Rais Samia amefanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar es Salaam

Rais Samia amefanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar es Salaam

well done Dr Samia Suluhu Hassan Rais na kipenzi cha waTanzania wote.

unafanya kazi nzuri sana Mama ya kuwaunganisha waTanzania wote, regardless ya utofauti za kisiasa au kidini 👊💪
Unaonaje Lisu ahusishwe kwenye maridhiano au afungwe?
 
Unaonaje Lisu ahusishwe kwenye maridhiano au afungwe?
Gentleman,
kibaraka, wewe au mimi sio muhimu wala sio lazima tuwe sehemu ya maridhiano hayo ya hiyari ya kitaifa miongoni mwa waTanzania wote.

tunaweza kuwakilishwa na waTanzania wengine na itapendeza zaidi 🐒
 
Samia amekutana na Washirika wake
Unawapa heshima kubwa sana.
hawa siyo "washirika" hata kiduchu.

Nakushauri utafute neno jingine linalofaa.

Hivi hakuna hata mmoja aliyepewa kipaza sauti azungumze, mbona hakuna kinachoelezwa kilisemwa na angalau mmoja wa hao misukule ya CCM?
 
Back
Top Bottom