Rais Samia amejaa Upendo na Huruma kubwa sana kwa Watanzania

Rais Samia amejaa Upendo na Huruma kubwa sana kwa Watanzania

Kazi yako ngumu sana mkuu.

Jengo limedondoka asubuhi around saa tatu kasoro Mama anayewapenda watanzania akaondoka saa tano asubuhi.

Mitano Tena kwa Mama kizimkazi na hapa ipo.
 
Acha njaa
Tafuta kazi
Unajipendekeza uteuliwe
Unajitoa utu wako
Cheo hupati
Endelea kujionesha kuwa ww ni ovyo
Tafuta pesa, jiamini
Sifa mpe Mungu sio binadamu
Mimi ni mkulima na wala sijipendekezi au kutafuta uteuzi
 
Back
Top Bottom