Rais Samia amaliza mgogoro wa miaka kumi kati ya Tanzania na Afrika Kusini

Na pia kuna Habari njema kw nchi ya China kununua SOya kutoka TZ kwa kiwango chchote tutachozalisha,
Ifikirie china yenye watu 1.3 Bilion utazalisha tani ngapi wewe mpaka utosheleze soko la china?
Mii nasema tuache maneno tuingie kazini tuzalishe soya tuuze China muone taif litakavyoinuka kiuchumi. na wananchi watakavyo neemeka.
leo China analeta Bidhaa zake nchi kiasi ya silimia 60%. leo sisi hatuuzi hata 20% wakati fursa ipo wazi, tuache kulia lia
natupige kazi.
 
 
 
 
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Vipi hao walioharibiwa mali yao wamefidiwa?
 
 
 
#Tanzania inapepea kweli kweli kiuchumi,Mungu ibariki Tanzania
 
Huyu Mama kwa mwendo huu Muda si mrefu Tanzania mambo yatakuwa mazuri sana kiuchumi ,

Hongera Rais Samaia
Uchumi utakua kwa matajiri, Serikali na watu wa chini watabaki masikini,watu wa kati kiuchumi watabaki pale pale au watashuka kiuchumi

Ntakuja kukukumbusha baada ya miaka kadhaa
 
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…