Rais Samia ameonesha ushupavu na umadhubuti katika kuongoza nchi na kukabiliana na changamoto

 

Attachments

  • 2FCB85F7-2305-4E73-BCA1-FE4B5E28CB72.jpeg
    2.3 MB · Views: 3
Mimi Ni mzalendo na siyumbishwi na maneno yako Hapa.
 
Unatoa sifa za kiboya hadi unaemsifia anakuona pimbi!
 
Tanzania na watanzania wake🀣🀣🀣🀣
Walah acheni tu miccm itawale milele kama hawa ndio watanzania.
 
Tanzania na watanzania wake🀣🀣🀣🀣
Walah acheni tu miccm itawale milele kama hawa ndio watanzania.
CCM itatawala Milele kwa kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu, kwa kuwa Ni chama sikivu na kinachowajali watu na kuwatumikia kwa nguvu zote,
 
Na mvua ikinyesha ndio mwisho wa hizo Hadaa.
Thubutu! Afrika ina vituko...mvua ikinyesha ndio mwanzo wa hadaa nyingine...asante kwa mvua.

Alikuwepo Rais Eyadema aliyesindikizwa kwa nderemo na vifijo na wananchi kwa kuwezesha mvua kunyesha na hivyo kumaliza tatizo la ukame nchini Togo!
 
Hichi kicheko kinaeleza kila kitu🀣🀣🀣
Ni kicheko tu ndugu yangu. Maji yanatufanya tukose raha. Ukipata sehemu ya kufurahia maisha, lazima ufurahi. 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
CCM itatawala Milele kwa kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu, kwa kuwa Ni chama sikivu na kinachowajali watu na kuwatumikia kwa nguvu zote,
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ewe chawa mwovu, Tafakari kisha unieleze ni adhabu gani anayostahili kiongozi anayetenda haya kwa wananchi wake
1. Kutesa na kudhulumu maelfu ya watanzania hususan walio masikini kupitia tozo.Mama mjane yupo zake kijijini anamtumia kodi mgonjwa wake anakatwa kodi kama mfanyabiashara! DHULMA!
2. Nchi ina rasilimali za kila aina, mito,maziwa,vivutio vya utalii,madini,ardhi n.k vyote hivi amekabidhiwa yeye na serikali yake asimamie lakini bado anakuja kukamua masikini wanyonge?? Tena bila aibu!
3. Bidhaa zimepanda bei wananchi masikini wanateseka kila siku maisha magumu lakini bila aibu kiongozi anaendekeza matumizi mabaya ya fedha za umma kwa hafla semina za pongezi Birthday safari zisizokuwa na umuhimu n.k! Hii ni zaidi ya kuwatukana waliompa dhamana
4.Wananchi wanakufa kila siku kwa huduma mbovu za afya na miundombinu mibovu, Lakini yule aliyekabidhiwa dhamana anatazama na hachukui hatua yoyote, Hii ni ishara ya kukosa malezi na kutoheshimu wananchi.
5.Wananchi wanateseka kujikwamua kiuchumi kupitia umeme kwa shughuli kama vinyozi,wauza samaki kwenye majokofu n.k kama haitoshi unawaletea mgao wa umeme wafe njaa kabisa bado haitoshi na mgao wa maji juu! Yote hayo unatazama wala hauchukui hatua! Zaidi ya kusifia kila waziri ale kwa urefu wa kamba! Nyerere alisema viongozi wa aina hii ni wapumbavu! Walistahili kunyongwa!
 
CCM itatawala Milele kwa kuwa na Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watu, kwa kuwa Ni chama sikivu na kinachowajali watu na kuwatumikia kwa nguvu zote,
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Vituko kama hivi vinapatikana Tz tu.
 
Kiukweli kutoka moyoni nailaani CCM kila siku iendayo kwa Mungu, Sio kwamba ni chuki ila ni ukweli uliodhahiri chama hiki kimetenda dhambi kubwa mno kupandikiza ujinga na kuuita Uzalendo.
Taifa hili linaongoza kuwa na Vijana wajinga kupitia siasa za CCM, leo hii Vijana wamebeba mafuvu tu ila akili wamemkabidhi Mwenyekiti wa Chama. Hawajui jema na baya wao wapo tu.
Kwanini asitokee mtu akasimama akawaambia vijana hawa kuwa njia ya mafanikio sio kujipendekeza ni kufanya kazi? Kwanini CCM wasiwaambie vijana wao kusifia kila ujinga sio uzalendo.
Sasa huyu jiulize haya maandiko ya kila siku kumsifia Samia yana mantiki gani kama kweli anachokifanya kina tija kwa wananchi wake? Kwanini wasijikite kuonyesha mapungufu ambayo yanaonekana hadharani kuliko kusifu na kuimba mapambio?
 
Umeandika weee na nimesoma Hadi mwisho lakini naona unajichanganya tu, Sasa wewe Kama unaona mapungufu kwanini usiyaandike ili tuone hoja zako, Mimi kwa mtizamo wangu na kwa ushahidi nimeona kazi kubwa na yakutukuka iliyofanywa na serikali hii ya CCM chini ya uongozi shupavu wa mama Samia, Nimeona pia namna anavyokabiliana na kila changamoto inayojitokeza mbele yetu Kama Taifa.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Vituko kama hivi vinapatikana Tz tu.
Siyo vituko Ila huo ndio ukweli kuwa hakuna chama chenye uwezo wa kuitikisa CCM hapa nchini, Nasema hakipoo chama hicho Wala mtu wa kuweza kuyumbisha CCM, hayupo mtu huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…