barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ndio cha kufanya sasa, piga madili utunze familia yako, cha maingi usishikweCha msingi ni kwenda na mdundo tu, mafuta yakipanda na wewe ongeza kupiga dili eneo ulilopo. Hata kama hujaajiriwa angalia fursa za kupiga eneo lako piga tu maisha yaende.