Pre GE2025 Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mada ni msikiti kama unayo ajenda ya kiwanda peleka ukajengewe!
umasikini wenu umewaathiri ongeza na dini yenu hiyo kutwa kuombaomba mjengewe misikiti kana kwamba ni kitu cha maana kumbe ni ujinga mtupu wa kurutubisha umasikini zaidi. Ombeni mjengewe vitu vya maana kurahisisha maisha yenu yawe bora. Wapi na lini uliona misikiti inaboresha maisha ya watu zaidi ya kuwapumbaza akili?
 
Nafikiri asubuhi umevuta bangi mimi sipo hilo eneo nimekuta mada hapa jf wewe una nini cha maana kama si maskini mwenye kumiliki techno mbovu..wala sijui huo msikiti upo wapi kama wenyewe wameona hitaji ni msikiti kwanini wasiombe..makanisa mangapi wameomba na hatukusikia umefungua huo mlango wa kinyesi ukisema chochote poor brain kuvamia watu kujifanya unajua kama una chuki za kidini wewe pambana peke yako tupo jukwaa huru kila mmoja kutoa maoni kama unataka kuboresha maisha kwa kujengewa kiwanda nenda kaombe!
 
mkiambiwa dini yenu inawaathiri vibaya muwe mnaelewa. Ukobazi ni mbaya sana, ona akili yako ilivyo na povu jingi
 
Siyo miundo mbinu, siyo huduma za kijamii na afya, siyo huduma za elimu na library, siyo huduma za maji, siyo....
MAITI kabisa kabisa kabisa 🤬 🤬 🤬 🤬 🤬 🤬
 
Back
Top Bottom