Rais Samia amefanya makubwa kuliko Marais wote Tanzania ila vijana wameharibiwa na Mange Kimambi

Mmeficha mkataba na DP World mafisadi.
Kwani DP WORLD ina matatizo gani? Hata wakikaa hadi mwisho wa dunia huoni kabisa improved port operations? Huoni mzigo ulivyo mkubwa unaokuja Tanzania? Huoni pato la nchi likiongezeka?

Tuwe serious jamani tujitoe kwenye fikra finyu za timu ya Lissu, Mwabukusi, Dr Slaa na Kitima dhidi ya DP WORLD
 
Undugu, ukabila na udini hauwi excused kwenye uongozi wa kisiasa, nepotism popote utakapoifanya haibadiliki kuwa kitu kingine.
Y'all brainless chawa are one and the same, y'all can't see further than the end of your noses. Toka lini undugu, ukabila na udini vikawa excued kwenye uongzi wa kisiasa.
Unless awe ni non performer hapo nitakuunga mkono. Je unaujua uhusiano wa Rais Trump na Gerald Kushner? Je unaujua uhusiano wa Museveni na Muhoozi Kainerugaba?
 
Kutoa umeme toka 27k mpaka 323k aisee hapo sitakuja kumsamehe
Umeme wa Tsh 27,000 haupo popote pale. Hebu tumia akilili. Hata jilo la mkaa linauzwa Tsh 30,000 na mkaa utaununua.

Kweli uwekewe nguzo, service line na waya kwa Tsh 27,000?

Hiyo bei ilikuwa applicable kwa umeme wa REA kwa ajili ya vijijini ambao ni mradi wa Word Bank. Siyo urban electricity!! Magufuli aliwadanganya ti
 
Lukas mwasamba mwenzako yupo ICU na hao sisiemu baada ya kumtumia kama pedi
 
Rais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha Magufuli na wa kipindi chake.

Watumishi wa umma sasa hivi ukitaka kufanya kubadili taaluma on the spot unabadili na kulipwa mshahara mpya any time tofauti na kipindi cha Magufuli. Ndani ya miaka 5 ya Rais Samia watumishi tumepanda vyeo mara mbili kitu ambacho Magufuli alishindwa kufanya miaka yote ya Urais wake.

Sasa hivi ukitoka Dar es salaam unafika kila mkoa kwa barabara ya rami. Kila mtaa/kijiji Samia kaweka zahanati na zile zahanati za kata sasa zinageuzwa kuwa Health center. Vifaa ambavyo ulikuwa unavukuta hospitali za wilaya sasa utavikuta katani.

Wakulima wa kusini kwa miaka sasa tangu Rais Samia aingie wanapata ruzuku za mbolea na dawa za mikorosho ambazo ni ghari, wengi hawawezi kuzimudu. Nyie mashahidi kipindi cha Magufuli magari ya umma hasa majeshi kama Magereza, polisi, yalikuwa trip garage trip job.

Samia kayaweka Kando yote kaweka magari mapya. Hali ya wafanyabiashara ilikuwa ngumu sana kipindi cha Magufuli. Kila wakati Magufuli aliwaza kuvuna asichopanda. Alikuwa na roho ya umaskini, akiona million mia tu kwenye account ya mtu anatuma vijana. usipotoa chochote kitu anakwapua zote.

Mwishoni kafa , Chato mihela ilijaa store. Katika kipindi hichi cha Samia Kasi ya ujenzi wa makazi bora na maeneo ya huduma Dar es salaam imepanda kwa zaidi ya 400% compared na kipindi cha Magufuli mnayemtukuza.

Watanzania wazawa wengi sasa waneingia kwenye ubilionea baada ya serikali kuachilia tenda mbalimbali kwa kampuni za kizawa. Vijana mnataka nini?

Maelfu ya Watanzania vijana wanapata scholarship za serikali kila mwaka, Ajira za nje hasa falme za Kiarabu sasa ziko rasmi na zenye mikataba mzuri.
Kelele za nini?
Ni udini?
Ujinga?
Mkumbo wa kimtandao?
Mnamtaka mtu wa namna gani?

Mara ooho kauza bandari, kauza KIA, lakini cha ajabu hivyo vitu sasa ndo vinaleta mabilioni kuliko kipindi chochote. Watu walizoea kupitisha mizigo ya mabilioni bandarini huku wakinufaika wao tu.

Mmekutana wote vilaza. Yule fomu food failure kichwani hamna kitu kabisa. Kaharibu nchi kuliko mtu yeyote aliyewahi tokea. Nchi imejaa ukahaba tu
 
Mtu akikuzidi akili na upeo wa kuchambua kwa vile huna jibu unaishia kumuita chawa. Come up with counter argument and not derogatory sweeping statements
Uchawa hufunika uwezo wa akili
 
Unless awe ni non performer hapo nitakuunga mkono. Je unaujua uhusiano wa Rais Trump na Gerald Kushner? Je unaujua uhusiano wa Museveni na Muhoozi Kainerugaba?
All those two Kushner and Muhoozi are non performers

Those non performers are related to the first families of their respective countries.
Muhoozi son of Museveni and Kushner is Ivanka's husband(Ivanka is Trump's daughter), their nepotic appointments were as scandalous as Samia's appointments of her family imbeciles.
 
Your argument is intellectually lazy. Simply shouting "nepotism" doesn't erase the facts. Muhoozi spent decades in the military before promotion, while Kushner served in a legally established advisory role. Lumping every relative together is propaganda, not evidence. Produce proof they were incompetent or unlawfully appointed instead of recycling tired political slogans.
 
Kuua na kufukuza masai pale Loliondo, kuuza bandari, vifo 10k vilivyochezewa na kuwa 0.518k, balozi kupotezwa.

Hivi ndugaye, lokovi wako wapi siku hizi?
 
Whichever way you're trying to frame it, the definition of nepotism will never change.
Muhoozi has been ranting stupidly on number of controversial topics, he is unfit even to lead animals.
The stupid Kushner advised for the Palestinians to be moved to Egypt, he has ranted a lot of racist comments on American politics, literally he knows nothing about non whites. Unfit for any position in a multiratial nation.
There is no way any sensible and reasonable person can defend those goons.
 
Rais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha Magufuli na wa kipindi chake.

Watumishi wa umma sasa hivi ukitaka kufanya kubadili taaluma on the spot unabadili na kulipwa mshahara mpya any time tofauti na kipindi cha Magufuli. Ndani ya miaka 5 ya Rais Samia watumishi tumepanda vyeo mara mbili kitu ambacho Magufuli alishindwa kufanya miaka yote ya Urais wake.

Sasa hivi ukitoka Dar es salaam unafika kila mkoa kwa barabara ya rami. Kila mtaa/kijiji Samia kaweka zahanati na zile zahanati za kata sasa zinageuzwa kuwa Health center. Vifaa ambavyo ulikuwa unavukuta hospitali za wilaya sasa utavikuta katani.

Wakulima wa kusini kwa miaka sasa tangu Rais Samia aingie wanapata ruzuku za mbolea na dawa za mikorosho ambazo ni ghari, wengi hawawezi kuzimudu. Nyie mashahidi kipindi cha Magufuli magari ya umma hasa majeshi kama Magereza, polisi, yalikuwa trip garage trip job.

Samia kayaweka Kando yote kaweka magari mapya. Hali ya wafanyabiashara ilikuwa ngumu sana kipindi cha Magufuli. Kila wakati Magufuli aliwaza kuvuna asichopanda. Alikuwa na roho ya umaskini, akiona million mia tu kwenye account ya mtu anatuma vijana. usipotoa chochote kitu anakwapua zote.

Mwishoni kafa , Chato mihela ilijaa store. Katika kipindi hichi cha Samia Kasi ya ujenzi wa makazi bora na maeneo ya huduma Dar es salaam imepanda kwa zaidi ya 400% compared na kipindi cha Magufuli mnayemtukuza.

Watanzania wazawa wengi sasa waneingia kwenye ubilionea baada ya serikali kuachilia tenda mbalimbali kwa kampuni za kizawa. Vijana mnataka nini?

Maelfu ya Watanzania vijana wanapata scholarship za serikali kila mwaka, Ajira za nje hasa falme za Kiarabu sasa ziko rasmi na zenye mikataba mzuri.
Kelele za nini?
Ni udini?
Ujinga?
Mkumbo wa kimtandao?
Mnamtaka mtu wa namna gani?

Mara ooho kauza bandari, kauza KIA, lakini cha ajabu hivyo vitu sasa ndo vinaleta mabilioni kuliko kipindi chochote. Watu walizoea kupitisha mizigo ya mabilioni bandarini huku wakinufaika wao tu.
Huu ni ukweli ambao watu wengi hawataki kusikia, lakini ukweli ni kwamba tangu Mh. Rais Samia aingine madarakani ustawi wa maisha ya watu umeonekana, Ajira zimeongezeka kwa kiasi kikubwa serikali na sekta binafsi. Biashara za kimataifa hususan uwekezaji unakua kwa Kasi nchini kwa Kasi, sekta binafsi inafanya vizuri na hata Diplomasia yetu imekua kwa Kasi. Samia ametekeleza miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na mtangulizi wake.
 
Rais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha Magufuli na wa kipindi chake.

Watumishi wa umma sasa hivi ukitaka kufanya kubadili taaluma on the spot unabadili na kulipwa mshahara mpya any time tofauti na kipindi cha Magufuli. Ndani ya miaka 5 ya Rais Samia watumishi tumepanda vyeo mara mbili kitu ambacho Magufuli alishindwa kufanya miaka yote ya Urais wake.

Sasa hivi ukitoka Dar es salaam unafika kila mkoa kwa barabara ya rami. Kila mtaa/kijiji Samia kaweka zahanati na zile zahanati za kata sasa zinageuzwa kuwa Health center. Vifaa ambavyo ulikuwa unavukuta hospitali za wilaya sasa utavikuta katani.

Wakulima wa kusini kwa miaka sasa tangu Rais Samia aingie wanapata ruzuku za mbolea na dawa za mikorosho ambazo ni ghari, wengi hawawezi kuzimudu. Nyie mashahidi kipindi cha Magufuli magari ya umma hasa majeshi kama Magereza, polisi, yalikuwa trip garage trip job.

Samia kayaweka Kando yote kaweka magari mapya. Hali ya wafanyabiashara ilikuwa ngumu sana kipindi cha Magufuli. Kila wakati Magufuli aliwaza kuvuna asichopanda. Alikuwa na roho ya umaskini, akiona million mia tu kwenye account ya mtu anatuma vijana. usipotoa chochote kitu anakwapua zote.

Mwishoni kafa , Chato mihela ilijaa store. Katika kipindi hichi cha Samia Kasi ya ujenzi wa makazi bora na maeneo ya huduma Dar es salaam imepanda kwa zaidi ya 400% compared na kipindi cha Magufuli mnayemtukuza.

Watanzania wazawa wengi sasa waneingia kwenye ubilionea baada ya serikali kuachilia tenda mbalimbali kwa kampuni za kizawa. Vijana mnataka nini?

Maelfu ya Watanzania vijana wanapata scholarship za serikali kila mwaka, Ajira za nje hasa falme za Kiarabu sasa ziko rasmi na zenye mikataba mzuri.
Kelele za nini?
Ni udini?
Ujinga?
Mkumbo wa kimtandao?
Mnamtaka mtu wa namna gani?

Mara ooho kauza bandari, kauza KIA, lakini cha ajabu hivyo vitu sasa ndo vinaleta mabilioni kuliko kipindi chochote. Watu walizoea kupitisha mizigo ya mabilioni bandarini huku wakinufaika wao tu.
Hiyo nguvu iliyotumika ili uzaliwe bora baba yako angeitumia kuswakia tuu ili utemwe kama kohozi...
 
Kuua na kufukuza masai pale Loliondo, kuuza bandari, vifo 10k vilivyochezewa na kuwa 0.518k, balozi kupotezwa.

Hivi ndugaye, lokovi wako wapi siku hizi?
Nyie Matahira hamna mnachokijua zaidi ya data fake za Mange Kimambi.
MANGE KIMAMBI kwakuwa amewajua nyie ni wajinga anawalisha ujinga kila siku.
Mamlaka ya bandari bado ipo , inaendelea kuajiri na kusimamia bandari zote za Tanzania licha ya nyie wajinga kuaminishwa kuwa bandari zote zimeuzwa
 
Rais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha Magufuli na wa kipindi chake.

Watumishi wa umma sasa hivi ukitaka kufanya kubadili taaluma on the spot unabadili na kulipwa mshahara mpya any time tofauti na kipindi cha Magufuli. Ndani ya miaka 5 ya Rais Samia watumishi tumepanda vyeo mara mbili kitu ambacho Magufuli alishindwa kufanya miaka yote ya Urais wake.

Sasa hivi ukitoka Dar es salaam unafika kila mkoa kwa barabara ya rami. Kila mtaa/kijiji Samia kaweka zahanati na zile zahanati za kata sasa zinageuzwa kuwa Health center. Vifaa ambavyo ulikuwa unavukuta hospitali za wilaya sasa utavikuta katani.

Wakulima wa kusini kwa miaka sasa tangu Rais Samia aingie wanapata ruzuku za mbolea na dawa za mikorosho ambazo ni ghari, wengi hawawezi kuzimudu. Nyie mashahidi kipindi cha Magufuli magari ya umma hasa majeshi kama Magereza, polisi, yalikuwa trip garage trip job.

Samia kayaweka Kando yote kaweka magari mapya. Hali ya wafanyabiashara ilikuwa ngumu sana kipindi cha Magufuli. Kila wakati Magufuli aliwaza kuvuna asichopanda. Alikuwa na roho ya umaskini, akiona million mia tu kwenye account ya mtu anatuma vijana. usipotoa chochote kitu anakwapua zote.

Mwishoni kafa , Chato mihela ilijaa store. Katika kipindi hichi cha Samia Kasi ya ujenzi wa makazi bora na maeneo ya huduma Dar es salaam imepanda kwa zaidi ya 400% compared na kipindi cha Magufuli mnayemtukuza.

Watanzania wazawa wengi sasa waneingia kwenye ubilionea baada ya serikali kuachilia tenda mbalimbali kwa kampuni za kizawa. Vijana mnataka nini?

Maelfu ya Watanzania vijana wanapata scholarship za serikali kila mwaka, Ajira za nje hasa falme za Kiarabu sasa ziko rasmi na zenye mikataba mzuri.
Kelele za nini?
Ni udini?
Ujinga?
Mkumbo wa kimtandao?
Mnamtaka mtu wa namna gani?

Mara ooho kauza bandari, kauza KIA, lakini cha ajabu hivyo vitu sasa ndo vinaleta mabilioni kuliko kipindi chochote. Watu walizoea kupitisha mizigo ya mabilioni bandarini huku wakinufaika wao tu.
downloadfile-7.jpg
 
Back
Top Bottom