Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

Hakuna kama Mama
 
Ujinga tu. Kuna mtu alikuzuia kula Maparachichi?
 
Mjomba umetiririka vizuri Sana aise,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Dili hili
 
Proudly to be Tanzanian.Najivunia kuwa mtanzania.Naipenda Tanzania,naipenda nchi yangu.Napenda uongozi wote ulio madarakani,Tanzania.Mungu ibariki Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…