Rais Samia amekubali ombi la kukutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe

Rais Samia amekubali ombi la kukutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe

Kwani wewe hupendi? Au unataka Polepole na Bashiru tu ndiyo wanywe juice ya Ikulu!
Nashiru na polepole Ikulu walikuwa wanaitawala kipindi hichoooo siyo sasa kwa mama Samia.
 
kuna watu walimiss chai na juisi ya ikulu
 
Hii ndiyo habari njema. Nchi inahitaji upendo baina ya wananchi wote. Hatutaki chuki, uonevu na kupokonywa haki kama ilivyokuwa awamu ya tano.
 
CCM iliyowaita ikulu enzi za JK ndio hii hii imewaita sasa. Ccm ni ileile juz jana leo nahata kesho. Kinachoenda kubadilika ni muimbaji tu,ila verse chorus mdundo niuleule.
 
Hakuna jipya hapo, wanaenda kuzubaishwa tu na yale macho malegevu.

Kuitwa halafu madai yako yasifanyiwe kazi na kutokuitwa kabisa yote ni yaleyale, kama kweli anamaanisha awape Tume Huru ya uchaguzi na Katiba Mpya.
 
Nashiru na polepole Ikulu walikuwa wanaitawala kipindi hichoooo siyo sasa kwa mama Samia.
Wewe unafurahia kipi kwa akina Mbowe kwenda kunywa juice ikulu maana walizinywa sana tu wakati wa JK sasa sijui wewe mwenzangu na mimi unafaidika vp.
 
Hakuna jipya hapo, wanaenda kuzubaishwa tu na yale macho malegevu.

Kuitwa halafu madai yako yasifanyiwe kazi na kutokuitwa kabisa yote ni yaleyale, kama kweli anamaanisha awape Tume Huru ya uchaguzi na Katiba Mpya.
Kukutana ni hatua moja na kufanyiwa kazi kwa makubaliano ni hatua nyingine!
 
Back
Top Bottom