Badala ya kufuta kesi mbambikizi, anafuta Nini?Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi.
Tozo hiyo ikiondolewa, fedha zitarudi mifukoni mwa wananchi.
Hongera na Asante Rais Samia kwa kuwajali wakulima
Wewe ni mkulima wakulima ndio watakaonufaika na kufutwa kwa tozo hizi hujui adha zake zilivyoRubbish.
Hizo tozo za mazao zinamgusa mkulima yupi?
Watanzania wanataka afute tozo za miamala ya simu maana zinatuumiza sote.
Hizi kesi bambikizi inawezekana waliozibambika wanamzidi nguvu, maana ikiwa waziri wa afya alisema fulani awekwe ndani kwa kupinga maamuzi ya serikali mtekelezaji amri akasema hawezi kutii hiyo amri!!Badala ya kufuta kesi mbambikizi, anafuta Nini?
Yaani hata unachokiandika hukijui.Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi.
Tozo hiyo ikiondolewa, fedha zitarudi mifukoni mwa wananchi.
Hongera na Asante Rais Samia kwa kuwajali wakulima
Umeonaeeee?Mapambio at work
Haya kesho njoo hapa lumumba uchukue barua uende ukawe msimamizi wa wamachingaRais ameonyesha utu na kuthamini mkulima na mvuvi. Hongera mama.
Bunge la mazuzu kupitisha sheria kwa mihemuko!Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi.
Tozo hiyo ikiondolewa, fedha zitarudi mifukoni mwa wananchi.
Hongera na Asante Rais Samia kwa kuwajali wakulima
Mkuu mijitu kama hiyo hata hayana access ya kutumia hiyo huduma za mitandaoRubbish.
Hizo tozo za mazao zinamgusa mkulima yupi?
Watanzania wanataka afute tozo za miamala ya simu maana zinatuumiza sote.
Uchafuzibado tozo za simu afute haraka, zitahariu uchaguzi ujao.