Rais Samia amerithi nchi iliyofilisika kifedha na kiuchumi

Hata awamu iliyopita hao akina sukuma gang ,makuwadi ,chawa na death squads za magufuli walifilisi hii nchi ,majitu kama sabaya,Makonda , Mnyeti ,Kiongozi ,Diwani Athumani , Doto , Polepole , kabudi ,Bashiru na mapimbi wengine .
Makonda na sabaya wauawaji WA magufuli waliofanya extortion mchana kweupe ,ubakaji ,kutesa ,kutisha na kuua watu ,
Watu waliiba pesa 1.5 makufuli na genge lake miradi take ya kifisadi kama ujenzi WA uwanja WA ndege WA chato halafu akaipa kampuni yake tenda , huyu huyu mpuuz makufuli kamuweka mtoto wa Dada yake hazina ili asiwe anahojiwa akikwapua
 
Muache unafiki CCM ni Ile Ile kama kweli mnataka changes muipinge serikali na kuikataa mazima ccm
 
Anatuongezea uwezo wa uzalishaji kwa kuweka tozo kila sehemu! Una ujinga mwingi.
 
Uchumi uliharibikia mikononi mwa marehemu. Mama anajitahidi sana sana, Kwa uharibigu ule itatuchukua muda Sana kurekebisha uchumi.
Uchumi uliharibika awamu ya 5 ndio maana World Bank wakabariki TZ ipate promotion kutoka uchumi wa chini kuwa wa kati. Jivue akili ndio ueleze hayo. Awamu ya 5 mishahara ya watumishi wa umma ililipwa latest tarehe 23. Kabla ya hapo earliest tar 25. Uchumi uliporomoka sana. Jivue ufahamu kwanza ndio ueleze hayo. Ukusanyaji wa kodi ilifikia hata trilioni kwa mwezi. Jiulize awamu ya 4 ilikuwa how much. Endelea kujivua ufahamu.
 

Eleza alivyoziua!
 
Sekta ya ujenzi makampuni mengi yalikufa kibudu Yule pimbi mhutu alikuwa hasidi haswa. ,roho za kiiterahamwe, watu wengi na ajira zikafa hivyo
 
Tatizo Lake hamuelewi maana ya middle income ni kitu gani, Propaganda za habari ndio zilizowaharibu

Jifunze hapa chini

Unafahamu maana ya Per capital income

Unafahamu maana ya pato la Taifa GDP au GNP

Sasa unposema uchumi wa kati, Uchumi wa kati wa juu na uchumi wa juu kuna vigezo vya World Bank

Vigezo hivi haviangalii siku moja ni mlolongo wa ongezeko kwa miaka

Rais Mkapa aliongeza pato kufika USD around 600 kutoka less than USD 100 na huyu ndie Mwamba kati ya wote

Jakaya akaongeza kufika around usd 1040 yaani Ali double ya Mkapa

Magufuli ilibaki USD 40 tu alipoingia madarakani tufike uchumi mdogo wa kati, na yeye aka ongeza USD 40 kwa miaka mitano ikawa around USD 1080

kuanzia 1080 ndio kipimo cha uchumi wakati

Sasa USD 40 for Five years wakati kikwete Usd zaidi ya 500 for 10 years kwa hiyo kwa miaka mitano JK alimzidi Magufuli mara 10

Per Capital income unachukua total output ya uzalishaji within that specific period of production unagawa kwa idadi ya Raia waliopo

Shughuli zote za uzalishaji zina kuwa assigned monetary values divide by total population

Total population always kwa nchi za Afrika is just an estimate yaani makadirioo

Kuna Exception au limitation za Per capital income

Moja ya exception Yawezekana Shughuli za uchumi zipo dominated na sekta chache kama madini na Utalii hivyo impact kwa individuals ni ndogo sana

Mkuu kama hujafunzwa economics just be cool

Wapumbavu kama wewe ndio mliodanganywa

Rais Samia hapa ataendeleza kutoka 1080 kwenda mbele, Sasa ukisikia tumefika uchumi wa kati wa juu na kipimo ni 1090 utasema Samia ndie Rais bora kwa kuwa ameongea usd 10 na tumefika usd 1090 ya kigezo cha uchumi wa kati wa juu? kwa hiyo huta hesabu ya JPM, JK na Mkapa utamsifia Yeye Samia kwa USD 10?

Kama hujui vigezo vya wordbank na hujui economics kaa kimya
.
 
Ww ndio huna akili unatetea ujinga huna Cha maana ulichoandika hapo zaidi ya kutetea legacy
 
Brother Hawa jamaa Haina haha ya kuwaletea details zote Kama hizi hawawezi kuelewa yaani kwao JPM ni Kama Imani imewapofusha.😃😃inatakiwa uyeyuke nao kiwendawazimuwendawazimu tu
 
Mchambuzi uko sahihi sn.mwendazake aliharibu mnooo.ila kujua hii inahitaji watu wenye fikra pana.angekaa zaidi ya mwaka wangeona
Ndiyo maana waKenya wanasema, tatizo kubwa lao watu waliosoma ni wengi, huku kwetu Elimu duni, sasa uchambuzi hapo juu ulioona wa kweli upo wapi? hata reference hakuna, porojo!!!!!!!!!!!!!! sometimes kujiita mtanzania ni aibu
 
 
Jina lako litatokea kama sio wa tano basi utakuwa wa kumi na utakuwa DC wa tunduru.

Umesahau kuacha namba ya Simu
 
Aamen
 
Uchumi wa kati ulifika vipi? Kama biashara zilifungwa?

Eti biashara zilifungwa,leta bakhresa, Mo, na kampuni zote zilizofunga biashara
 
Kuna mtu pale TRA alikuwa anachukua mishahara 19 kipindi cha Jk
 
Nchi hii ni rahisi kuongoza Kwa sababu wajinga ni wengi nikianza na kundi la machawa kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…