Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Awamu hii inasifiwa kwa kuwa imefanya mambo makubwa Sana yanayogusa maisha ya watanzaniahakuna awamu haijawahi sifiwa na viongozi wake PIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awamu hii inasifiwa kwa kuwa imefanya mambo makubwa Sana yanayogusa maisha ya watanzaniahakuna awamu haijawahi sifiwa na viongozi wake PIA
Kila kitu kilishatazamwa na kufanyiwa kazi na serikali hii chapakazi ya mh RaisHili nalo kalitazameni.
Ndugu Zangu Rais Samia Ameonyesha yeye Ni kiongozi shupavu sana, Asiye yumbishwa Wala kupelekeshwa na maneno maneno, Nikiongozi asiye fanya maamuzi pasipo kufanya uchunguzi wa kina, kiutafiti na kitaarifa, Ni kiongozi mwenye Msimamo usio yumba Wala kutetereshwa, Ni Kiongozi Mtulivu na mwenye Subira,
Ni kiongozi anayefahamu wakati gani aongee na wakati gani achukue maamuzi, Ni kiongozi anayefahamu wakati gani atoe maelekezo na wakati gani atumie kalamu, Ni kiongozi anayefahamu kuwa anawashauri na wasaidizi wa kikatiba lakini Maamuzi ya mwisho yanabaki mikononi mwake Kama Mkuu wa nchi, Serikali na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
Rais Samia Ni kiongozi Mwenye ngozi ngumu ya kiuongozi, Huruma, upendo, ukarimu kwa wananchi wake na moyo mkubwa, ndio sababu ukiona Namna watu walivyo huru kutoa maoni yao, ndio sababu unaona namna alivyo mvumilivu, Ndio sababu ya usikivu wake na unyenyekevu wake, Ndio sababu ya kuona nchi ikiwa Tulivu salama na yenye amani huku umoja wa kitaifa ukiwa umeimarika Sana, Rais Samia Ni kiongozi kwa kuzaliwa, Ni kiongozi mwenye maono makubwa na Taifa hili, Ni kiongozi ambaye hayumbi katika kutimiza maono na Ndoto yake ya kimaendeleo kwa Taifa Hili
Rais Samia ameonyesha umadhubuti na ushupavu katika kukabiliana na matatizo na kero mbalimbali, ameonyesha uwezo mkubwa Sana wa kiuongozi, Ameonyesha kuwa na Dira na muelekeo sahihi katika kuongoza nchi yetu, Hakika Ni Rais Kweli kwelii, Mzalendo wa kweli, mwanadiplomasia nguli na mwana demokrasia halisia
Hakika utulivu na ushupavu wa Rais Mama Samia kiuongozi Umeituliza Sana nchi yetu na kuipa heshima kubwa Sana ndani na nje ya nchi, Watanzania Tuendelee kumuunga mkono Rais wetu na kuwa naye bega kwa bega katika kila changamoto tuipitiayo. Watanzania tumebahatika kupata Rais mkweli na mcha Mungu na Mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu kimatendo na kimaneno, Ndio sababu ya kuona kauli zake zikiwa zenye kujenga umoja wetu wa kitaifa na kuliunganisha Taifa dhidi ya changamoto zinazokuwa mbele yetu
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Mimi Ni mzalendo na siyumbishwi na maneno yako Hapa.Ulianza nyuzi zako kwa kuiponda CHADEMA ukaona hailipi, ukahamia kuisifu CCM ukaona hailipi Sasa hivi umehamia kwenye kumsifia Rais Samiah hata kwenye uongo. Na Cha kuchekesha baada ya kuona hakuna yupo interested na wewe umeamua kuweka namba ya simu.
Unatoa sifa za kiboya hadi unaemsifia anakuona pimbi!Ndugu Zangu Rais Samia Ameonyesha yeye Ni kiongozi shupavu sana, Asiye yumbishwa Wala kupelekeshwa na maneno maneno, Nikiongozi asiye fanya maamuzi pasipo kufanya uchunguzi wa kina, kiutafiti na kitaarifa, Ni kiongozi mwenye Msimamo usio yumba Wala kutetereshwa, Ni Kiongozi Mtulivu na mwenye Subira,
Ni kiongozi anayefahamu wakati gani aongee na wakati gani achukue maamuzi, Ni kiongozi anayefahamu wakati gani atoe maelekezo na wakati gani atumie kalamu, Ni kiongozi anayefahamu kuwa anawashauri na wasaidizi wa kikatiba lakini Maamuzi ya mwisho yanabaki mikononi mwake Kama Mkuu wa nchi, Serikali na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.
Rais Samia Ni kiongozi Mwenye ngozi ngumu ya kiuongozi, Huruma, upendo, ukarimu kwa wananchi wake na moyo mkubwa, ndio sababu ukiona Namna watu walivyo huru kutoa maoni yao, ndio sababu unaona namna alivyo mvumilivu, Ndio sababu ya usikivu wake na unyenyekevu wake, Ndio sababu ya kuona nchi ikiwa Tulivu salama na yenye amani huku umoja wa kitaifa ukiwa umeimarika Sana, Rais Samia Ni kiongozi kwa kuzaliwa, Ni kiongozi mwenye maono makubwa na Taifa hili, Ni kiongozi ambaye hayumbi katika kutimiza maono na Ndoto yake ya kimaendeleo kwa Taifa Hili
Rais Samia ameonyesha umadhubuti na ushupavu katika kukabiliana na matatizo na kero mbalimbali, ameonyesha uwezo mkubwa Sana wa kiuongozi, Ameonyesha kuwa na Dira na muelekeo sahihi katika kuongoza nchi yetu, Hakika Ni Rais Kweli kwelii, Mzalendo wa kweli, mwanadiplomasia nguli na mwana demokrasia halisia
Hakika utulivu na ushupavu wa Rais Mama Samia kiuongozi Umeituliza Sana nchi yetu na kuipa heshima kubwa Sana ndani na nje ya nchi, Watanzania Tuendelee kumuunga mkono Rais wetu na kuwa naye bega kwa bega katika kila changamoto tuipitiayo. Watanzania tumebahatika kupata Rais mkweli na mcha Mungu na Mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu kimatendo na kimaneno, Ndio sababu ya kuona kauli zake zikiwa zenye kujenga umoja wetu wa kitaifa na kuliunganisha Taifa dhidi ya changamoto zinazokuwa mbele yetu
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Wewe muda wote Ni kutukana tuUnatoa sifa za kiboya hadi unaemsifia anakuona pimbi!
CCM itatawala Milele kwa kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu, kwa kuwa Ni chama sikivu na kinachowajali watu na kuwatumikia kwa nguvu zote,Tanzania na watanzania wake🤣🤣🤣🤣
Walah acheni tu miccm itawale milele kama hawa ndio watanzania.
Thubutu! Afrika ina vituko...mvua ikinyesha ndio mwanzo wa hadaa nyingine...asante kwa mvua.Na mvua ikinyesha ndio mwisho wa hizo Hadaa.
Ni kicheko tu ndugu yangu. Maji yanatufanya tukose raha. Ukipata sehemu ya kufurahia maisha, lazima ufurahi. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hichi kicheko kinaeleza kila kitu🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣😂😂😂CCM itatawala Milele kwa kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu, kwa kuwa Ni chama sikivu na kinachowajali watu na kuwatumikia kwa nguvu zote,
Ewe chawa mwovu, Tafakari kisha unieleze ni adhabu gani anayostahili kiongozi anayetenda haya kwa wananchi wakeUwe na adabu na heshima kwa Rais wetu na kiongozi wetu, huwa naona michango yako mingi Sana humu ambayo inaonyesha kuwa Ni mtu usiye na ustaarabu heshima na busara, Ni mtu unaye onekana kukosa malezi Bora ya wazazi wako, ni mtu unayeonekana Ni Kama hukulelewa na kukuzwa na wazazi wako kimaadili, ndio sababu umekosa maadili na heshima kwa kila mtu, ndio sababu ya kuonekana kichwani hupo vizuri n
Inasikitisha sana.Chawa wa aina hii nadhani walipaswa kunyongwaUkitoa mabandiko kwa nini uweke namba ya simu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣CCM itatawala Milele kwa kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu, kwa kuwa Ni chama sikivu na kinachowajali watu na kuwatumikia kwa nguvu zote,
Umeandika weee na nimesoma Hadi mwisho lakini naona unajichanganya tu, Sasa wewe Kama unaona mapungufu kwanini usiyaandike ili tuone hoja zako, Mimi kwa mtizamo wangu na kwa ushahidi nimeona kazi kubwa na yakutukuka iliyofanywa na serikali hii ya CCM chini ya uongozi shupavu wa mama Samia, Nimeona pia namna anavyokabiliana na kila changamoto inayojitokeza mbele yetu Kama Taifa.Kiukweli kutoka moyoni nailaani CCM kila siku iendayo kwa Mungu, Sio kwamba ni chuki ila ni ukweli uliodhahiri chama hiki kimetenda dhambi kubwa mno kupandikiza ujinga na kuuita Uzalendo.
Taifa hili linaongoza kuwa na Vijana wajinga kupitia siasa za CCM, leo hii Vijana wamebeba mafuvu tu ila akili wamemkabidhi Mwenyekiti wa Chama. Hawajui jema na baya wao wapo tu.
Kwanini asitokee mtu akasimama akawaambia vijana hawa kuwa njia ya mafanikio sio kujipendekeza ni kufanya kazi? Kwanini CCM wasiwaambie vijana wao kusifia kila ujinga sio uzalendo.
Sasa huyu jiulize haya maandiko ya kila siku kumsifia Samia yana mantiki gani kama kweli anachokifanya kina tija kwa wananchi wake? Kwanini wasijikite kuonyesha mapungufu ambayo yanaonekana hadharani kuliko kusifu na kuimba mapambio?
Siyo vituko Ila huo ndio ukweli kuwa hakuna chama chenye uwezo wa kuitikisa CCM hapa nchini, Nasema hakipoo chama hicho Wala mtu wa kuweza kuyumbisha CCM, hayupo mtu huyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vituko kama hivi vinapatikana Tz tu.
Nini usichokielewaSisi bara hatukuelewi'