Rais Samia amefanya mazungumzo na Viongozi wa Vyama vya Siasa Ikulu Dar es Salaam

Akina Hashim Rungwe n.a. yule Jamaa anayehamasisha kuzaa bila mpango
Namuona OMO na Jussa hawa jamaa wao kwa wao na mtu wao wakivuka bahari wanateteana sana,tofauti na sisi Mitanganyika, ukitaka kujua siku hizi hata wale ambao walikuwa huwaoni kwenye mikutano siku hizi utawaona hasa baba yake aliyekuwa shangazi wa taifa, ambaye siku hizi kaufyata kisa analamba asali za mtu wa kwao, hawa watu ni wanafiki sana, nakumbuka kelele za shangazi ka mwendazake siku hizi kageuka, kisa mtu wa kwao, hizo ndio tabia za watu wa majahazi.
 
Fatuma Karume kamezwa na Uzanzibar
 
Back
Top Bottom