Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kitu tutateseka ,kuhangaika na kuchukua muda mrefu .basi ni kumpata Kiongozi Mwingine aina ya Rais Samia katika Taifa hili.Kiongozi mwenye huruma na upendo mkubwa sana kwa watanzania.
Rais Samia Ni kiongozi ambaye anapozungumza juu ya Maisha ya watanzania unaona maneno yake yakitoka ndani ya sakafu ya Moyo wake na unaona wazi kabisa akimaanisha kile anachoongea na kuzungumza.
Rais Samia ni kiongozi Ambaye Anaumia sana na kusononeka sana na kuguswa sana pale watanzania wanapopata matatizo au janga fulani.Ni kiongozi ambaye anaumia sana anapoona Roho ya Mtanzania mmoja inapotea katika ajali ya aina yoyote ile au janga lolote lile. Unaona namna anavyokosa amani,furaha na kujawa na maumivu ,uchungu na simanzi kubwa sana katika moyo wake.
.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Huyu Mama kwa hakika ni wakipekee sana .Najivunia sana kuongozwa na Rais Samia.Namkubali sana Rais Samia.Namkubali kupita maelezo mpaka natamani aongoze Taifa letu mpaka aseme imetosha na anaomba kukaa pembeni kubaki kama mshauri tu. Kwa wasio ona mbali na wenye chuki binafsi na mioyo ya kibaguzi najua ni ngumu sana kunielewa.lakini wenye kuona mbali wanatambua ya kuwa RAIS Samia ni Zawadi ya kipekee kwa Taifa letu tuliyopatiwa na Mwenyezi Mungu