Rais Samia amekubali ombi la kukutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe

Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. John Mnyika ametoa taarifa kuwa Rais Samia amekubali ombi la Mh Mbowe kukutana naye katika tarehe itakayopangwa baadaye.

Naomba kuwapa taarifa rasmi kuwa tarehe 20 Aprili 2021 tulipokea majibu ya barua ya Mh. Mwenyekiti @freemanmbowetz ya kuomba kukutana na Mh. Rais @SuluhuSamia . Rais amekubali kukutana kushauriana na @ChademaTz . Tunasubiri kujulishwa tarehe ya kukutana.
View attachment 1763869

Ampe ubunge wa kuteuliwa ili ajiunge na Covid 19 wake bungeni.
 
Hili chama la wachaga halieleweki,sasa ikulu kufanya Nini wakati mama ni ccm? Si yalisema yameporwa ushindi sasa yanataka Nini?
Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. John Mnyika ametoa taarifa kuwa Rais Samia amekubali ombi la Mh Mbowe kukutana naye katika tarehe itakayopangwa baadaye.

Naomba kuwapa taarifa rasmi kuwa tarehe 20 Aprili 2021 tulipokea majibu ya barua ya Mh. Mwenyekiti @freemanmbowetz ya kuomba kukutana na Mh. Rais @SuluhuSamia . Rais amekubali kukutana kushauriana na @ChademaTz . Tunasubiri kujulishwa tarehe ya kukutana.
View attachment 1763869

Mkaongee kiutu uzima sasa, na sio kulalamika mara oh tunaonewa!! Huyo ni raisi wenu mjue, ni mama mmoja hivi mstaarabu sana na anajiheshimu, hatakagi ujinga kabisa. Kama mtaongozana na akina halima mdee wawekeni kitako na muwakalishe, wavae magauni ya heshima.
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. John Mnyika ametoa taarifa kuwa Rais Samia amekubali ombi la Mh Mbowe kukutana naye katika tarehe itakayopangwa baadaye.

Naomba kuwapa taarifa rasmi kuwa tarehe 20 Aprili 2021 tulipokea majibu ya barua ya Mh. Mwenyekiti @freemanmbowetz ya kuomba kukutana na Mh. Rais @SuluhuSamia . Rais amekubali kukutana kushauriana na @ChademaTz . Tunasubiri kujulishwa tarehe ya kukutana.
View attachment 1763869

Ninyi mnahangaika Sana, hivi hata mkikutana nae mnachakusema kweli?. Jengeni saccos yenu.
 
Kwanza shibuda anaenda Kama Nani?huyu jamaa ni rangimbili ondoeni kwenye nafasi ya uenyekiti wa vyama hatufai.
Vyama makini haviwezi kuwakilishwa na Shibuda mbele ya raisi.Yeye yupo yupo tu kama kibaraka.Nafikiri waliomchagua Kama mwakilishi wa vyama vya siasa walikuwa wanafikilia kitu kingine nje ya democracy
 
Ninyi mnahangaika Sana, hivi hata mkikutana nae mnachakusema kweli?. Jengeni saccos yenu.
Nina hakika umeandika kinafiki, kwani unajua fika hoja za CHADEMA ni nzito na zinahitaji majibu thabiti!
 
Kimantiki hii ni funzo kwa CDM kwamba swala la kubadisha uongozi ni jambo jema. Sio mtu mmoja kwa mfano mwenyekiti anakalia kiti miaka nenda miaka rudi. Mtindo wa kung'ang'ania cheo unadumaza demokrasi. Ukweli usemwe!
 
Corona hatareeeee shoka moja tu mbuyu huuuoooooo
Hiyo inaonesha hizi chanjo za corona ni utapeli mtupu ndio maana pamoja na mtu kudungwa hiyo michanjo ila bado kaondoka na corona.

Mwendazake alikuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom