Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna maslahi ya demokrasia wala nini, wewe Wanasiasa bado hujawafaham vizuri.Sawa tunaimani Mbowe ataenda na nondo zilizoshiba kwa maslahi mapana ya Demokrasia
Kurudishiwa mali zake na kulipwa gaharama hiyo pia ni demokrasia iliyo porwa na jiwe.Hakuna maslahi ya demokrasia wala nini, wewe Wanasiasa bado hujawafaham vizuri.
Mbowe atataka arudishiwe mali zake zote pamoja na hasara alizosababishiwa na utawala wa mwendazake. Demokrasia ni geresha tu kwa sasa
Unateseka ukiwa wapi mzee?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna jipya hapo, wanaenda kuzubaishwa tu na yale macho malegevu.
Kuitwa halafu madai yako yasifanyiwe kazi na kutokuitwa kabisa yote ni yaleyale, kama kweli anamaanisha awape Tume Huru ya uchaguzi na Katiba Mpya.
Naona mama Samia kaamua kuwaonyesha jinsi ya nchi inavyoweza kutawaliwa kwa mashirikiano .CCM iliyowaita ikulu enzi za JK ndio hii hii imewaita sasa. Ccm ni ileile juz jana leo nahata kesho. Kinachoenda kubadilika ni muimbaji tu,ila verse chorus mdundo niuleule.
Naelewa kabisa kuwa kiswahili kwenu ni sawa na mbingu na ardhinilidhan wewe mwanaume sasa huo ujane veepeee umefiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nisipopewa maji ni sawa tu. Kitendo cha kukanyaga tu Ikulu na kumuona Rais ni heshima kubwa mno katika hali ya kibinadamu. Hongera sana Mh. Rais. Tulishasahau ukarimu huu miaka 5 na usher iliyopita. Tanzania ya kuheshimiana na uhuru imerudi. Mungu akulinde Rais wetu.Rais akikuita Ikulu hata akikupa maji ya kunywa tu ni heshima kubwa. Hakuna Buku 7 kule...
Hamnaga akili nyieSawa tunaimani Mbowe ataenda na nondo zilizoshiba kwa maslahi mapana ya Demokrasia
Naelewa kabisa kuwa kiswahili kwenu ni sawa na mbingu na ardhi
Salamu yake ni "Ninawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano". Hapa amembeba kila mtu awe CCM au chama cha upinzani na asiye na chama. Huyu mama Mungu aliamua na iwe basi. Mungu amlinde na kumpa uhai.Naona mama Samia kaamua kuwaonyesha jinsi ya nchi inavyoweza kutawaliwa kwa mashirikiano .
Mama Samia anataka kuwanyesha kuwa hata wapinzani pia ni sehemu ya watanzania na wana haki ya kusikilizwa.
Mama Samia amewaonyesha kuwa tanzania iliamua kukubali mfumo wa vyama vingi kupitia kwa muasisi wa nchi yetu mwl JK Nyerere.
Nyie wenye akili mmetufikisha wapi?Hamnaga akili nyie
Full mfumo dume!View attachment 1763777
".....kama zamani..." kwa sauti ya TX Moshi William (RIP)
Pia kuheshimu katiba!Naona mama Samia kaamua kuwaonyesha jinsi ya nchi inavyoweza kutawaliwa kwa mashirikiano .
Mama Samia anataka kuwanyesha kuwa hata wapinzani pia ni sehemu ya watanzania na wana haki ya kusikilizwa.
Mama Samia amewaonyesha kuwa tanzania iliamua kukubali mfumo wa vyama vingi kupitia kwa muasisi wa nchi yetu mwl JK Nyerere.
hahaha, ndio maana wanawaonea akina Mdee!Full mfumo dume!
Wanasiasa huwezi kuwakwepa hata,Samia pia ni mwanasiasa pia labda uniambie una ushahidi wa hiki ukisemachoHakuna maslahi ya demokrasia wala nini, wewe Wanasiasa bado hujawafaham vizuri.
Mbowe atataka arudishiwe mali zake zote pamoja na hasara alizosababishiwa na utawala wa mwendazake. Demokrasia ni geresha tu kwa sasa