ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Amewanyoosha na kazi amepigaTokea tupate uhuru ni Rais pekee aliyeua maelfu ya raia wake ili aendelee kubaki madarakani
Ni Rais pekee aliyeuza rasilimali za taifa kwa kasi ya kimbunga
Ni Rais pekee aliyeshinda kura kwa asilimia 98 % zaidi ya kura milioni 31 wakati kwenye vituo vya kupigia kura hakukuwa na watu, sijui hizo kura zilishuka kutoka mbinguni au wapi
Katika kipindi chake Hali ya maisha na utendaji kazi wa taasisi za umma umedorora maradufu
Niishie hapo kwa leo nitarudi kesho
Rais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha Magufuli na wa kipindi chake.
Watumishi wa umma sasa hivi ukitaka kufanya kubadili taaluma on the spot unabadili na kulipwa mshahara mpya any time tofauti na kipindi cha Magufuli. Ndani ya miaka 5 ya Rais Samia watumishi tumepanda vyeo mara mbili kitu ambacho Magufuli alishindwa kufanya miaka yote ya Urais wake.
Sasa hivi ukitoka Dar es salaam unafika kila mkoa kwa barabara ya rami. Kila mtaa/kijiji Samia kaweka zahanati na zile zahanati za kata sasa zinageuzwa kuwa Health center. Vifaa ambavyo ulikuwa unavukuta hospitali za wilaya sasa utavikuta katani.
Wakulima wa kusini kwa miaka sasa tangu Rais Samia aingie wanapata ruzuku za mbolea na dawa za mikorosho ambazo ni ghari, wengi hawawezi kuzimudu. Nyie mashahidi kipindi cha Magufuli magari ya umma hasa majeshi kama Magereza, polisi, yalikuwa trip garage trip job.
Samia kayaweka Kando yote kaweka magari mapya. Hali ya wafanyabiashara ilikuwa ngumu sana kipindi cha Magufuli. Kila wakati Magufuli aliwaza kuvuna asichopanda. Alikuwa na roho ya umaskini, akiona million mia tu kwenye account ya mtu anatuma vijana. usipotoa chochote kitu anakwapua zote.
Mwishoni kafa , Chato mihela ilijaa store. Katika kipindi hichi cha Samia Kasi ya ujenzi wa makazi bora na maeneo ya huduma Dar es salaam imepanda kwa zaidi ya 400% compared na kipindi cha Magufuli mnayemtukuza.
Watanzania wazawa wengi sasa waneingia kwenye ubilionea baada ya serikali kuachilia tenda mbalimbali kwa kampuni za kizawa. Vijana mnataka nini?
Maelfu ya Watanzania vijana wanapata scholarship za serikali kila mwaka, Ajira za nje hasa falme za Kiarabu sasa ziko rasmi na zenye mikataba mzuri.
Kelele za nini?
Ni udini?
Ujinga?
Mkumbo wa kimtandao?
Mnamtaka mtu wa namna gani?
Mara ooho kauza bandari, kauza KIA, lakini cha ajabu hivyo vitu sasa ndo vinaleta mabilioni kuliko kipindi chochote. Watu walizoea kupitisha mizigo ya mabilioni bandarini huku wakinufaika wao tu.
Angeua zaidi ya hao kama wangeendelea kufanya ule ushenzi ulioasisiwa na Gwajima na genge lake.Kweli hakuna rais ambaye ameua Watanganyika zaidi ya 10,000 kwa siku tatu tu.View attachment 3683858View attachment 3683859
Mpumbavu na msenge kama wewe nakupuuza tu.Angeua zaidi ya hao kama wangeendelea kufanya ule ushenzi ulioasisiwa na Gwajima na genge lake.
Nawahakikishia kama mngefanya ule ushenzi kwenye uchaguzi mkuu 2020 hawa wadhamini wenu akina Gwajima na wahuni wengine wangechunwa ngozi mchana kweupe.
ushenzi wenu wote mlikuwa hamgusi utawala wa Magufuli
Machoko kama wewe ni wa kupigiwa miti kisha mnapelekwa Segerea kwa uhaini.Mpumbavu na msenge kama wewe nakupuuza tu.
Jikite kwenye hoja za maendeleo kama hiziMachoko kama wewe ni wa kupigiwa miti kisha mnapelekwa Segerea kwa uhaini.
Kweli hakuna rais ambaye ameua Watanganyika zaidi ya 10,000 kwa siku tatu tu.View attachment 3683858View attachment 3683859
Ni kweli, Kuua watu elfu 17 siyo jambo dogoRais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha Magufuli na wa kipindi chake.
Watumishi wa umma sasa hivi ukitaka kufanya kubadili taaluma on the spot unabadili na kulipwa mshahara mpya any time tofauti na kipindi cha Magufuli. Ndani ya miaka 5 ya Rais Samia watumishi tumepanda vyeo mara mbili kitu ambacho Magufuli alishindwa kufanya miaka yote ya Urais wake.
Sasa hivi ukitoka Dar es salaam unafika kila mkoa kwa barabara ya rami. Kila mtaa/kijiji Samia kaweka zahanati na zile zahanati za kata sasa zinageuzwa kuwa Health center. Vifaa ambavyo ulikuwa unavukuta hospitali za wilaya sasa utavikuta katani.
Wakulima wa kusini kwa miaka sasa tangu Rais Samia aingie wanapata ruzuku za mbolea na dawa za mikorosho ambazo ni ghari, wengi hawawezi kuzimudu. Nyie mashahidi kipindi cha Magufuli magari ya umma hasa majeshi kama Magereza, polisi, yalikuwa trip garage trip job.
Samia kayaweka Kando yote kaweka magari mapya. Hali ya wafanyabiashara ilikuwa ngumu sana kipindi cha Magufuli. Kila wakati Magufuli aliwaza kuvuna asichopanda. Alikuwa na roho ya umaskini, akiona million mia tu kwenye account ya mtu anatuma vijana. usipotoa chochote kitu anakwapua zote.
Mwishoni kafa , Chato mihela ilijaa store. Katika kipindi hichi cha Samia Kasi ya ujenzi wa makazi bora na maeneo ya huduma Dar es salaam imepanda kwa zaidi ya 400% compared na kipindi cha Magufuli mnayemtukuza.
Watanzania wazawa wengi sasa waneingia kwenye ubilionea baada ya serikali kuachilia tenda mbalimbali kwa kampuni za kizawa. Vijana mnataka nini?
Maelfu ya Watanzania vijana wanapata scholarship za serikali kila mwaka, Ajira za nje hasa falme za Kiarabu sasa ziko rasmi na zenye mikataba mzuri.
Kelele za nini?
Ni udini?
Ujinga?
Mkumbo wa kimtandao?
Mnamtaka mtu wa namna gani?
Mara ooho kauza bandari, kauza KIA, lakini cha ajabu hivyo vitu sasa ndo vinaleta mabilioni kuliko kipindi chochote. Watu walizoea kupitisha mizigo ya mabilioni bandarini huku wakinufaika wao tu.
Nyie minduku hamna sera mpya wala akili.Ni kweli, Kuua watu elfu 17 siyo jambo dogo