Rais Samia amejaa Upendo na Huruma kubwa sana kwa Watanzania

huyo mleta Lucas ni mchumia tumbo
kutwa nzima kusifia tu
HAKUNA TEUZI
tangu uanze kusifia hadi Leo
hawajamuona tu?
anajaza tu server bure na huu utumbo wake
kutwa nzima kusifia hata mambo ya kijinga
hivi hana wazazi awasifie?
ifike sehemu aone hata aibu sasa.

Hakuna miradi ya maendeleo inaendelea
yote imesimama kisa hakuna hela
wakati huo kuna hela zinatolewa kama hisani.
 
Mimi naongea ukweli na siyo kusifia .
 
utu, huruma, dhamira na nia yake njema kwa wanainchi na taifa kwa ujumla, vimekua ni faraja, chachu na hamasa kubwa sana kwa makundi yote ya waTanzania kufanya kazi kwa bidii zaid ili hatimae kufikia matarajio na matamanio yao, katika maisha.

Asanti Mungu kwa kutujaalia huyu mama Dr.Samia Suluhu Hassan, kama kiongozi wa taifa letu Tanzania.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi 🌹
 
Ni vipi utaweza watumikia watu kama huna huruma wala kuguswa na Maisha ya watu?
Utumishi sio Hisani, unalipwa ili ufanye..., na kinachoendelea leaves a lot to be desired..., Ni Heri katili anayefanya kuliko so called mwenye huruma asiyefanya..., Actions Speaks Louder than Words...

 
Kiongozi niseme kama hawakulipi kufanya kazi hii basi Mungu akuzidishie moyo huu(sio kawaida).Japo ukipata muda basi uwe unamkumbuka ata mama yako mzazi maana sijui kama unapata ata muda wa kumsalimu(au wewe ndiye Abdul sio?).Anyway,all the best sir!
 
Mwashambwa unatukera na uchawa wako. Kama Samia angekua anathamini uchawa wako ungeshapata uteuzi. Samia anatambua mwenyewe amekua rais kwa bahati mbaya tu kwa taifa. Mwenyewe alisema hawezi kuvaa viatu vya magufuli rais aliyekua jasiri na kupendwa sana na watanzania. Mwanzo wa urais wa samia tuliona jinsi kiitikadi na misingi ya chama chake alivyoyumba. Wahuni wakamteka na kutaka awe kibaraka wa falsafa za kiliberali.
Ukweli nchi inahitaji kiongozi mfano wa Magufuli ili turudi kwenye njia ya maendeleo haki na usawa, kijamii na kiuchumi. Tunahitaji kiongozi mzalendo jasiri asiye mbinafsi na mwenye maarifa tele tuweze kusonga mbele. Mtu huyo sio Samia na yeye anajua. Mwenyewe tunategemea atoe mchango wake tupate kiongozi mfano wa Magufuli. Akifanya hivyo hakika hatutomsahau kwa mchango wake.
 
Aibu naona mm..))
Naomba Mungu sana nisiwe na mtoto/mjukuu/kitukuu atakaye kuwa chawa..
Ni uzao wa mapooza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…