Rais Samia amefanya makubwa kuliko Marais wote Tanzania ila vijana wameharibiwa na Mange Kimambi

Kwa mambo ya 2025 amevunja rekodi za watangulizi wake wote.
 
Tokea tupate uhuru ni Rais pekee aliyeua maelfu ya raia wake ili aendelee kubaki madarakani
Ni Rais pekee aliyeuza rasilimali za taifa kwa kasi ya kimbunga
Ni Rais pekee aliyeshinda kura kwa asilimia 98 % zaidi ya kura milioni 31 wakati kwenye vituo vya kupigia kura hakukuwa na watu, sijui hizo kura zilishuka kutoka mbinguni au wapi
Katika kipindi chake Hali ya maisha na utendaji kazi wa taasisi za umma umedorora maradufu

Niishie hapo kwa leo nitarudi kesho
 
Rais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha Magufuli na wa kipindi chake.

Watumishi wa umma sasa hivi ukitaka kufanya kubadili taaluma on the spot unabadili na kulipwa mshahara mpya any time tofauti na kipindi cha Magufuli. Ndani ya miaka 5 ya Rais Samia watumishi tumepanda vyeo mara mbili kitu ambacho Magufuli alishindwa kufanya miaka yote ya Urais wake.

Sasa hivi ukitoka Dar es salaam unafika kila mkoa kwa barabara ya rami. Kila mtaa/kijiji Samia kaweka zahanati na zile zahanati za kata sasa zinageuzwa kuwa Health center. Vifaa ambavyo ulikuwa unavukuta hospitali za wilaya sasa utavikuta katani.

Wakulima wa kusini kwa miaka sasa tangu Rais Samia aingie wanapata ruzuku za mbolea na dawa za mikorosho ambazo ni ghari, wengi hawawezi kuzimudu. Nyie mashahidi kipindi cha Magufuli magari ya umma hasa majeshi kama Magereza, polisi, yalikuwa trip garage trip job.

Samia kayaweka Kando yote kaweka magari mapya. Hali ya wafanyabiashara ilikuwa ngumu sana kipindi cha Magufuli. Kila wakati Magufuli aliwaza kuvuna asichopanda. Alikuwa na roho ya umaskini, akiona million mia tu kwenye account ya mtu anatuma vijana. usipotoa chochote kitu anakwapua zote.

Mwishoni kafa , Chato mihela ilijaa store. Katika kipindi hichi cha Samia Kasi ya ujenzi wa makazi bora na maeneo ya huduma Dar es salaam imepanda kwa zaidi ya 400% compared na kipindi cha Magufuli mnayemtukuza.

Watanzania wazawa wengi sasa waneingia kwenye ubilionea baada ya serikali kuachilia tenda mbalimbali kwa kampuni za kizawa. Vijana mnataka nini?

Maelfu ya Watanzania vijana wanapata scholarship za serikali kila mwaka, Ajira za nje hasa falme za Kiarabu sasa ziko rasmi na zenye mikataba mzuri.
Kelele za nini?
Ni udini?
Ujinga?
Mkumbo wa kimtandao?
Mnamtaka mtu wa namna gani?

Mara ooho kauza bandari, kauza KIA, lakini cha ajabu hivyo vitu sasa ndo vinaleta mabilioni kuliko kipindi chochote. Watu walizoea kupitisha mizigo ya mabilioni bandarini huku wakinufaika wao tu.

..pia ameuwa watu wengi kuliko Maraisi wote.
 
Hakuna mtu anajua hayo makubwa, because wasaidizi wake wote mko busy na Heche

Mko busy na chadema,

Wala usishangae mtu akisema mama samia hamna kitu amefanya because hamna mtu amesema,

Kama watu wanasahau hata mambo makubwa ambayo mungu amefanya mpaka wakumbushwe makanisani na misikitini sembuse ishu ya mama samia ?
 
Hayo mambo ya kuangalia mtoto wake kuwa Wzziri ni wivu wa kipumbavu. Angalia big picture ya anavyojenga uchumi, period.

Hiyo DP WORLD umefuatilia takwimu za mizigo inayoluja nchini na mapato? Au umekaeirishwa tu na ukipofu ww akina Mwabukusi, Kitima na Lissu. Ipime SP WORLD kwa kasi ya kupakua meli na kuindosha mizigo bandarini
Unajua kuwa nepotism inapigwa vita(justly), hata kwenye kampuni ukiweka kwenye ranks za juu mwanao na mkweo lazima iwe ni disturbing issue na haihusiani na wivu ndiyo ije kwenye ofisi za umma ambapo kila benefits zao ni kodi za wananchi.
Stop your stupidity kwani hata kupeana vyeo kwa ukabila au udini kunapigwa vita sembuse kupeana vyeo kwa undungu(undugunization/nepotism) na mtu akisema ukweli you shamelessly start uttering rubbish eti wivu.
Are you really that stupid?
 
Hizo ni kazi za kisiasa, usilinganishe na za kitaalamu. Stop your stupidity
 
Sifa kubwa ya uchawa ni upofu wa akili,macho,elimu duni,ufinyu wa kutumia akili binafsi
 
Rais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha Magufuli na wa kipindi chake.

Watumishi wa umma sasa hivi ukitaka kufanya kubadili taaluma on the spot unabadili na kulipwa mshahara mpya any time tofauti na kipindi cha Magufuli. Ndani ya miaka 5 ya Rais Samia watumishi tumepanda vyeo mara mbili kitu ambacho Magufuli alishindwa kufanya miaka yote ya Urais wake.

Sasa hivi ukitoka Dar es salaam unafika kila mkoa kwa barabara ya rami. Kila mtaa/kijiji Samia kaweka zahanati na zile zahanati za kata sasa zinageuzwa kuwa Health center. Vifaa ambavyo ulikuwa unavukuta hospitali za wilaya sasa utavikuta katani.

Wakulima wa kusini kwa miaka sasa tangu Rais Samia aingie wanapata ruzuku za mbolea na dawa za mikorosho ambazo ni ghari, wengi hawawezi kuzimudu. Nyie mashahidi kipindi cha Magufuli magari ya umma hasa majeshi kama Magereza, polisi, yalikuwa trip garage trip job.

Samia kayaweka Kando yote kaweka magari mapya. Hali ya wafanyabiashara ilikuwa ngumu sana kipindi cha Magufuli. Kila wakati Magufuli aliwaza kuvuna asichopanda. Alikuwa na roho ya umaskini, akiona million mia tu kwenye account ya mtu anatuma vijana. usipotoa chochote kitu anakwapua zote.

Mwishoni kafa , Chato mihela ilijaa store. Katika kipindi hichi cha Samia Kasi ya ujenzi wa makazi bora na maeneo ya huduma Dar es salaam imepanda kwa zaidi ya 400% compared na kipindi cha Magufuli mnayemtukuza.

Watanzania wazawa wengi sasa waneingia kwenye ubilionea baada ya serikali kuachilia tenda mbalimbali kwa kampuni za kizawa. Vijana mnataka nini?

Maelfu ya Watanzania vijana wanapata scholarship za serikali kila mwaka, Ajira za nje hasa falme za Kiarabu sasa ziko rasmi na zenye mikataba mzuri.
Kelele za nini?
Ni udini?
Ujinga?
Mkumbo wa kimtandao?
Mnamtaka mtu wa namna gani?

Mara ooho kauza bandari, kauza KIA, lakini cha ajabu hivyo vitu sasa ndo vinaleta mabilioni kuliko kipindi chochote. Watu walizoea kupitisha mizigo ya mabilioni bandarini huku wakinufaika wao tu.
Hili ni jukwaa la CHADEMA na Wagalatia. Kwa uzi huu utaoga matusi mpaka ukome kwa sababu hakuna anayeweza kupinga ukweli uloandika
 
Kichwa chako cha habari kinasema vijana wameharibiwa na Mange Kimambi, Je, unataka kuiambia Dunia kwamba Mange Kimambi kwa sasa ana ushawishi mkubwa zaidi kuwazidi wote waliopo kwenye mfumo?
 
Njaa kwa vijana

Ukipima uroto wa pingili za uti kupima kiwango cha chakula alichonacho huyu mwanamke mleta post utagundua ana njaa ya zaidi ya miaka 9.

Wazazi jitahidin watoto wenu wasiwe ndugu wa njaa.
 
Hayo mambo ya kuangalia mtoto wake kuwa Wzziri ni wivu wa kipumbavu. Angalia big picture ya anavyojenga uchumi, period.

Hiyo DP WORLD umefuatilia takwimu za mizigo inayoluja nchini na mapato? Au umekaeirishwa tu na ukipofu ww akina Mwabukusi, Kitima na Lissu. Ipime SP WORLD kwa kasi ya kupakua meli na kuindosha mizigo bandarini
Mmeficha mkataba na DP World mafisadi.
 
Hizo ni kazi za kisiasa, usilinganishe na za kitaalamu. Stop your stupidity
Undugu, ukabila na udini hauwi excused kwenye uongozi wa kisiasa, nepotism popote utakapoifanya haibadiliki kuwa kitu kingine.
Y'all brainless chawa are one and the same, y'all can't see further than the end of your noses. Toka lini undugu, ukabila na udini vikawa excued kwenye uongzi wa kisiasa.
 
Tusi lipo wapi hapo kuambiwa nyie ni machawa?tangu lini mbwa akamjeuka anaemlisha na kumfuga?
Mtu akikuzidi akili na upeo wa kuchambua kwa vile huna jibu unaishia kumuita chawa. Come up with counter argument and not derogatory sweeping statements
 
Back
Top Bottom