Pre GE2025 Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwanza jifunze Kiswahili fasaha, pili rushwa ni rushwa inayotelewa Kanisani na Msikitini yote ni rushwa kwani inatolewa kwa nia ya kushawishi achaguliwe. Kwaheri.
 
China wanabomoa Misikiti kuweka viwanda na majengo ya kitega Uchumi huku Tanzania tunajenga misikiti yenye hadhi ya Rais kwenye kijiji ili iweje? Kwanini wasiboreshe kilichopo kama inakidhi watumiaji?
 
Waislamu kutoa sadaka kubwa za maana zenye kuweza kufanya kitu kikubwa kwao ni anasa
 
Eti msikiti wenye hadhi ya raisi ndio kitu gani au itawaletea maendeleo gani, huyo shekhe angekua na akili angeomba miradi ya kimaendeleo msikiti wachangishane wenyewe wajenge
 

View: https://youtu.be/PGcgyOd8TFc?si=QOt8kFjpEMSsLqun
Hii sawa hii jamani ?

Katuma Shehe Mkuu wa D'Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa, mtu mzima na heshima zake, kasimama mbele ya camera akasema Rais kantuma ameona msikitiki wenu chakavu, sasa anajenga wa hadhi ya Rais.

Lakini Rais kasema niwaambieni huu ni mwaka wa uchaguzi, mumrudishe madarakani.
---------------

Hii ni nchi ya vyama vingi jamani, Waislamu si wote wnaaipenda CCM na Rais wa CCM kumsikia masikioni mwao akinadiwa wakiwa msikitini. Kutumia mbinu zozote ziwezekanazo kubaki madarakani si sawa!

Ndivyo mnavyoharibu nchi zetu hizi za dunia ya tatu, kwa nini mko hivyo ???
 
Samia kashalewa madaraka sasa hasikii wala kujali chochote.
 
Kwani siku hizi wanategemea Kura za Makaratasi? Imeanza lini?

Mama hadi anajichanganya siku hizi.

Effect ya No Reform no Election🤣🤣
 

Sio kweli, Kasema waombewe, sio wampigie kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…