alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,370
- 3,163
Tunakumbushana tu ili watu wasiwe na matarajio makubwa!
Mhhh ila navyoona huko mbele CCM itarudi ile ukivaa flana Yao unazomewa. Time will tell
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakumbushana tu ili watu wasiwe na matarajio makubwa!
Corona inatisha sana jamaniNa kweli maana nitakuwa nimejishusha kwa kujilinganisha na mtu ambaye anafurahia watu wengine kwenda kunywa chai Ikulu.
Halafu sasa itakuaje maana rais si atakuwa amefunga sasa hao makobe watapewa chai hivyo hivyo au ndio wataenda kunywa chai jioni.
Tume huru itakuwa ni sumu kwenu nyinyiAkaongee vitu vya maana.aachane na akina mdee..
Azungumzie tume huru n.k
Hao kina Mdee habari zao zimeahakwisha maana hata wana ccm wenyewe pale bungeni wanawakataa kama ukomaAkaongee vitu vya maana.aachane na akina mdee..
Azungumzie tume huru n.k
Hata sasa hivi washaanza kuzomewa sana tuMhhh ila navyoona huko mbele CCM itarudi ile ukivaa flana Yao unazomewa. Time will tell
Well NotedHuu ni ushindi kwa Watanzania wote dhidi ya ukandamizaji tuliouona kwenye Awamu ya 5 ya Mwendazake.
Mwendazake alikuwa anatamani hata kubadili Katiba kwenye Ibara ya vyama vya Siasa ili visiwepo kabisa. Mwendazake alikuwa anawashambikia kwa risasi kama alivyomfanyia Tundu Lissu au kama alivyobomoa Bilicanas hotel and casino.
Ushauri:
Vyama vya upinzani viitumie fursa hii kwa hekima na busara na siyo kuonyesha kiburi kwa kuwa tu Rais SSH anatoka kwenye Chama kilicho kandamiza upinzani. Tusiiharibu fursa hii kwa ajili ya kuleta mazingira ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi
Wewe unanuka janaba utamharibia nini??Rais amefunga hawa kinambowe wataenda wananuka konyagi na kumuharibia swaumu
Tunakumbushana tu ili watu wasiwe na matarajio makubwa!
Lazima tunune!!MATAGA yamenuna
Tafadhari msipende kufananisha na MTU ....mama shabiki wamziki wa raggae mambo ya upatanishi kwake nikawaida.kikubwa umshawishi yaani jenga hojaa.Leadership style yake sawa sawa JK .....safii Mama SSH
Siyo maslahi ya watanzania tena katika kujihakikishia wanajikomboa kikweli kweli kwenye ukoloni wa kiuchumi na kiteknolojia bali "demokrasia". Aisee, nadhani baadhi yetu hatujajua tunataka Tanzania iwe ya namna gani. Hili ni tatizo, linatakiwa kutatuliwa.Sawa tunaimani Mbowe ataenda na nondo zilizoshiba kwa maslahi mapana ya Demokrasia
Nimetafakari hiyo picha sana...PHd kwa umakini sana hufata maelekezo ya mbowe hivi mbowe ananini huyu MTU...View attachment 1763777
".....kama zamani..." kwa sauti ya TX Moshi William (RIP)