The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Huyu mama kachoka bado yuko Morogoro tu...???Wasalam.
Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?
anapelekewa vimemo kwasababu uwezo wa kuzungumza mwenyewe hana huyoMama anasoma vi memo ndo tatizo kubwa nililoliona kwenye hotuba zake..!!
Mtu anaweza pata div 2, 3 na 4 kwa bahati mbaya. Div 1 na 0 siyo bahati mbaya.Kingine ni kuchoka campaign sio zoez dogo hta anavyoongea hapo anaoneka km yuko hoi
🤣🤣🤣hivi SAMOYA au SAMUYA?hawa watu bwanaKuna ile clip ingine JK alimuita "SAMOYA" badala ya SAMIA
Mdomo usije ukaniponza bure nikajikuta akaunti yangu imefutwa jf🤣🤣🤣 nimecheka sana mkuu, hata mimi najitahid kuukomesha mdomo wangu,maana tunapoelekea tutajiponza.
Maybe hukusikia vizuri mkuu alisema SAYAMUNi SAMUYA sio SAMOYA 😹😹😹
Hivi hii ishu ya madam kula ulabu ni kweli?Ushaambiwa Bi Chura anakunywa sana Scotch Whisky kichwa chake hakiko sawa.
Hivi hii ishu ya madam kula ulabu ni kweli?
Big looser huyoWasalam.
Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?
Aisee,shukranNi kweli.
Wewe unafikiri kwa nini Ummy Mwalimu katilewa kwenye Cabinet halafu kakatwa kugombea ubunge?
Alisema ukweli kwamba Bibi Chura analeea sana Scotch Whisky.
Mwenyewe akasikia akamtoa.
Ukiza watu wa Ikulu kama hawataogopa watakuambia.
Wagombea wenyewe ndio kwanza nawasikia!Baada ya kuona hawezi kushindana na lissu aliamua kutengeneza wapinzani wa kuchonga akina CHAUMMA
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbuka form 4 alikula zero, so usishangae mkuu....mzoee tu!.
BangeWasalam.
Nchi hii ni yenu, wananchi ni wenu, tume ya uchaguzi ni yenu, mahakama ni yenu, vyombo vya ulinzi na usalama ni vyenu, vyombo vya habari ni vyenu, wasanii wote ni wenu sasa mbona mnapaniki kiasi hiki na kujichanganya? Mnalaani ikani au mnanadi?
ANA BUNU MBUNUWasalam.

Kulaani inadi. Inadi ilamoMdomo koma koma mdomo sina Mwanasheria nisije nikafungiwa akaunti nisiiguse tena Jf mdomo koma kaa kimya pita kimyakimya usitie neno
Mikoa mitatu tu Umechoka? Atamaliza kampeni kweli kwa style hii ya mikoa mitatu kachoka tena apiga mmoja kwa mkoa apigi ki wilayaKingine ni kuchoka campaign sio zoez dogo hta anavyoongea hapo anaoneka km yuko hoi
Kamuulize shoga yake Ummy Mwalimu ndio anajua!Hivi hii ishu ya madam kula ulabu ni kweli?