Hakuna kitu kama icho,hiyo increment si ya salary peke yake Bali na posho ambayo pia calculation yake hufanyika kwa kuangalia mshahara mpyakuna watu wameongezewa 250k.
kama kuna watu atawaongezea 50k na mishahara yao duni basi ni tapeli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama icho,hiyo increment si ya salary peke yake Bali na posho ambayo pia calculation yake hufanyika kwa kuangalia mshahara mpyakuna watu wameongezewa 250k.
kama kuna watu atawaongezea 50k na mishahara yao duni basi ni tapeli.
Ni kweli mf vyombo vya ulinzi na taasisi za serrkali posho na allawance zao zilizo nyingi zipo kwenye salary slip zao ndo maana ongezeko kubwaHakuna kitu kama icho,hiyo increment si ya salary peke yake Bali na posho ambayo pia calculation yake hufanyika kwa kuangalia mshahara mpya
Utakufa kama Jiwe utaiacha CHADEMA inadunda.Kansa kubwa sana, siku nikiwa Raisi hakuna rangi wataacha kuiona
Wewe ni KE au ME?Walimu sijui mna tatizo gani
Very sad
Naunga mkono hoja.Hakuna shida, tutaendelea kuiba na kula rushwa. Rushwa na uwizi nchi nyingine walipunguza kwa kuangalia haki na stahiki za mtumishi pamoja na kudhibiti mfumuko wa Bei ili kufanya balancing ya anachopokea mwananchi na anachotumia.
Wewe endelea kufurahia unaowaita walimu/wafanyakazi kutokulipwa 23% Kama nyongeza, wakati huohuo watu wanapitisha mizigo kwenye miboti bure bila kulipa kodi kwenye bandari zetu.
Toa uelekeo wa lilipo hilo chimbo la dhahabu mkuu. Hakuna asiyependa kufanikiwa.Chifu Hangaya kawakaanga watumishi! Ni vilio na majonzi kwa wananzengo wa "wako mtiifu"
Utakumbukwa Sana JPM kwa KUSEMA UKWELI, asilimia 23. 3% ndiyo sh. 8,000 elfu nane kweli!
Poleni Sana watumishi wa imma, njoooni huku kwenye dhahabi tupige pesa!
Walimu sijui wana shida ganiWachangiaji wengi kwenye huu uzi mko nje ya mada, issue ni 33.3% kwenu wote au wale wa kima cha chini? Jibuni acheni blah blah
Badilikeni, mnatia sana aibu. Mna upeo mdogo sanaAcha kutukn walimu mbwa ww
Mwalimu again....1. Mtoa mada, uwaombe radhi walimu kwa kuwashambulia bila kuweka bayana uthibitisho wa kada hiyo ilivyolaumu.
2. wewe mwenyewe ktk mada hii umedhihirisha kuwa haujui lolote juu ya Namna nyongeza za mishaha zinavyokokotolewa, vinginevyo basi ungeweza kuwaelimisha hao unaowalaumu zaidi tu umewashambulia kwa maneno ya ujinga wako.
3. Labda tu ufahamu kuwa hata hawa wanaojadili humu wengi si walimu hivyo punguza mtazamo hasi juu ya walimu huku ukikumbuka kuwa hata huu ujinga unaowarushia pengine unatumia vibaya maarifa yao waliyokupatia.
4. Nikufahamishe kuwa walimu wanajua vema namna mishahara inavyoongezwa na walilielewa vema tangazo la Rais.
Kwa ufupi tu ni kwamba wanaposema nyongeza ni 23.3% kwa kima cha chini ni kwamba atakayeongezewa hizo asilimia kama zilivyo ni mtumishi wa Daraja la kima cha chini, madaraja mengine yatakuwa yanapata nyongeza pungufu kutokana na kanuni yahesabu itakavyokuwa imepigwa (hii nayo utapewa elimu ukiihitaji). Hufanyika hivi ili kuweza kuwa na nyongeza inayokaribiana kwa madaraja yote maana wakifanya sawia walio na daraja la juu Sana watapanua wigo wa tofauti kubwa ya mshahara.
Mna upeo mdogo sana"...ameridhia ongezeko la mshahara, ikiwemo kima cha chini..."
Sijui wewe ulielewa nini hapa ?
Mimi naelewa yote hayo, tatizo ni mawazo na michango yenu sehemu mbalimbali zimewa-expose na kuwafanya muonekane watu wenye upeo mdogo sana. Pitia haya hii thread utaelewaAcha kejeli kijana watu wanafanya kazi kwa uvumilivu wa dhiki sio uzalendo
1)wengi wetu tumetoka familia duni,huo ualimu ndo cheo kikubwa kwenye familia
2)ujasilia mali unahitaji mtaji na wakati mwingine unajionea wezio wanaofanya ujasiliamali wanavyonyanya kwa kubomolewa vibanda na kufukuzwa unakataa tamaa na unaamua kubaki kufundisha
Kama wewe umebahatika kutoka kwenye familia nzuri na unapata maslahi mazuri mshukuru Mungu kwa kukupa upendeleo katika maisha na wengine tuliokosa tuhurumie na kutuombea ni watu tuliokosa tumaini na maisha.maana siku uvumilivu wa dhiki ikitoka mioyoni mwetu na kusema bac inatosha sijuwi kama tutabaki salama(watu wanamaumivu na haya maisha acheni kejeli)
Najua una nia ya kuhujumu morali ya wafanyakazi wa Umma lakini hautafanikiwa. Wafanyakazi wa Umma wana uzalendo sana na nchi Yao. Wamevumilia miaka sita huku stahiki zao zikitumika kufanya miradi ya maendeleo bila kunung'unika. Kwa hiyo kupanda kwa asilimia 23.3 si issue kwao.Hata hivyo tukirudi kwenye uhalisia kwa uchumi ulivyoyumba duniani na Tanzania tukiwemo, unawezaje kuhitaji ongezeko la 23.3%? Kwa kazi gani hasa unazofanya?
nipo hapa kuwa okoa watumishi ambao walio wengi hutegemea mikopo, chondechonde msikimbilie kukopa NMB hawafai, wanawaumiza watumishi badala ya kuwaokoa hivyo ni bora kwenda CRDB ambao wanamikopo ya magari, bajaji, pikipiki, nyumba n.kkakweli,NMB 2018 niliomba mkopo kwao ulikaa miezi 3 sijapata.
CRDB nao wanataka mshahara upitie kwao[emoji2][emoji2].
Unaweza kinipa mchango mmoja uliotolewa na walimu ambao unaonyesha kuwa upeo wao mdogo sana.Mimi naelewa yote hayo, tatizo ni mawazo na michango yenu sehemu mbalimbali zimewa-expose na kuwafanya muonekane watu wenye upeo mdogo sana. Pitia haya hii thread utaelewa
Walimu wa miaka ya 90 walikua vizur na akili ilikuwepo.