Rais Samia amefuta Tozo

Rais Samia amefuta Tozo

Anna Nkya

Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
69
Reaction score
341
Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi.

Tozo hiyo ikiondolewa, fedha zitarudi mifukoni mwa wananchi.

Hongera na Asante Rais Samia kwa kuwajali wakulima
 
Attachments

  • Mabadiliko ya sheria.mp4
    22.5 MB
Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi.

Tozo hiyo ikiondolewa, fedha zitarudi mifukoni mwa wananchi.

Hongera na Asante Rais Samia kwa kuwajali wakulima
Badala ya kufuta kesi mbambikizi, anafuta Nini?
 
Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi.

Tozo hiyo ikiondolewa, fedha zitarudi mifukoni mwa wananchi.

Hongera na Asante Rais Samia kwa kuwajali wakulima
Yaani hata unachokiandika hukijui.
Kwako wewe shabaha ni kusifia na mapambio
 
Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi.

Tozo hiyo ikiondolewa, fedha zitarudi mifukoni mwa wananchi.

Hongera na Asante Rais Samia kwa kuwajali wakulima
Bunge la mazuzu kupitisha sheria kwa mihemuko!
 
Rubbish.
Hizo tozo za mazao zinamgusa mkulima yupi?
Watanzania wanataka afute tozo za miamala ya simu maana zinatuumiza sote.
Mkuu mijitu kama hiyo hata hayana access ya kutumia hiyo huduma za mitandao
 
Back
Top Bottom