Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

Nuzulati... Hapo kwenye magonjwa hapo weeee kimbembe kweli...
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
All in all nipate hela kwanza mengine tajua hapo hapo dadek πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Nakwambia unaweza ukawa na pesa ila wewe ukawa kama ngazi ili wenzio wanufaike unakuta mke,ndugu na marafiki ndio wanafanyia anasa pesa zako wewe sasa mwili kama mbu.
 
Kwa hali iliyopo sasa...there is no way anatakiwa kuendelea kuwa Rais...The Only way ni kuachia Urais mara moja...na awajibike kwa yakiyotikea MO 29.....
 
Nakwambia unaweza ukawa na pesa ila wewe ukawa kama ngazi ili wenzio wanufaike unakuta mke,ndugu na marafiki ndio wanafanyia anasa pesa zako wewe sasa mwili kama mbu.
Eeeeeh bora hv hv tuu..
Ndo mana una kuta mtu tajiri ila furaha hana an mda wote mambo yamevurugika...

Kama ndio hvo hapana sitaki..
Ngoja nisubri pesa zangu za kubeti tu
 
Eeeeeh bora hv hv tuu..
Ndo mana una kuta mtu tajiri ila furaha hana an mda wote mambo yamevurugika...

Kama ndio hvo hapana sitaki..
Ngoja nisubri pesa zangu za kubeti tu
Mkuu kuna utajiri wa Amani na wamateso wote kwa pamoja tunaomba tupate utajiri wa Amani ambao tutaufurahia sio ambao utatutoa machozi na majuto mengi.
 
Kuweni makini, hiyo ni mbinu chafu ya kitengo. Amejikondesha ili atie huruma, Watanganyika waanze kumwonea huruma, lakini mtu huyo hajutii chochote. Msiwe wajinga. Ni picha ya kutafuta huruma.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu sasa ukigundua binadam hatujawahi kuridhika ndo utachoka kabisaa.
Utu umeenda na bado unajiona kuna vitu huja accomplish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…