Rais Samia amejenga jumla ya VETA mpya 94 na 29 alizozikuta amezikarabati

Niko hapa Dar es Salaam,niambie kimejengwa wapi na kinaitwaje! Maana kwa hesabu zako ni kuwa angalau kila mkoa umepata vyuo vitatu!
 
Baada ya muda nchi itajaa mafundi tuuu. Kila mtu atajijengea nyumba yake mwenyew
 
Veta ni vifaa wewe wewe kuzi .
 
Pesa za umma hizo jamani sio zake, semeni serikali ya rais imesimamia na kufanikisha kujenga bla bla inatosha sio mama kajenga eh what a joke
 
FAKE NEWS, HAKUNA VETA ZILIZOJENGWA ZIKAFIKIA TATU. TUAMBIE ZIMEJENGWA WAPI? NDUGU YANGU NI MKUU WA VETA, KWA HIYO SIDANGANYIKI. HAKUNA VETA NYINGI ZILIZOJENGWA. TUAMBIE WEWE CHAWA HIZO VETA ZIPO WAPI?
 
ENDELEA kubwabwaja tu,ila ujue vijana hatuna ajira na hizo VETA zako za MCHONGO labda umesoma ww na baba yako.
 
Rais Samia hata kama angegombea Uganda au kenya uchaguzi angeushinda lazima'

anakubalika sana ,


anamaono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…