Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni kuwa fedha wanazotoa ni kwa miradi ambayo sio endelevu.Ulaya bila kukopesha inapotea mazima! Kukopesha ni moja ya shamba lao kubwa la kuna. Hata kama hutaki watakubembeleza wee ama watakusulubu wuu mpaka uingine kwenye shamba lao "uvunwe".
===
Tukiwa wajanja tunaweza kuingia kwenye shamba lao lakini tukagoma kuvunwa.
Ombaomba hawezi kuwa na akili sababu anao uhakikaUlaya bila kukopesha inapotea mazima! Kukopesha ni moja ya shamba lao kubwa la kuna. Hata kama hutaki watakubembeleza wee ama watakusulubu wuu mpaka uingine kwenye shamba lao "uvunwe".
===
Tukiwa wajanja tunaweza kuingia kwenye shamba lao lakini tukagoma kuvunwa.
Unataka tuwakaushie wazungu wakati hao ndio watalii wanaoingiza pesa katika mbuga zetu za kaskazini?.Sio kweli kwamba fedha zote zinazokopwa ni kwa ajili ya miradi iliyoachwa Magufuli.
Fedha za Uviko zilikwenda kwenye madarasa na vyoo hazikwenda SGR wala Stiglers.
Fedha toka world bank - usalama wa Ardhi.
Fedha za Ufaransa - Miradi Tanga na Pemba.
Hivyo ukiangalia kwa haraka utaona kwamba mikopo imechukua sehemu kubwa sana ya mahusiano yetu na Ulaya jambo ambalo linashitua.
CCM mbele kwa mbele.....Mh. Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha.
Observation yangu ndogo ya matendo yatokanayo na jitihada hizo za kurejesha mahusiano na nchi za ulaya yanaonesha kwamba kasi ya ukopaji na misaada toka nchi za Ulaya na taasisi za kifedha imeongezeka.
Rais mwenyewe anakiri kwamba kuna fedha zilikuwa withheld ila kuna possibility kubwa sasa zikaachiwa.
Kauli ya Rais Magufuli mara kwa mara ilikua kukataa mikopo na misaada yenye masharti magumu kwa Taifa.
Ushahidi wa kauli za Magufuli za kukataa kwa mikopo awamu ya tano ni kwa kauli ya Rais hivi majuzi kuwa kuna fedha zilizuiwa.
Kwakua sasa misaada na mikopo imeanza kumiminika kwa wingi ni wazi kwamba uongozi wa awamu hii unakubaliana na masharti ya mikopo hiyo.
Swala hapa la kujiuliza ni je masharti hayo yana madhara gani kwa Taifa letu.
Na kama yana faida basi tuambiwe faida hizo ni zipi?
Ninachoomba tu kwa Serikali ni kuwa makini wakati inapokubaliana na masharti hayo ya mikopo na misaada isiwe tunafanya tu kwa lengo la kuwafurahisha nchi za ulaya wakati kwa uhalisia tunaoumia ni sisi na vizazi vyetu huku wao na vizazi vyao wakinufaika.
Pia ningependa kujua, je ni lazima tukope na kupokea misaada toka nchi za Ulaya ili mahusiano yetu na wao yawe mazuri.
Kwani hatuwezi kuwa na mahusiano nao mazuri bila kukopa na kupewa misaada.
Nasema hivi kwani inaonekana kwamba kukopa na kuomba misaada ndio njia pekee ya kuwa na mahusiano mazuri na nchi za Ulaya.
Nachelea kusema kwamba Nchi za Ulaya zinanufaika mno na mikopo na misaada wanayotupa maana wasingepata hasira kwa sisi kukataa mikopo na misaada yao.
Tuwe makini.
Kwani wewe unawazaje.Mh. Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha.
Observation yangu ndogo ya matendo yatokanayo na jitihada hizo za kurejesha mahusiano na nchi za ulaya yanaonesha kwamba kasi ya ukopaji na misaada toka nchi za Ulaya na taasisi za kifedha imeongezeka.
Rais mwenyewe anakiri kwamba kuna fedha zilikuwa withheld ila kuna possibility kubwa sasa zikaachiwa.
Kauli ya Rais Magufuli mara kwa mara ilikua kukataa mikopo na misaada yenye masharti magumu kwa Taifa.
Ushahidi wa kauli za Magufuli za kukataa kwa mikopo awamu ya tano ni kwa kauli ya Rais hivi majuzi kuwa kuna fedha zilizuiwa.
Kwakua sasa misaada na mikopo imeanza kumiminika kwa wingi ni wazi kwamba uongozi wa awamu hii unakubaliana na masharti ya mikopo hiyo.
Swala hapa la kujiuliza ni je masharti hayo yana madhara gani kwa Taifa letu.
Na kama yana faida basi tuambiwe faida hizo ni zipi?
Ninachoomba tu kwa Serikali ni kuwa makini wakati inapokubaliana na masharti hayo ya mikopo na misaada isiwe tunafanya tu kwa lengo la kuwafurahisha nchi za ulaya wakati kwa uhalisia tunaoumia ni sisi na vizazi vyetu huku wao na vizazi vyao wakinufaika.
Pia ningependa kujua, je ni lazima tukope na kupokea misaada toka nchi za Ulaya ili mahusiano yetu na wao yawe mazuri.
Kwani hatuwezi kuwa na mahusiano nao mazuri bila kukopa na kupewa misaada.
Nasema hivi kwani inaonekana kwamba kukopa na kuomba misaada ndio njia pekee ya kuwa na mahusiano mazuri na nchi za Ulaya.
Nachelea kusema kwamba Nchi za Ulaya zinanufaika mno na mikopo na misaada wanayotupa maana wasingepata hasira kwa sisi kukataa mikopo na misaada yao.
Tuwe makini.
sante kwa bandiko / uzi wako mzuri , kuna watu mpo special majukwaani kwa kutoa ushauri wenye tijaMh. Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha.
Observation yangu ndogo ya matendo yatokanayo na jitihada hizo za kurejesha mahusiano na nchi za ulaya yanaonesha kwamba kasi ya ukopaji na misaada toka nchi za Ulaya na taasisi za kifedha imeongezeka.
Rais mwenyewe anakiri kwamba kuna fedha zilikuwa withheld ila kuna possibility kubwa sasa zikaachiwa.
Kauli ya Rais Magufuli mara kwa mara ilikua kukataa mikopo na misaada yenye masharti magumu kwa Taifa.
Ushahidi wa kauli za Magufuli za kukataa kwa mikopo awamu ya tano ni kwa kauli ya Rais hivi majuzi kuwa kuna fedha zilizuiwa.
Kwakua sasa misaada na mikopo imeanza kumiminika kwa wingi ni wazi kwamba uongozi wa awamu hii unakubaliana na masharti ya mikopo hiyo.
Swala hapa la kujiuliza ni je masharti hayo yana madhara gani kwa Taifa letu.
Na kama yana faida basi tuambiwe faida hizo ni zipi?
Ninachoomba tu kwa Serikali ni kuwa makini wakati inapokubaliana na masharti hayo ya mikopo na misaada isiwe tunafanya tu kwa lengo la kuwafurahisha nchi za ulaya wakati kwa uhalisia tunaoumia ni sisi na vizazi vyetu huku wao na vizazi vyao wakinufaika.
Pia ningependa kujua, je ni lazima tukope na kupokea misaada toka nchi za Ulaya ili mahusiano yetu na wao yawe mazuri.
Kwani hatuwezi kuwa na mahusiano nao mazuri bila kukopa na kupewa misaada.
Nasema hivi kwani inaonekana kwamba kukopa na kuomba misaada ndio njia pekee ya kuwa na mahusiano mazuri na nchi za Ulaya.
Nachelea kusema kwamba Nchi za Ulaya zinanufaika mno na mikopo na misaada wanayotupa maana wasingepata hasira kwa sisi kukataa mikopo na misaada yao.
Tuwe makini.
Onaga aibu basi kuwasifia hao washenz wanaopata maendeleo kwa kuiba resources za nchi yako kupitia mikataba mibovu.Kauli za JPM zilikuwa hazifanani na matendo yake mbali na majukwaa ya siasa. Aliwajaza watu kiburi cha kujitegemea wakati kiuhalisia tupo mbali sana na uwezo wa kushindana kiuchumi na mataifa ya Ulaya.
Mzungu anayo know how (maarifa) na ndio kitu ambacho kinampa umaarufu mchina kwa sasa, utundu na ubunifu wa hali ya juu.
Huwezi kushinda na mzungu mwenye taasisi zote za pesa, utakuwa unajisumbua bure tu. Nyerere aliwawekea kiburi na haikumsaidia chochote ndio akaingia Mwinyi madarakani akawapigia magoti wazungu.
Huu ni utamaduni wa kidunia, huwezi kuwavimbia waliotutawala halafu ukawa na uchumi endelevu
Wazungu hawakuacha kuja kutalii kipindi cha Magufuli, Wakati huo bishara ilikuwa nzuri tu kwani sisi tulikua moja wapo ya nchi chache ambazo hatukua na lock down.Unataka tuwakaushie wazungu wakati hao ndio watalii wanaoingiza pesa katika mbuga zetu za kaskazini?.
Nchi yetu ni tajiri wa rasilimali lakini kiuhalisia bado ni maskini. Kila rais anayo haiba yake yenye kutofautiana na ya mwenzake.
JPM aliamua kuwafungia vioo wazungu kwani mambo ya diplomasia hakuyaweza na hakuwa na akili za kibiashara.
Jaribu kufuatilia ni biashara ngapi zinazoanzishwa Tanzania kuanzia mwaka jana kati ya wazalendo na wazungu ndio utaelewa haiba ya SSH kimataifa ipo vipi.
Masharti kuwa ya kitumwa ni tangu miaka ile ya Structural Adjustment Programme SAP, haijaanza leo wala jana. Tuwe wapole tu ndio utamaduni unaoiendesha hii dunia.Wazungu hawakuacha kuja kutalii kipindi cha Magufuli, Wakati huo bishara ilikuwa nzuri tu kwani sisi tulikua moja wapo ya nchi chache ambazo hatukua na lock down.
Kinachosemekana mahusiano mabaya ni kukataa masharti yao ya kipuuzi kwenye mikopo na misaada yao.
Masharti ya kinyonyaji na kitumwa.
Mmesahau kama mlisema mnaweza kusimama Kwa miguu yenu wenyewe bila kumtegemea beberu🤔.Au unajitoa akili na kutuaminisha Leo tunawahitaji mabeberu bila kukopa, ukiwa mnaa kumbuka na kuficha sura😃Tunaweza kuwa na mahusiano mazuri na nchi za Ulaya bila kuwakopa kopa na kuwaomba omba.
Yaani kati ile level ya partners katika biashara na sio level ya mfalme na mtwana.
Haya mambo ya wachumi pasua kichwa. Nakopa halafu napangiwa tumieje mkopo huo. Hivi hapo nimekopa kweli ama natumikishwa...yaani nimefunguliwa genge na bosi jioni mahesabu? Wachumi nisaidieni jamani nielewe mambo haya.Tatizo ni kuwa fedha wanazotoa ni kwa miradi ambayo sio endelevu.
Ila inakufanya uwe tegemezi kwao mtego uko hapo.
Tujutahidi ama tukope tufanye miradi yenye manufaa kwetu au tutumie vyanzo mbadala kuongeza fedha za ndani.
Kuwa wapole ni makosa na kukubali kuendelea kuwa katika hali hiyo ni makosa zaidi.Masharti kuwa ya kitumwa ni tangu miaka ile ya Structural Adjustment Programme SAP, haijaanza leo wala jana. Tuwe wapole tu ndio utamaduni unaoiendesha hii dunia.
Kwani mahusiano yalikuwa yamekufa? Hii ni lugha mbaya ya kujikweza tu; Tanzania haijawahi kuvunja mahusiano yoyte na nchi za ulaya. Kuna nchi hazikufurahia maamuzi ya serikali ya Tanzania lakini siyo kuwa mahusiano yalikuwa yamevunjika. Ni afadhali aseme kuwa amezifurahisha nchi za ulaya lakini siyo kuwa karudisha mahusiano na nchi za ulaya.Mh. Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha.
Observation yangu ndogo ya matendo yatokanayo na jitihada hizo za kurejesha mahusiano na nchi za ulaya yanaonesha kwamba kasi ya ukopaji na misaada toka nchi za Ulaya na taasisi za kifedha imeongezeka.
Rais mwenyewe anakiri kwamba kuna fedha zilikuwa withheld ila kuna possibility kubwa sasa zikaachiwa.
Kauli ya Rais Magufuli mara kwa mara ilikua kukataa mikopo na misaada yenye masharti magumu kwa Taifa.
Ushahidi wa kauli za Magufuli za kukataa kwa mikopo awamu ya tano ni kwa kauli ya Rais hivi majuzi kuwa kuna fedha zilizuiwa.
Kwakua sasa misaada na mikopo imeanza kumiminika kwa wingi ni wazi kwamba uongozi wa awamu hii unakubaliana na masharti ya mikopo hiyo.
Swala hapa la kujiuliza ni je masharti hayo yana madhara gani kwa Taifa letu.
Na kama yana faida basi tuambiwe faida hizo ni zipi?
Ninachoomba tu kwa Serikali ni kuwa makini wakati inapokubaliana na masharti hayo ya mikopo na misaada isiwe tunafanya tu kwa lengo la kuwafurahisha nchi za ulaya wakati kwa uhalisia tunaoumia ni sisi na vizazi vyetu huku wao na vizazi vyao wakinufaika.
Pia ningependa kujua, je ni lazima tukope na kupokea misaada toka nchi za Ulaya ili mahusiano yetu na wao yawe mazuri.
Kwani hatuwezi kuwa na mahusiano nao mazuri bila kukopa na kupewa misaada.
Nasema hivi kwani inaonekana kwamba kukopa na kuomba misaada ndio njia pekee ya kuwa na mahusiano mazuri na nchi za Ulaya.
Nachelea kusema kwamba Nchi za Ulaya zinanufaika mno na mikopo na misaada wanayotupa maana wasingepata hasira kwa sisi kukataa mikopo na misaada yao.
Tuwe makini.
Logic ni kwamba mtu unakopa kulingana na business plan yako ila kilichopo hapa ni kuwa anayekupa fedha anakuchagulia cha kufanya na namna ya kurejesha.Haya mambo ya wachumi pasua kichwa. Nakopa halafu napangiwa tumieje mkopo huo. Hivi hapo nimekopa kweli ama natumikishwa...yaani nimefunguliwa genge na bosi jioni mahesabu? Wachumi nisaidieni jamani nielewe mambo haya.
Ulichosema ni sahihi mkuu,Kwani mahusiano yalikuwa yamekufa? Hii ni lugha mbaya ya kujikweza tu; Tanzania haijawahi kuvunja mahusiano yoyte na nchi za ulaya. Kuna nchi hazikufurahia maamuzi ya serikali ya Tanzania lakini siyo kuwa mahusiano yalikuwa yamevunjika. Ni afadhali aseme kuwa amezifurahisha nchi za ulaya lakini siyo kuwa karudisha mahusiano na nchi za ulaya.
Utumwa unaanzia kwetu wenyewe, kukataa kufanya kazi kwa bidii, kukosa nidhamu kuanzia utotoni.Kuwa wapole ni makosa na kukubali kuendelea kuwa katika hali hiyo ni makosa zaidi.
Kumbuka wenzetu wote tuliokuwa nao sawa miaka 60 iliyopita leo wanatupa misaada.
Kwanini sisi tusiachane na hii kasumba ya kukubali kwamba hizi ndio kanuni za kidunia??
Hizo ni propaganda tu za kutufanya tuogope kuachana na utumwa wao.
Umesema kwamba wenzetu wanafundishwa tangu utotoni well magufuli kusema kwamba sisi ni matajiri alikuwa anasema ukweli ukweli ambao ungewasaidia watoto wa sasa kutambua potential ambayo nchi hii inayo na hivyo kuitumia vyema.Utumwa unaanzia kwetu wenyewe, kukataa kufanya kazi kwa bidii, kukosa nidhamu kuanzia utotoni.
Wenzetu wanafundishwa kujinyima tangia utotoni, sisi tunaachiana tu, tunaishi tu.
Kuomba omba kuna malengo yake maalum, ni kufanikisha miradi na kuendesha uchumi wa nchi.
Kusema sisi ni matajiri wakati hatuna cha kwetu tulichovumbua, ni sawa na kupaka rangi upepo.