Rais Samia amerithi nchi iliyofilisika kifedha na kiuchumi

Tupe mifano ya white elephant projects halafu tuongee how white they are!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huu uchawa wenu ndio unaodumaza taifa letu. Serikali ya JK kwa upigaji ilikuwa iko vizuri. Other than that, ilikuwa haina hata uwezo wa kulipa watumishi on time. Mishahara ya watumishi wa Serikali ilikuwa inalipwa tarehe 39! Pia, mpaka budget ya recurrent expenditure nayo ilikuwa inategemea support ya donors. Ujuha wa aina yake!
 
Unaposema uwezo wetu wa kuuza nje ulishuka, leta takwimu. Huwezi kuchambua uchumi kwa maneno matupu na ukaeleweka. Kutaja majina ya watu haitoshi kuchambua uchumi.
Uchumi ambao unaishia kulipana mishahara, posho za safari bila projects za maana hauna future hata kidogo. Ni kudanganyana kwa kubembelezana.
Hata katika ngazi ndogo kabisa ya Taifa kwa maana ya familia au kaya, mkiwa kazi yenu ni kutumia hela zote kwa ajili ya mahitaji ya kila siku kama chakula, mavazi na matanuzi, ujue kabisa mnajiandalia umaskini kwa vizazi vijavyo.
 
Magufuli ni akili tope!!!
Long live Samia....
Huwezi kumlaumu Samia kwa mfumuko wa bei wkt ni mfumuko wa Dunia nzima ...mlaumu Putin, USA na Ukraine.

Kwa mfumuko unaoikumba dunia sijui like jinga la chato lingetupelwka wapi

Jk ni akili kubwa maradufu in terms of macro & micro economy
 
Achaga ujinga....1.5 trillion alipiga Jk au magufuli?
 
Ona hii takataka nayo!

Bado mtanena sana tu kwa lugha wapumbavu nyie!

Njooni huku field mseme haya maneno muone raia watakachowafanya!

Ni vile tu tz ni taifa la makondoo lakini huyu bibi yenu angesharudi kula urojo mapema tu.
 
Uchumi uliharibikia mikononi mwa marehemu. Mama anajitahidi sana sana, Kwa uharibigu ule itatuchukua muda Sana kurekebisha uchumi.
Kipindi cha marehemu hichohicho ndo World Bank waliiweka Tanzania kwenye uchumi wa kati, Now tumerudi kulekule tukikotoka kwenye uchumi wa chini katika kipindi cha Hangaya.
 
Ona hii takataka nayo!

Bado mtanena sana tu kwa lugha wapumbavu nyie!

Njooni huku field mseme haya maneno muone raia watakachowafanya!

Ni vile tu tz ni taifa la makondoo lakini huyu bibi yenu angesharudi kula urojo mapema tu.
Niambie bei ya mbolea soko la dunia haijanda, mafuta, gesi? Mafuta ya kula, ngano?
Misaada toka USA na EU haijapungua bcs of hali ya dunia?
Sasa hayo mambo lile jiwe la chato lingefanyaje? Tuwe wakweli japo kidogo?
 
Kipindi cha marehemu hichohicho ndo World Bank waliiweka Tanzania kwenye uchumi wa kati, Now tumerudi kulekule tukikotoka kwenye uchumi wa chini katika kipindi cha Hangaya.
Uchumi wa Kati au recategorizing ndio ulitutupa uchumi wa kati
Benki ya dunia ilichofanya ni 20% badala ya kuitwa F, ikaitwa G.
Kwa hiyo madaraja ndio yaliyobadilika....daraja la uchumi wa Kati na daraja la uchumi wa Kati wa chini.
Uchumu wa Kati upo sawa na South Africa au hata jirani njaa Kenya?
 
Watu mnasahau sana! Hivi ilikuwaje kipindi cha Kikwete exchange ya Usd to Tsh ilikuwa inabasilika kwa speed? Unajua thaman ya pes a yetu ilikuwa inashuka kwa speed kali sana kupitia biashara harabu ya maduka ya kubadilishia fedha?

Samia anaewawekea tozo wananchi alafu anapandisha posho wa watumishi kutoka 150,000 perday mpaka 250,000 per day! Mfumuko wa bei nao Mtamsingizia Magufuli? Sio ndiyo nyinyi mnaosema hamwezi kuzuia mazao kuuzwa nje ya nchi huku mkijua safari hii mvua zimekuwa chache? Na bado vitu vitapanda bei sana hasa vyakula! We sabun ya jamaa kipandwe kikiuzwa 500 sasahivi 700 nayo mtasema Magufuli!
 
Mbona sasahivi tumerudi kwenye F kulekule?
 
Suala la kutumia fedha za ndani haikuwa kila project! Alafu ata atumie za mkopo kwani anaelipa ni nan? Si nyinyi kupitia kodi zenu? Si fedha zenu hizo?
 
Unateseka peke yako bwashee usitusemee wengine!! Sisi tulijua tu tangu lini Tanzania ikawa dona cantre?😀😀 Tulijua Kuna siku zamu ya kuishi Kama mashetani itatufikia na sisi...kwa hiyo tulia dawa iingie
umepewa buku ya bando unakuja kuharaaa mtandaoni!acha unafki na maisha huna.
 
Mwamba umetisha sana comment hii ilitakiwa iwe uzi kabisa ili hawa waropokaji wapate haya madini
 
U
Umeandika uongo Kujikosha. JK ndo alikabidhi KIBUBU kikiwa empty,

Magu alipoondoka Kuna TETESI zilizuka kuwa waliobaki walivunja KIBUBU na kupora kilichobaki,

Ripoti iliyoundiwa Tume juu ya nini kilikuwemo wakati anafariki mjomba MMEIKALIA kana kwamba hakuna viti.
 
SGR ni hasara
Bwawa la Nyerere ni hasara
Uhamiaji Dodoma ni hasara
 
Mwamba umetisha sana comment hii ilitakiwa iwe uzi kabisa ili hawa waropokaji wapate haya madini
Vijana nawaonea huruma sana, Hakuna mnachoelewa kwenye siasa za nchi hii mpaka uchumi

Hakuna atakayekuja kukusaidia maishani mwako wala kukukomboa, Yakupasa ujikomboe wewe na familia yako

Mleta uzi Yeye ameelezea uhalisia wa mambo wa nchi yetu, Nchi haijawahi kupitia zama za giza kama wakati wa Magufuli,

Nchi hakuna wakati ilipitia uuzaji wa Makampuni kama wakati wa Mkapa, Lakini Mkapa aliyafanya kwa kuwa yalikuwa yanakufa na alikuwa anajenga Sekta binafsi unayoiona wewe leo

Hizi NMB na NBC ya Leo ni Mageuzi ya Benjamin Mkapa kukabidhi sekta binafsi kwa kuimega NBC

Swali la wewe kujiuliza

Je Magufuli alipokuwa Rais ulipata kitu gani mfukoni mwako?

Je Kikwete alipokuwa Rais ulipata faida gani Mfukoni mwako?

Na sasa Samia una connection yeyote au unasubiri wenzako wale kwa urefu wa kamba

Mimi ni mwana ccm nilimtetea Magufuli wakati nikiwa nafaidika lakini pale alipogusa maslahi yangu nilimponda sana na pale alipoacha kutugusa nilimsifu

Sasa tupo na Mama Samia, Mkubwa wa chama ni mkubwa tu hata akiharibu wewe Angalia tumbo lako, Mimi sasa namsifu Samia na nitamtetea mpaka pale atakapoondoka kwani Mama ameacha uhuru wa kodi kujadiliana na TRA

Ukiwa mwanasiasa yakupasa kuwa na heshima na mtulivu wa akili

Angalia akina Sabaya au Ally haapy, Hawakujua maana ya siasa sasa wapo kama digidigi

CCM ina wenyewe Muwe mnaelewa vijana huu msemo una maana gani?

Huwezi tofautisha ccm na Serikali ndani ya nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…