Rais Samia amefanya Uteuzi na Uhamisho wa viongozi mbalimbali leo tarehe 14.12.2023

Rais Samia amefanya Uteuzi na Uhamisho wa viongozi mbalimbali leo tarehe 14.12.2023

Hongera sana Bi Regina Bieda, hakika umefanya kazi kubwa sana Momba pamoja na changamoto nyingi zilizopo. Ombi langu kwako ni kwamba usiache kumfunda mgeni (Mkurugenzi anayechukua nafasi yako) namna ya kuishi na yule bwana wa kidato kile...... Zaidi nakutakia kila la kheri huko uendako
 
Hizi nafasi (wakuu wa wilaya, wakurugenzi, Makatibu wilaya) wazitoe chini ya mamlaka ya Rais (zisiwe sehemu za teuzi za Raisi).
Hizi kazi wawe wanaomba kwa wananchi wanaokwenda kuwatumikia ili wakiboronga wachomolewe instantly
 
Back
Top Bottom