Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

Huyu Mama kwa mwendo huu Muda si mrefu Tanzania mambo yatakuwa mazuri sana kiuchumi ,

Hongera Rais Samaia
Kwani Tanzania ilishawahi kuwa pabaya kiuchumi? Si enzi ya JPM iliingia rasmi uchumi wa kati na kuweka historia?
 
Kumbe basi kuna upuuzu upuuzi mwingi sana.

Tuliambiwa vifaranga wana magonjwa wakapigwa kiberiti, kumbu mambo ya kisiasa tu leo hii tunaambiwa hawakustahili jehanam.

Maparachichi yamezuiliwa muda wote huo kwa mambo yanayoongeleka ila inawekwa chenga nyingii...

Sasa hivi jivu la kunguni linaizingira sukari.
 
kila kitu kitakwenda sawia ndg yangu,
 
Huyu Mama kwa mwendo huu Muda si mrefu Tanzania mambo yatakuwa mazuri sana kiuchumi ,

Hongera Rais Samaia
Mama yupo vizuri, anachafuliwa na hili la Mbowe tu, nalo nina hakika akina siro na shetani Kingali ndio waliomwingiza mjini.
 
Kaziiendelee
 
Nchi imefunguka karibu kila kona aise
 
Twende taratibu, wamekubaliana kuachana na hoja za kisayansi waende kirafiki au ndani ya miaka uliyoitaja ya msuguano sekta husika imefanya mabadiliko na kukidhi viwango? Tuache siasa tutumie vizuri akili tulizopewa na mwenyezi Mungu. Jamaa wako smart, kwanza wanalinda wakulima wao lakini pia wanajali ubora. Hata hivyo kwasasa hawa kidhi mahitaji yao ndio maana wanafungua mipaka baada ya kujiridhisha na ubora.
 
Sababu ni magufuli najua utasema kivipi baada ya msimamo wa magufuli kuhusu kovidi mataifa ya africa na ulaya na wazungu pamoja na wa arabu wamegundua chakula cha tz ndiyo sababu ya kovidi kushindwa kututeketeza licha ya kutokuzingatia kujilinda na kovidi hivyo marimao na ndimu na matunda yote ya tz yamejaa nchi kama kenya na sasa south africa wanataka matunda yetu
 
Mungu amefungua njia, tuchapeni kazi tu
 
😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…