Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ushamba unawasumbua bado wana zile akili za mwanaume akitembea uchi ni poa tu lakini mwanamke akifanya hivyo hivyo ni mwendo wa kumdhalilisha.Lakini Rais anafuata Ilani ya chama ambayo imeweka mkazo kwenye value addition kuanzia sekta ya viwanda hadi utalii. Huoni sekta ya Utalii kufanya innovation kama hizi kuongeza thamani ya Utalii wetu sio kazi ya Rais?? Kama katiba ndio Kila kitu je Ilani kazi yake ni nini inayomuelekeza Rais Kila anachopaswa kufanya??
Kingine mbona JPM Ali involve kwenye Extra Curricular activities mfano alienda mechi za Ligi kuu, alikua anapost video akishangilia ushindi wa Taifa Stars, aliwahi kupiga simu live kipindi Cha shilawadu kusema anawafuatilia Kila ijumaa. Hizo zote ni PR tu Wala hatukuona wananchi mkilalamika ila nashangaa kwa Mama imekua nongwa.
Haya ni matatizo ya mfume dume uliotulea, ni akili fulani za kipuuzi tu zilizopitwa na wakati.