kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 2,181
- 1,988
Dr Samia ndio Rais anaishi ndoto za Mwalimu kuhusu maadui wa Taifa
UmesemaDr Samia ndio Rais anaishi ndoto za Mwalimu kuhusu maadui wa Taifa
TuliaNawewe
Wengi ni wajinga kama weweKwanini watu watapeliwe?
kwema mkuuAcheni upumbavu
Baada ya muda nchi itajaa mafundi tuuu. Kila mtu atajijengea nyumba yake mwenyewRais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya elimu ya mafunzo ya ufundi stadi. Jitihada hizo zimewezesha ongezeko la udahili wa wanafunzi katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 344,815 mwaka 2020 hadi 440,000 mwaka 2024. Aidha katika kuhakikisha watoto kutoka familia zenye kipato cha chini wanapata fursa sawa ya elimu hii, Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kiongozi msikivu na mwenye kujali imeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati kwa kozi za kipaumbele.
Hawa vijana 440,000 wakitoka tayari wanaajira zao mkononi, Tukisema mama Samia anatufaa hadi 2030 hiki ndicho kinatuvutia
Kweli kabisa nakuunga mkono familia ya Mzee KIBAO na mdude wajinga sana Yani hawaelewei kwanini baba zao wametekwer.Huyu Mama mambo anayoyafanya kama huyaelewi basi wewe unashida kubwa.
Majengo yenyewe yako wapi, ni waongo tuu, Tanroad inaendakufa, Tarura hoi.Kwa kuongeza deni hadi 107T hayo majengo majengo hayana gharama sana
Veta ni vifaa wewe wewe kuzi .Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya elimu ya mafunzo ya ufundi stadi. Jitihada hizo zimewezesha ongezeko la udahili wa wanafunzi katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 344,815 mwaka 2020 hadi 440,000 mwaka 2024. Aidha katika kuhakikisha watoto kutoka familia zenye kipato cha chini wanapata fursa sawa ya elimu hii, Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kiongozi msikivu na mwenye kujali imeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati kwa kozi za kipaumbele.
Hawa vijana 440,000 wakitoka tayari wanaajira zao mkononi, Tukisema mama Samia anatufaa hadi 2030 hiki ndicho kinatuvutia
FAKE NEWS, HAKUNA VETA ZILIZOJENGWA ZIKAFIKIA TATU. TUAMBIE ZIMEJENGWA WAPI? NDUGU YANGU NI MKUU WA VETA, KWA HIYO SIDANGANYIKI. HAKUNA VETA NYINGI ZILIZOJENGWA. TUAMBIE WEWE CHAWA HIZO VETA ZIPO WAPI?Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya elimu ya mafunzo ya ufundi stadi. Jitihada hizo zimewezesha ongezeko la udahili wa wanafunzi katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 344,815 mwaka 2020 hadi 440,000 mwaka 2024. Aidha katika kuhakikisha watoto kutoka familia zenye kipato cha chini wanapata fursa sawa ya elimu hii, Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kiongozi msikivu na mwenye kujali imeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati kwa kozi za kipaumbele.
Hawa vijana 440,000 wakitoka tayari wanaajira zao mkononi, Tukisema mama Samia anatufaa hadi 2030 hiki ndicho kinatuvutia
ENDELEA kubwabwaja tu,ila ujue vijana hatuna ajira na hizo VETA zako za MCHONGO labda umesoma ww na baba yako.Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya elimu ya mafunzo ya ufundi stadi. Jitihada hizo zimewezesha ongezeko la udahili wa wanafunzi katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 344,815 mwaka 2020 hadi 440,000 mwaka 2024. Aidha katika kuhakikisha watoto kutoka familia zenye kipato cha chini wanapata fursa sawa ya elimu hii, Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kiongozi msikivu na mwenye kujali imeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati kwa kozi za kipaumbele.
Hawa vijana 440,000 wakitoka tayari wanaajira zao mkononi, Tukisema mama Samia anatufaa hadi 2030 hiki ndicho kinatuvutia
Poa poa mwambakwema mkuu
hakika anastahili pongeziMama Kazi kaifanya apewe maua yake