Wa vyama gani sababu sijaona wa cdm au vyama rafiki Lets be precisely.naona sura za akina hasimu Rungwe na wengineoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezugumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa nchini, Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2026.
View attachment 3640063View attachment 3640064
Master T nikimkumbuka machozi yanatoka.kijana mdogo ndo kwanza alikuwa yuko kwenye peak.RIP master we will never forget youHawezi kupata amani huyu mama, kwa kiburi na ghilba aliyotumia kuua maelfu ya watu, wakiwemo wanawake na watoto. Atahangaika sana.
Ni kama ule uchaguzi wao
Namuona OMO na Jussa hawa jamaa wao kwa wao na mtu wao wakivuka bahari wanateteana sana,tofauti na sisi Mitanganyika, ukitaka kujua siku hizi hata wale ambao walikuwa huwaoni kwenye mikutano siku hizi utawaona hasa baba yake aliyekuwa shangazi wa taifa, ambaye siku hizi kaufyata kisa analamba asali za mtu wa kwao, hawa watu ni wanafiki sana, nakumbuka kelele za shangazi ka mwendazake siku hizi kageuka, kisa mtu wa kwao, hizo ndio tabia za watu wa majahazi.Akina Hashim Rungwe n.a. yule Jamaa anayehamasisha kuzaa bila mpango
Hiviii, walirudisha yale magari?Ni Samia. Siyo “Rais” Samia.
Halafu hajafanya mazungumzo na viongozi wa vyama vya siasa nchini.
Kafanya maigizo na CCM wenzake.
Juisi haipoNamuona Heche na Mnyika wanavyofakamia juisi kwa fujo!!
Fatuma Karume kamezwa na UzanzibarNamuona OMO na Jussa hawa jamaa wao kwa wao na mtu wao wakivuka bahari wanateteana sana,tofauti na sisi Mitanganyika, ukitaka kujua siku hizi hata wale ambao walikuwa huwaoni kwenye mikutano siku hizi utawaona hasa baba yake aliyekuwa shangazi wa taifa, ambaye siku hizi kaufyata kisa analamba asali za mtu wa kwao, hawa watu ni wanafiki sana, nakumbuka kelele za shangazi ka mwendazake siku hizi kageuka, kisa mtu wa kwao, hizo ndio tabia za watu wa majahazi.
Chawa wa uchafunihuenda wafuata mkumbo wanaweza kukuelewa gentleman 🐒
umepanic gentleman, right?🐒Chawa wa uchafuni
Si unaona alivyopururuka kama kama changu aliyetoka kutoa mimba dadeqHawezi kupata amani huyu mama, kwa kiburi na ghilba aliyotumia kuua maelfu ya watu, wakiwemo wanawake na watoto. Atahangaika sana.
Ni kweli Amani sio kitu kinachokuja kuja tuHawezi kupata amani huyu mama, kwa kiburi na ghilba aliyotumia kuua maelfu ya watu, wakiwemo wanawake na watoto. Atahangaika sana.
AIBU KWELI KWELI YAANI
Washafanya maridhiano wawezaje kujitenga?Hivi na ACT wameyabariki au safari hii wamejitenga....!!?
Aaaahh kumbeeSiku 90 zinakaribia
Washafanya maridhiano wawezaje kujitenga?
Waangalie hao wa mbele humuoni heche kashika glass!!Juisi haipo