Rais Samia amesema tuwe na jamii yenye ujasiri wa kuhoji

Siku nikiona umehoji Chochote..
Nasema Chochote basi nitaamini Maneno yako ni ya ukweli na wewe ni mzalendo..

Narudia chochote hata kama ni cha Serikali ya mtaa
 
Kwa Africa hakuna nchi imefikia level hiyo......ukihoji na kusema ukweli unakuwa karibu Zaidi kupotezwa
 
Tumehoji mkataa wa bandari hlafu unatutukana
 
Ni uzuni mkubwa sana ccm ya sasa imearibu vijana ndani ya chama chake wa kuhoji na wenye jeuri kama ambavyo Mw Nyerere alisisitiza katika hili , matokeo yake ccm ya sasa imetengeneza machawa na Makunguni,

Ccm imekufa kifo kibaya sana
 
Ni uzuni mkubwa sana ccm ya sasa imearibu vijana ndani ya chama chake wa kuhoji na wenye jeuri kama ambavyo Mw Nyerere alisisitiza katika hili , matokeo yake ccm ya sasa imetengeneza machawa na Makunguni,

Ccm imekufa kifo kibaya sana
Na mpaka sasa, CCM inaendelea kuzalisha machawa wengi kadri iwezekanavyo kupitia UVCCM.

UVCCM Makao Makuu imejaza vijana wengi wasio na maarifa (kwasababu za kujuana) ikiwaanda kuwa viongozi wa chama kisha serikali.

Vijana wasio na maarifa, vichwa vitupu, watahoji nini zaidi ya kusifia mpaka ushuzi wa Mohammed Kawaida?
 
Mbona Watanzania walihoji makamu wa Rais yuko wapi jana imekuwa story na mashambulizi kwa Watanzania, huo ujasiri wa kuhoji anaousema ni upi ndugu chawa????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…