio acting Kama unavyodhani. Ni Kama tu ambavyo Samia anasimulia matukio ya Tanzania kwa Peter.

Tatizo lako exposure hauna mnadhani Urais ni kuwa mungu mtu hivi usisogelewe na mtu!!! Tembeeni huko duniani, Rais anachukuliwa simple tu maana mamlaka ya kumtoa na kumweka yapo kwa raia wenyewe.
Akili za viroboto bhana ukisoma nje unamanisha ndo unaakili poor u kichwa chako bado kimejaa vumbi
 
Tatizo unafanya personofication badala ya kuangalia mantiki ya hoja na nini implication yake kwa taifa letu.

Ukiangalia ile picha hata utamaduni wetu watanzania uliwekwa rehani. Imagine mtu baki anamshika Mama yetu pasi staha, kweli!

Yaani mimi nilijisikia vibaya sana kuona mtu kama mama yangu anashikwa na libaba nisilolifahamu...Kwakweli hili jambo limenisononesha mimi kama mtanzania moja, sijui wenzangu.

Lakini kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, dhamira ya Rais wetu pengine ilikuwa njema ila tu hakujua ita imply nini kwa raia...Na mimi nauliza kweli Rais wetu analindwa? Mpambe wake kwanini alikubali haya? Je inaruhusiwa mpambe kuondoka nyuma ya Mh. Rais iwe kwa namna yeyote ile?

Mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?

Tujitafakari kama taifa!

Hakuna vidonda vyovyote vya kufiwa na rais aliyetawala kidhalimu, labda vidonda viko kwako na mliofaidika binafsi na madaraka yake.

Hiyo filamu ni kwa ajili ya kuleta wazungu na sio watu wa huko kijijini kwenu. Kwa wazungu ni jambo la kawaida kukumbatiana bila kujali umri, tena wakati mwingine hukumbatiana hata wakiwa na nguo zinazoacha miili yao nusu uchi. Huyo mtengeneza filamu hajui mila na desturi zenu, yeye amefanya kutokana na utamaduni wake. Isitoshe kama nyie mnasujudu viongozi, sio kila mtu anasujudu viongozi, hasa watu wa kutoka nchi za kimagharibi. Huko magharibi kiongozi huchukuliwa kama ni mtumishi wa umma, na sio Mungu mtu kama huku.
 
Hapo ulipoandika
"Kumulazimisha"
Tayari Nishajua wewe ni nani
Ni sukuma gang ?? Au ??? Yaani sasa mmeishiwa hoja kila MTU atakayekosoa chochote kinachohusu mkuu basi huyo ataitwa Sukuma gang !! Poleni sana !!!
 
Hapana kwa muktadha wa huyo unayemquote hiyo sio Ad Hominem ni Satire au Ridicule kuwa mtoa mada ni Biased sababu ana tokea kabila moja na deceased.

Ni sawa utegemee Upate positive comment kuhusu Yanga kutokea kwa shabiki wa Simba.
An ad hominem fallacy redirects the discussion of an issue to a discussion of one of the subjects—to his or her personal failings, inconsistency, or bias.

Anyway let's call it Satire or Ridicule as you suggested but ridicule essentially denies discussion.
 
Hapana kwa muktadha wa huyo unayemquote hiyo sio Ad Hominem ni Satire au Ridicule kuwa mtoa mada ni Biased sababu ana tokea kabila moja na deceased.

Ni sawa utegemee Upate positive comment kuhusu Yanga kutokea kwa shabiki wa Simba.
Wanasema:-
Fallacy Based on Appeal to Ridicule
Sarcasm is always hostile. Ridicule, sarcasm, and the “horse laugh” are the persuasion techniques of bullies. Appeal to ridicule tries to convince you to accept an argument in order to avoid becoming the butt of the joke. The laugh might be at the person (see “Ad Hominem,” above) or at his position (see “Straw Man,” below). Whether it is blatant or subtle, ridicule essentially denies discussion.
 
Bottom line ni kuwa mtu akishakuwa biased ana conflict of interest Kuna sababu za msingi ku deny discussion!!

Hata paper uki publish lazima u declare interest maana findings zako zinaweza kuwa biased.

Mfano Pole pole Paper yake ya M.A aliandika kuhusu Faida ya Miundombinu kwenye uchumi wa Tanzania. Kwa hali ya kawaida unadhani anaweza kupata findings zenye negative correlation?

Sasa tafiti ya hivo lazima utaisoma with a bit of caution maana kuna mgongano wa maslahi same as ukiona maoni ni ya mtu katokea Katoro kuhusu mwenendo wa Siasa, obviously tu atamcrash Mama Samia.
 
Nitajibu mawili. (1) Ni kweli Wamasai wanasoubiri kuonwa na Watalii kama wanyama ni PRIMITIVE. Halina mjadala

(2) Mwanadamu mwenyewe Magufuli aliekuwa na VVU +Pacemaker+ Diabetes+ Bipolar +COVID 19, LAZIMA angekufa tu.

Wajanja walijuwa kuwa Magufuli HATOBOI 2023, wakakaa kimya, ila WAPUMBAVU wakamuona kama mungu mtu,
Daaaah hapo kwenye bipolar hapo
 
Tatizo unafanya personofication badala ya kuangalia mantiki ya hoja na nini implication yake kwa taifa letu.

Ukiangalia ile picha hata utamaduni wetu watanzania uliwekwa rehani. Imagine mtu baki anamshika Mama yetu pasi staha, kweli!

Yaani mimi nilijisikia vibaya sana kuona mtu kama mama yangu anashikwa na libaba nisilolifahamu...Kwakweli hili jambo limenisononesha mimi kama mtanzania moja, sijui wenzangu.

Lakini kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, dhamira ya Rais wetu pengine ilikuwa njema ila tu hakujua ita imply nini kwa raia...Na mimi nauliza kweli Rais wetu analindwa? Mpambe wake kwanini alikubali haya? Je inaruhusiwa mpambe kuondoka nyuma ya Mh. Rais iwe kwa namna yeyote ile?

m

Tujitafakari kama taifa!
 
Just imagine any man getting that close to the UK queen let alone holding arms with her!
 
Lakini Rais anafuata Ilani ya chama ambayo imeweka mkazo kwenye value addition kuanzia sekta ya viwanda hadi utalii. Huoni sekta ya Utalii kufanya innovation kama hizi kuongeza thamani ya Utalii wetu sio kazi ya Rais?? Kama katiba ndio Kila kitu je Ilani kazi yake ni nini inayomuelekeza Rais Kila anachopaswa kufanya??

Kingine mbona JPM Ali involve kwenye Extra Curricular activities mfano alienda mechi za Ligi kuu, alikua anapost video akishangilia ushindi wa Taifa Stars, aliwahi kupiga simu live kipindi Cha shilawadu kusema anawafuatilia Kila ijumaa. Hizo zote ni PR tu Wala hatukuona wananchi mkilalamika ila nashangaa kwa Mama imekua nongwa.
Hayo yote ndio mapungufu tuliyonayo kama taifa!.Tunaviamini vyama na watu kuliko katiba ya nchi. JPM alikuwa anatenda makosa mengi tu kwa kisingizio cha ilani ya uchaguzi. Vyama hasa CCM vimehodhi mamlaka ya kuamua lolote bila kuzingatia katiba ya nchi. Hii imepelekea vyama kuanza kushindana ili kushika Dola! .... Na vyama karibu vyote vimekuwa na tabia ya kuwasemea wananchi hata kama hawakutumwa.

Nongwa unayoisikia kwa SSH inatoka kwenye kundi lisilofungamana na chama chochote, kundi hili ni kubwa, hawatumii majukwaa kujinadi ila wana manung' uniko kuhusu kile kinachoendelea. Mitaani wapo wanaohoji bila ushabiki na kuonyesha kutoridhishwa na matendo yanayofanywa na vyama. Makosa ya JPM hayawezi kuhalalisha ukiukwaji wa katiba wala kumhalalisha SSH na chama chake waendelee kuvunja katiba na sheria za nchi.
 
Tatizo unafanya personofication badala ya kuangalia mantiki ya hoja na nini implication yake kwa taifa letu.

Ukiangalia ile picha hata utamaduni wetu watanzania uliwekwa rehani. Imagine mtu baki anamshika Mama yetu pasi staha, kweli!

Yaani mimi nilijisikia vibaya sana kuona mtu kama mama yangu anashikwa na libaba nisilolifahamu...Kwakweli hili jambo limenisononesha mimi kama mtanzania moja, sijui wenzangu.

Lakini kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, dhamira ya Rais wetu pengine ilikuwa njema ila tu hakujua ita imply nini kwa raia...Na mimi nauliza kweli Rais wetu analindwa? Mpambe wake kwanini alikubali haya? Je inaruhusiwa mpambe kuondoka nyuma ya Mh. Rais iwe kwa namna yeyote ile?

Mkumbuke bado hatuja pona kwenye vidonda vya Rais wetu kuaga dunia akiwa katika kazi ya urais na kwa wiki nzima haikujulikana alikuwa wapi, kisha baadaye wanaibuka watu ambao wana chuki isiyokifani tena wanakiri hadharani kuwa walikuwa wanamchukia...Hivi tunapata somo gani hapa?

Tujitafakari kama taifa!
Piga picha mtanzania mwanamme aweze kumsogelea malkia wa uingereza na kutembea nae arm in arm!
Yaani hata angekuwa mkewe Obama mwiko!
 
Ati kuna Mwarabu alitaka kuwekeza eneo hilo wakati wa Awamu ya Tano lakini akanyimwa. Awamu hii amekubaliwa na anagharamia ujenzi wa makazi mapya ya hao Wamasai wanaohamishwa huko.

Kama ni kweli lengo lake ni kumilikishwa Hifadhi ya Ngorongoro, kwa jinsi hiyo, hakuna shaka hifadhi zote zitabinafsishwa kwa waliochangia utengenezaji wa filamu ya "Royal Tour" kwa kisingizio cha kuboresha na kuimarisha Utalii
Tutajua hatujui!
Tunawaondoa Wamasai wenye madhara kidogo na kuwaruhusu oligarchs wajenge mahoteli yenye madhara makubwa kwenye mazingira!

Tangu mwanzo nilisema kama tunaondoa Wamasai for the best interest of vonservation basi tuondoe hoteli na staff wa hifadhi. Wote makazi yao yawe nje; wakae nje. Hifadhini waingie kikazi na kutalii tu basi!
 
Madogo kwako lakini wengi tunaona ni fedheha
Rais ni alama ya nchi..
Tunampangia sababu tunamlipa mshahara.
And do not try to act like you are my mother teaching me manners!
Eti kuwa na adabu!!
Alama ya nchi akiwa ni mama wa miaka 62 sio binti wa miaka 18. Kumbuka hilo, na hizi ni akili za kimfumo dume sio kingine chochote.

Angekuwa amefanya haya mambo Hayati Mkapa au Magufuli usingepoteza muda wa kuandika yote aliyoandika sana sana ungemsifu kwa kumpamba kwamba ni kidume kweli kweli.

Tuachane na haya masuala ni madogo sana, na ukiyafuatilia sana ni kielelezo cha wewe kuwa mpenda habari za udaku. Yale yale ya watanzania wanaopoteza pesa nyingi kununua magazeti ya UWAZI na CHEKA wakiachana na magazeti kama Citizens na Daily News.
 
Back
Top Bottom