Rais Samia Amefanikiwa kujenga matumaini katika Mioyo ya Watanzania, Ndio Sababu ya kutamalaki kwa Amani na Utulivu hapa nchini

Majizi ya kura shughuli mnayo. Naona mnalazimisha kukubalika.
 
Ukweli ndio huo kuwa hapa nchini Hakuna chama chenye Sera ajenda na ilani Bora na za muda wote na kugusa maisha ya watu Kama ilivyo CCM
Mbona mnaogopa kuachia CHADEMA kifanye mikutano ya HADHARA ?

Ni kwamba mnajua CHADEMA kina mamilioni ya wafuasi.

Sisi kama CHADEMA tunajua kuwa kwa kumrudisha Kinana tunajua atatupa kazi sana.

Kwanini mnatuogopa hivyo?
 
Kwani marekani ulishaonaa wakimaliza uchaguzi wanaanza kuzurula zurula Kama mnavyotaka nyinyi hapa nchini? Huu Ni muda wa kuwatumikia watanzania, huu Ni muda kwa CCM kutekeleza ilani yake iliyoaminiwa na kupigiwa kura na mamillion ya watanzania wanaohitaji utumishi wake
 
Sasa mbona haujaweka namba yako ya simu? Tutakuzawadiaje kwa jitihada hizi?
 
Sijui Katiba ya Marekani inasemaje, ila Katiba yetu ya Tanzania inaruhusu mikutano ya HADHARA ndugu Mwashambwa.
 
Sikiliza jinsi wabunge wanavyo lipwa Mishahara yao kwa mwezi na marupurupu tele kwanza kisha ndio ulete sifa zako.

Your browser is not able to display this video.
 
UNYWAJI WA POMBE KUPITILIZA NI HATARI KWA AFYA YAKO.
 
🚮
 
Watanzania ni masikini sana na bado wanakatwa sana.

Samia anatakiwa kuwa makini sana anyway... bado tunampenda for now.
 
Ushuzi wa Lumumba huo...!!
 
Sijui Katiba ya Marekani inasemaje, ila Katiba yetu ya Tanzania inaruhusu mikutano ya HADHARA ndugu Mwashambwa.
Muda wa kampeni ukifika mtakwenda kwa watanzania kuwaeleza shida zenu, Ila kwa Sasa muacheni mama awatumikie watanzania
 
Ila mwashambwa unatia aibu kwa uchawa huo vyeo vipo tu si kwa namna unavyojikomba kwa kivuli cha eti uzalendo .ww mtu wa mbozi ni mtu wa ovyo sana .Watu wa design yako si wageni machoni petu wameambulia manyoya tu kwenye teuzi .Kama ipo ipo tu Mungu ndo anapanga
 
Muda wa kampeni ukifika mtakwenda kwa watanzania kuwaeleza shida zenu, Ila kwa Sasa muacheni mama awatumikie watanzania
Huo sasa ndio UBABE ambao nimekuambia kitambo kuwa mumezoea vya kunyonga vya HALALI hamuviwezi.

Bado tunaimani na ahadi za Samia ila tutafikia wakati nasi tutachoka hii ni Nchi yetu sote.
 
Mimi naelezea ukweli wa kazi kubwa aliyoifanya na anayoendelea kuifanya mh Rais wetu mpendwa, siwezi nikaona aibu kumpongeza na kumpa moyo na faraja mh Rais kwa kuogopa kusemwa na watu Kama wewe, Ni Haki yako pia kukaa kimya Kama unaona huna Cha kupongeza, nami pia Ni Haki yangu kupongeza kwa Yale nayoyaona mazuri ya mh Rais,
 
Huo sasa ndio UBABE ambao nimekuambia kitambo kuwa mumezoea vya kunyonga vya HALALI hamuviwezi.

Bado tunaimani na ahadi za Samia ila tutafikia wakati nasi tutachoka hii ni Nchi yetu sote.
Nashukuru kwa kukiri na kukubali kuwa bado unayo Imani na mh Rais wetu mpendwa mama Samia, Siyo wewe Bali Ni mamilioni ya watanzania wenye Imani na matumaini makubwa Sana na mh Rais wetu Mama Samia katika kutuongoza na kututumikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…