Kumbe ni kodi za watanzania wanalipa na siyo hisani akeUnavyo sema amejenga utadhani pesa katoa kizimkazi? Halafu mabaya yake hamtaki yasemwe ya samia kweli nyie viazi mbatata
Polepole si kaacha ubaloziSIO POLEPOLE
Mama Samia anatisha kweli kweli
yeye ndio mwenye mafungu yote ya serikaliUnavyo sema amejenga utadhani pesa katoa kizimkazi? Halafu mabaya yake hamtaki yasemwe ya samia kweli nyie viazi mbatata
Nakubaliyeye ndio mwenye mafungu yote ya serikali
kwani zamani hatukulipa kodiKumbe ni kodi za watanzania wanalipa na siyo hisani ake
Acheni upumbavukwani zamani hatukulipa kodi
Na Polepole, Gwajima, Lissu,Hamumtaki wewe na nani?
Subiri tukianza kulipa deni ukiwa hai utaelewa.kwani zamani hatukulipa kodi
Hatutaki mambo ya VETA HAPAAAA ,TUKO NA UTARATIBUU TUUU HAPA ,SIO MGOMBEA HALALI WA CHAMA CHETUUUURais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya elimu ya mafunzo ya ufundi stadi. Jitihada hizo zimewezesha ongezeko la udahili wa wanafunzi katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 344,815 mwaka 2020 hadi 440,000 mwaka 2024. Aidha katika kuhakikisha watoto kutoka familia zenye kipato cha chini wanapata fursa sawa ya elimu hii, Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kiongozi msikivu na mwenye kujali imeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati kwa kozi za kipaumbele.
Hawa vijana 440,000 wakitoka tayari wanaajira zao mkononi, Tukisema mama Samia anatufaa hadi 2030 hiki ndicho kinatuvutia
Upi sasa huo upumbafuAcheni upumbavu
Kutapeli watuUpi sasa huo upumbafu
Kwanini watu watapeliwe?Kutapeli watu
Kutiki ni lazima OktabaO'mayo ng'wenoyo aletomama sana, October tuletiki
TunatikiRais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050.
Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya elimu ya mafunzo ya ufundi stadi. Jitihada hizo zimewezesha ongezeko la udahili wa wanafunzi katika vyuo vya elimu ya ufundi kutoka wanafunzi 344,815 mwaka 2020 hadi 440,000 mwaka 2024. Aidha katika kuhakikisha watoto kutoka familia zenye kipato cha chini wanapata fursa sawa ya elimu hii, Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kiongozi msikivu na mwenye kujali imeanza kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati kwa kozi za kipaumbele.
Hawa vijana 440,000 wakitoka tayari wanaajira zao mkononi, Tukisema mama Samia anatufaa hadi 2030 hiki ndicho kinatuvutia
TunatikiO'mayo ng'wenoyo aletomama sana, October tuletiki
NaweweAcheni upumbavu