Sergeant Stonebridge
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 479
- 4,894
huyo mleta Lucas ni mchumia tumbo
kutwa nzima kusifia tu
HAKUNA TEUZI
tangu uanze kusifia hadi Leo
hawajamuona tu?
anajaza tu server bure na huu utumbo wake
kutwa nzima kusifia hata mambo ya kijinga
hivi hana wazazi awasifie?
ifike sehemu aone hata aibu sasa.
Hakuna miradi ya maendeleo inaendelea
yote imesimama kisa hakuna hela
wakati huo kuna hela zinatolewa kama hisani.
kutwa nzima kusifia tu
HAKUNA TEUZI
tangu uanze kusifia hadi Leo
hawajamuona tu?
anajaza tu server bure na huu utumbo wake
kutwa nzima kusifia hata mambo ya kijinga
hivi hana wazazi awasifie?
ifike sehemu aone hata aibu sasa.
Hakuna miradi ya maendeleo inaendelea
yote imesimama kisa hakuna hela
wakati huo kuna hela zinatolewa kama hisani.
Laiti kama ungejaliwa kufika shule ya msingi Kiranyi ungebadili kichwa cha habari yako. Hizo shilingi milioni mia saba alizotoa kuwapa Taifa stars kwa sababu ya kufuzu Afcon zingebadilisha kabisa maisha ya wanafunzi wa shule ya msingi Kiranyi. Endelea kusifia