Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Ni kama ule uchaguzi waoKama Lisu hayupo kwenye hicho kikao hayo mazungumzo ni batili na maigizo ya kupotezeana muda tu...
Ni kama ule uchaguzi waoKama Lisu hayupo kwenye hicho kikao hayo mazungumzo ni batili na maigizo ya kupotezeana muda tu...
Huyo Dovutwa ni sawa na Chadema 500.Namuona Dovutwa kwa mbaaaali 😆😆😆😆😆😆
Yoh yoh yoooooh kwako Tena mkata vinembe.well done Dr Samia Suluhu Hassan Rais na kipenzi cha waTanzania wote.
unafanya kazi nzuri sana Mama ya kuwaunganisha waTanzania wote, regardless ya utofauti za kisiasa au kidini 👊💪
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezugumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2026.
View attachment 3640063View attachment 3640064
Tatizo nitajuaje hii ni AI au ni ya akili ya binadamu wa kawaida!? 🤔🤔Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezugumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2026.
View attachment 3640063View attachment 3640064
Kiazi kinapendwa na viaziwell done Dr Samia Suluhu Hassan Rais na kipenzi cha waTanzania wote.
unafanya kazi nzuri sana Mama ya kuwaunganisha waTanzania wote, regardless ya utofauti za kisiasa au kidini 👊💪
huenda wafuata mkumbo wanaweza kukuelewa gentleman 🐒Kiazi kinapendwa na viazi