CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,157
- 5,451
Mama Kazi kaifanya apewe maua yakeMama Samia anatisha kweli kweli
hakika mama hana baya kwa WatanzaniaMama Kazi kaifanya apewe maua yake
Kwani hayatimii pesa?Kwa kuongeza deni hadi 107T hayo majengo majengo hayana gharama sana
Ni bure ubayoa andika hatumtaki ndio wimbo wetuRais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya elimu ya mafunzo ya ufundi stadi. Jitihada hizo zimewezesha ongezeko la udahili wa wanafunzi katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 344,815 mwaka 2020 hadi 440,000 mwaka 2024. Aidha katika kuhakikisha watoto kutoka familia zenye kipato cha chini wanapata fursa sawa ya elimu hii, Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kiongozi msikivu na mwenye kujali imeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati kwa kozi za kipaumbele.
Hawa vijana 440,000 wakitoka tayari wanaajira zao mkononi, Tukisema mama Samia anatufaa hadi 2030 hiki ndicho kinatuvutia
Hamumtaki wewe na nani?Ni bure ubayoa andika hatumtaki ndio wimbo wetu
Hakuna pesa katoa kwenye kibunda chake zaidi ya kuchota za mikopo na kodi za watu wa tanganyika
Mm na watanganyika wenye uchungu na rasilimali zaoHamumtaki wewe na nani?
Sasa mlitaka atoe kutoka kwa mfuko wa familia? Tunapenda kuropoka sana bila kufikiri.Awamu ya 12345 zooote hamkukosa la kulaumu hatushangai hata sasaNi bure ubayoa andika hatumtaki ndio wimbo wetu
Hakuna pesa katoa kwenye kibunda chake zaidi ya kuchota za mikopo na kodi za watu wa tanganyika
Kwani hii si bado awamu ya 5 ww veepeSasa mlitaka atoe kutoka kwa mfuko wa familia? Tunapenda kuropoka sana bila kufikiri.Awamu ya 12345 zooote hamkukosa la kulaumu hatushangai hata sasa
ILA "WHO THE CAPE FIT LET HIM / HER WEAR IT"
So what?Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya elimu ya mafunzo ya ufundi stadi. Jitihada hizo zimewezesha ongezeko la udahili wa wanafunzi katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 344,815 mwaka 2020 hadi 440,000 mwaka 2024. Aidha katika kuhakikisha watoto kutoka familia zenye kipato cha chini wanapata fursa sawa ya elimu hii, Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kiongozi msikivu na mwenye kujali imeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati kwa kozi za kipaumbele.
Hawa vijana 440,000 wakitoka tayari wanaajira zao mkononi, Tukisema mama Samia anatufaa hadi 2030 hiki ndicho kinatuvutia
MAMA ANATISHWA KWA KUSEMA NA KWELI YA MUNGUHuyu Mama mambo anayoyafanya kama huyaelewi basi wewe unashida kubwa.
SIO POLEPOLEMama Samia anatisha kweli kweli
Unavyo sema amejenga utadhani pesa katoa kizimkazi? Halafu mabaya yake hamtaki yasemwe ya samia kweli nyie viazi mbatataRais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.